Na matumizi yasiyo na tija billion 300...kaiba Mkapa..!?
hapo unahamisha hoja kwa ujanja ujanja wa kutumia logical fallacy inayoitwa strawman fallacy
- Strawman - Kupotosha au kubadilisha hoja ya mtu kwa ujanja ili iwe rahisi kuishambulia.
Na matumizi yasiyo na tija billion 300...kaiba Mkapa..!?
Mkapa ndie rais aliebia nchi kuliko wote, akiwa na washkaji zake chenge na mramba.
Na hasivyokuwa na aibu amekiri mwenyewe kwenye kitabu chake anakubali na kuomba msamaha eti anajutia
View attachment 3291072
Na matumizi yasiyo na tija billion 300...kaiba Mkapa..!?
Basi roho ya Mkapa Bado inaishi pale Magogonihapo unahamisha hoja kwa ujanja ujanja wa kutumia logical fallacy inayoitwa strawman fallacy
kwenye hoja yangu mimi hakuna sehemu niliposema matumizi yasiyo na tija aliyafanya mkapa.bali nimesema mkapa alishiriki kuiba hela za EPA, kujiuzia migodi na nyumba za serikali na ameomba msamaha kwenye kitabu chake
- Strawman - Kupotosha au kubadilisha hoja ya mtu kwa ujanja ili iwe rahisi kuishambulia.
Ule wimbo sijui nani aliimba" tunae rais wetu " ulikuwa unapigwa na ara safi za muzikiMheshimiwa Rais Mkapa aliweka utaratibu wa kuhutubia/kugombeza Taifa kila mwisho wa mwezi. JK akajaribu hakufanikiwa. Shujaa ndo vile tena!. Ni utaratibu mzuri kuelezea masuala ya Kitaifa kuliko kusubiria matukio ya msimu
Duuh...ishakuwa hayo tena
CCM wote ndivyo walivyo kasoro tu ni kwenye mambo chanya na hasi.rais kushiriki kuiba hela za EPA ndio uzalendo?
Rais kujiuzia mgodi wa serikali kiwira uwe mali yako binafsi ndio uzalendo
Rais kuuza nyumba za serikali prime area kwa bei ya corolla ndio uzalendo?
Sitamsahau mh.huyu kwa kubinafsisha viwanda vy aserikali,hadi leo watu wanalia na ajira.Mheshimiwa Rais Mkapa aliweka utaratibu wa kuhutubia/kugombeza Taifa kila mwisho wa mwezi.