Hotuba za mwisho wa mwezi za Rais Mkapa

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,477
Reaction score
40,278
1. Mheshimiwa Rais Mkapa aliweka utaratibu wa kuhutubia/kugombeza Taifa kila mwisho wa mwezi.

2. JK akajaribu hakufanikiwa.

3 (a) Shujaa ndo vile tena!.

(b) Ni utaratibu mzuri kuelezea masuala ya Kitaifa kuliko kusubiria matukio ya msimu.
 
Mheshimiwa Rais Mkapa aliweka utaratibu wa kuhutubia/kugombeza Taifa kila mwisho wa mwezi. JK akajaribu hakufanikiwa. Shujaa ndo vile tena!. Ni utaratibu mzuri kuelezea masuala ya Kitaifa kuliko kusubiria matukio ya msimu
Kwa sasa hawezi, ila ilikuwa nafasi nzuri kufafanua mambo na ku clear doubt in between, kuliko kusubiri events.

Kwa mfano mwezi huu angezungumzia marekebisho ya sheria za uchaguzi, report ya CAG,
 
Kwa sasa hawezi, ila ilikuwa nafasi nzuri kufafanua mambo na ku clear doubt in between, kuliko kusubiri events.

Kwa mfano mwezi huu angezungumzia marekebisho ya sheria za uchaguzi, report ya CAG,
Kazungumza Viongozi wa dini wawapumbaze Waumini wao, Shura wa Maimamu wakaibuka na NRNE kwamba mfumo urekebishwe na Jana kuna padri askofu akaongezea msumali akasema uchaguzi uwe wa haki sio dhulma wewe umefunga mwezi mtukufu unaenda kuswali siku ya Eid msikiti wa Mfalme wa Morocco halafu wewe ndio unakua mstari wa mbele kwenye kufanya dhulma dhulma kwenye uchaguzi unamchezea Mungu?
 
Kwa sasa hawezi, ila ilikuwa nafasi nzuri kufafanua mambo na ku clear doubt in between, kuliko kusubiri events.

Kwa mfano mwezi huu angezungumzia marekebisho ya sheria za uchaguzi, report ya CAG,
Kuwe kusiwe na marekebisho, ccm tutashinda tu. Halafu ripoti ya cag ina shida gani? Ulitaka watu wasile kwa urefu wa kamba zao? Kama huna kamba shauri yako.
 
Kuwe kusiwe na marekebisho, ccm tutashinda tu. Halafu ripoti ya cag ina shida gani? Ulitaka watu wasile kwa urefu wa kamba zao? Kama huna kamba shauri yako.

Where dou you get these jokes???πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ€£πŸ˜…πŸ€£???

Nafikiri hujitambui, huna uwezo wa kutafsri political trend πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…