Houseboy

Status
Not open for further replies.
Lazima kuwe na sababu....inawezekana unamtega sana akashindwa kujizuia.....pengine maumbile yako yana utata na kuna viashiria vya kuweza kutoa mzigo ndio maana kama rijali amejaribu bahati yake.....kama ni kweli mzee hakutoshelezi na una hisia na huyo jamaa ,nafikiri mpe tu mashine lakini iwe siri yenu
 
Nafikiri huu ni mwaka mbaya kwako,nakushauri ukakoke maji ya baharini ili kufifisha nyota yako ya kutongozwa,kwa sababu nyota yako ya kutongozwa inang'aa sana.Usipoangalia mwaka huu utatongozwa sana,hadi na watoto wa kiume ambao wana umli kama watoto wako.Ili kupukana na mwaka wa kutongozwa fuata ushauri wangu!!
 

Duh huu ushauri kiboko sana Haya!!!
 
Ha ha ha ingekuwa hivyo hakuna ndoa ambayo ingedumu!! Ukitongozwa tu unaachana na mumeo?? Hiyo ngumu!!!

Good, then dont put yourself into contradictions, haya mazingira inawezekana uliyaandaa mwenyewe (huenda bila kujua), na for that case hukuandaa mazingira ya kupambana nayo!, ila what is required is precautions, kila mmoja anatakiwa ajue mipaka ya mwenzake na aiheshimu. cha msingi ni kumwambia awe na adabu, weye ni mke wa mtu ati, kama hoja ni mwanamke si akaoe kwengine?
 

Mmmhhh kuepuka basi labda nisiongee na watu!!!
 


Ana mke lakini yko kijijini kule kwetuuuuuuuuuu kwa senene kibao
 
Mmmhhh kuepuka basi labda nisiongee na watu!!!

Wewe ongea nao tu lakini, usipende kuchekacheke na houseboy wako na wa majirani zako kwa kuwa huu ni mwaka wako wa kutongozwa!!
 
Baba akimtongoza hausigeli ni tamaa na ulafi wa kawaida wa wanaume
Mama akitongozwa na hausiboi ni mwonekano wake na anavyojirahisisha.

Kwa sababu amini amini nawaambieni: Hausiboi akimtongoza mama anakuwa na uhakika wa kukubaliwa! Otherwise hawezi kuirisk kazi yake kwa jaribio la hatari namna hii.

Desidii, jitoe katika mwonekano wa kirahisirahisi, na uwe katika mwonekano wa mama kwa maana ya mama mwenye mamlaka. Akikutongoza tena, uje uniambie nikupe bastola yangu niliyoiiba kule Rwanda.

Ni mimi tu nimebakia, ni mimi tu kuwahabarisheni ukweli huu.
 
Kwa sababu amini amini nawaambieni: Hausiboi akimtongoza mama anakuwa na uhakika wa kukubaliwa! Otherwise hawezi kuirisk kazi yake kwa jaribio la hatari namna hii.

Hii nimeipenda na nimeikubali.

Naona kuna kitu kama mama alikuwa anamfungashia vizawadi vya uongo na ukweli basi alisha tengeneza mazingira ya jamaa kurusha ndoano.
 
Hommie leo huna hangover? :flypig:
 
Okoa ndoa yako kwa kumwambia mumeo au ipoteze siku utakayobakwa huko shamba na huyo hboy na mumeo akastukia...!!:embarassed2:
 
Hommie leo huna hangover? :flypig:

Hommie nlikuwa na hangover lakini imekatika ghafla...

Eti hommie, huyu hausiboi angemmega huyu mama, angerusha sredi hapa?
 
Eti hommie, huyu hausiboi angemmega huyu mama, angerusha sredi hapa?

Naona house boy hana mvuto ndo maana ameamua kurusha

Mpwa kuna sredi huko inauliza kwa nini walevi wengi wanabahatika kupata watoto wa kike?
 
Naona house boy hana mvuto ndo maana ameamua kurusha

Mpwa kuna sredi huko inauliza kwa nini walevi wengi wanabahatika kupata watoto wa kike?

Hahahahaaaaaaaa! Wameamua kugonga ikulu! ngoja nikaikague.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…