Mie simind mpango wa nje mmoja unanitosha nilionao
Amekuona kuwa unakaa kihasarahasara fulani mbele yake...
Kijana kama huyo hawezi kujianzia from nowhere akusemeshe neno kama hilo...
Aidha anajua unapendelea sana mambo ya ngono au kuangalia porno openly na huenda story zako muda wote zinaelekeana kunako maeneo!
Mi nimesema House boy na wala sio mpango wanje,
Au mahouse boy kwako wana kazi mbili mama?
We kwani huna hausi boi?
Kama unae si anakupwa anafanya mpango wa ndani
Hii thread umeilewa toka mwanzo nini houseboy kazi yake??
Kazi mbili nayojua mimi ni kulima kuangalia mifugo kuna ya tatu kukata majani nje ya nyuma wewe una nyingine??
Sina bwana Bacha anataka kuja kuwa houseboy wangu lakini mie sina mifugo wa nini house girl ananitosha
JF habari zenu!!
Mwenzenu nina tatizo kubwa sana ambalo tangu nizaliwe sijawahi kukutana nalo.
Nina houseboy hapa home!! Jana wakati tuko shambani kanitongoza/kanitamkia ananizimia na anaweza kunipa raha mno!!
Nimechanganyikiwa sijwamwambia Husband. Najifikiria nimtafutie visa ili aondoke ama nifanyaje maana nikisema aondoke bila sababu husband atauliza sababu nini nini na nitapata kigugumizi.
Nisaidieni tafadhali
kwakuwa umesema kuwa hutaki house boy kwasababu wewe hauko interested na mpango wa nje ndo maana nikaona niulize hivo?
House boy wa hapa ni wa kumsaidia mzee wa home. Wewe ulikuwa unataka kuja kukata majani?? sina mashamba mie!!!
House boy wa hapa ni wa kumsaidia mzee wa home. Wewe ulikuwa unataka kuja kukata majani?? sina mashamba mie!!!
greti thinka, punguza hasira kidogo. wataalam wanasema hasira za ovyo ovyo zinapelekea marazi ya kisukari.
hata ya ulinzi tu basi inanitosha mama!!!
hata ya ulinzi tu basi inanitosha mama!!!
MMMmmmmmmmhhhh no comment kwa hii post naona kama mmmhhh ngoja niache
Mi kazi ya kukata majani naiweza sana naomba unifikirie
Haaaa mkuu post zingine zinaleta vidonda vya tumbo.
Desidii sikiliza ujue mi nimejiuliza inakuje yani, mi houseboy mingine ka imetumwa vile, mpaka maza house anakosa chakufanya aisee.
Sina hata garden rafiki
Hakia ya nani siamini
Desidii sikiliza ujue mi nimejiuliza inakuje yani, mi houseboy mingine ka imetumwa vile, mpaka maza house anakosa chakufanya aisee.