Kinachonishangaza, huyu hausiboi bado ana kibarua na tunaombwa ushauri amfanyeje!!!!! Sisi wa zamani tuwaachie vizazi vya chadema vijadili huu mswada
Kinachonishangaza, huyu hausiboi bado ana kibarua na tunaombwa ushauri amfanyeje!!!!! Sisi wa zamani tuwaachie vizazi vya chadema vijadili huu mswada
Kwa hiyo ndio maana alikuweza.....!Sasa nimeelewa kitu kimoja. Mwanamme akikuanzia issue ya mke mwisho anakugeuzia kibao.
Yaliwahi kunifika kama hayo unayoeleza ila huyo jamaa alikuwa msomi na kazi yake nzuri.
Nyie nao mna mambo sana mwacheni ajiamulie hapa
anatafuta ushauri tuuu unafikiri atafata yote ya humu mmmhhh
sidhani ngumu maana kuna maushauri mpaka unapata kizunguzungu!!
Dena hivi katika hali ya kawaida house boy wako anaanzaje kukutongoza? haiiniingii akilini hata siku moja, unaokutana nao ofisini tu wanajifikiria mara mbili nianze au nisianze nikikataliwa je? Haya house boy anaanzaje amekuonaje? anakuchukuliaje? yaani yaani hainiingii akilini hata kidogo hii ni dharau iliyonyooka kabisa
Maty thread nyingine uwe unasoma katikati ya misitari wewe unaona kuna ukweli hapo???
Katuzuga na sisi tunamzuga vile vile ngoma droo au sio.
Heri ya Mwaka Mpya lakini?? Upooo??
aloo kweli hapa, mwaka nashukuru nimevuka salama mpenzi usharudi usalule?
Nyie nao mna mambo sana mwacheni ajiamulie hapa
anatafuta ushauri tuuu unafikiri atafata yote ya humu mmmhhh
sidhani ngumu maana kuna maushauri mpaka unapata kizunguzungu!!
Oorait,oorait kumbe kijana ni wa kule Katerero ? ndio maana hujamkatalia wala kumfukuza kazi mpaka sasa,NIMEKUSOMA![/COLOR]
Ana mke lakini yko kijijini kule kwetuuuuuuuuuu kwa senene kibao
aloo kweli hapa, mwaka nashukuru nimevuka salama mpenzi usharudi usalule?
Jibu analotakiwa kumpa huyo hausi boi ni moja ndio au hapana au amwambie tu nipe mda nijifikirie kama jibu la papo kwa papo halipo. Naamini kijana hajavunja katiba ya nchi yupo huru kuonyesha hisia zake
Nitakupa tiba ya umpendae akung'ang'anie umesikia mtoto mzuri?
Desidii ameangukia hapo kwenye red. Desidii tuambie kwanini ulienda shamba na hausiboi ukiwa na khanga moja? Mmeo ulimwacha wapi?
Hahahahaha mwanangu umegonga Ikulu
Mama house kumbe ndo walivyo dah hapo bado vi offer offer kibao vya kwenda nae sokoni n.k
Mkubwa niliingia kwenye mting na mkoloni nimetoka sasa ......Hajibu hili swali ni mkuki moyoni mama anampenda house boy mzee wake analikitambi ligwaride chaliiii kijana kutokana na mannual labour kusukuma mikokoteni n.k unakuta ana hadi 6 packs akijikunja kwa mama mwenye house hashuki labda after 3 hrs sasa hapo atamtamani tena mzee kitambi ???
Na kumwambie tunza chenchi we badi kijana hata ya mafuta ya vaseline ya kujipaka
Huyu mwenye thread mbona anakimbia sana!! Hajibu maswali ya watu
Hivi DA, una house boy kwako?
Naomba nipate hiyo nafasi kama hauna!!!!!!
Mie simind mpango wa nje mmoja unanitosha nilionao
Fidel majibu ni mawili tu hayo kwenye bluu hiyo nyekundu mmmhhh nafasi hiyo haipo anafikiria kitu gani???