Housegirl alipwe Mshahara wa elfu 80 hadi laki 3

Housegirl alipwe Mshahara wa elfu 80 hadi laki 3

Waweke mishahara juu na kodi chini..Hata million tunaweza walipa bila shida.
Sio wanakuja wameshiba uji wa magimbi na Maji ya Kilimanjaro kuhubiri wao walioshindwa kutetea kwa waajiri wa wafanyakazi wa ndani.

Tena bora sisi daraja la kati..hawa watetezi wanatesa sana mabinti..kima sana hao..wachumba zetu walianzia huko huko wakikueleza..
Wanajichukulia points sana za kuwatetea hao mabinti wanahisi wanaonewa kila mahali, kuna wafanya kazi wa masuper markets wananyanyasika daily wamewafanyia nini?

Wanawatesa ndio, wakija kwenye media wanatetea ushenzi tu!
 
Wanaosema kwamba wanawahudumia mfano ishu ya mavazi unaweza ukamweleza atajinunulia kwa mshahara utakaompa (kama ni hiyo 100K) kutibiwa siyo kila siku ataumwa.

Hapo sasa itabidi kabla hamjaingia kandarasi ukampime kwanza kama ana maradhi endelevu kama yupo normal hizi malaria sijui UTI matibabu yake hayafiki hata 50K na hataumwa kila siku.
Sio kila mtu anaweza kuishi na mtu hivyo! Wengine hatujaumbw ahivyo! Lazima utampatia mahitaji tu! Kuna binti tulipata anaumwa sijui nini miguu na mikono ana mapele makubwakubwa meusi yamejaa, kuoeleka vipimo tu 170k utamuacha mtu anaumwa kwa sababu sio ndigu yako? Hapo bado dawa si chini ya 70k na clinics mara moja moja! Sio wote wanawez akuishi na mtu kwa kubagua eti atajijua mwenyewe huko!
 
Wanaosema kwamba wanawahudumia mfano ishu ya mavazi unaweza ukamweleza atajinunulia kwa mshahara utakaompa (kama ni hiyo 100K) kutibiwa siyo kila siku ataumwa.

Hapo sasa itabidi kabla hamjaingia kandarasi ukampime kwanza kama ana maradhi endelevu kama yupo normal hizi malaria sijui UTI matibabu yake hayafiki hata 50K na hataumwa kila siku.
Mkuu tunacho angalia ni uhalisia wa maisha ya mtanzania,na mishahara ya waajiriwa wengi..

Watumishi walio kwenye kundi kubwa hulipwa kati ya laki 5 mpaka 8..

Unataka kwa kipato hicho amlipe dada laki 3??

Kumbukeni kuna vibarua kwa wahindi wanalipa mpaka elf 3 kwa siku,,hyo buku 3 ni kila kitu nauli,matibabu na chakula ni ujibane hapo hapo..unatoboaje?
 
Wanazingua mnoo,imagine kwanza huyo boss wake analipwa laki 5,yeye msaidizi anataka alipwe laki 3 kweli?

Kila kitu namuhudumia mimi,kuanzia chakula n.k..mfano mimi wa kwangu nimemkatia pia bima ya afya...na ninamlipa not less than 100k kwa mwezi.

Hii hela kama ni mstaarabu anaweza kusave tu, na kiasi kidogo akatuma kwao,maana kila kitu nampatia.

Lakini hawatosheki,,wanajua labda tunalipwa mamilioni.

Binti yangu namuambia unaweza pata kazi ukalipwa laki 2 but kila kitu ujitegemee kuanzia kodi ya nyumba,chakula,bill mbalimbali kama maji,umeme na uweke saving..utamudu kwa laki 2?? Nadhani huwa wanadanganyana huko mitaani lakini uhalisia wa maisha hawaujui.
Huwa haitoshi kabisa, ndiomaana kuna maboss wanawalipa hizo laki ngapi ila cha moto wanakipata! Unafanya kazi na huli kazini! Kwanini usijishushe ukaishi kama upo nyumbani, fanya kazi kwa malengo toka na kamtaji kako! Kutaka makubwa wanadanganya sana mwisho wa siku mambo yanawaharibikia kisa tamaa!
 
Sahihi mkuu,nilicho jifunza mabinti wengi wana ongozwa na tamaa hivyo hupelekea kulaghaiwa haraka na watu..
 
Wanajichukulia points sana za kuwatetea hao mabinti wanahisi wanaonewa kila mahali, kuna wafanya kazi wa masuper markets wananyanyasika daily wamewafanyia nini?

Wanawatesa ndio, wakija kwenye media wanatetea ushenzi tu!
Nasikia huko kwa wahindi viwandani hulipwa mpaka buku 3 per day,,yaani ni kazi kuanzia asubuh mpaka jioni..hyo buku tatu ikave kila kitu msosi,nauli,kodi ya nyumba na uache mezani kwa wanao baki.
Na watu wanagombania hizo kazi.
 
Sijui wanazigombania za nini! Ila wabongo kuna muda sijui tunakuwaje! Kuna kazi hivi nilienda kufanya kwa mtoto wa muhindi, nikakuta dadaake wa kazi kakaa na kale katoto, ndio nikamuuliza akasema yaani basi tu lakini wanasumbua mno na analipwa 150k sjui wanapenda kukaa kwenye yale maghorofa ya ukonga! Au wawasindikize supermarket! Nahisi wanapenda kuwa around hayo maisha tu mimi siwaelewagi!🙌🏾
 
we unalipwa laki 7 kwenye kibarua chako,utoe laki 3 then?...serikali ianze kuboresha maisha ya watumishi kwa kuwalipa vizuri,automatically na wao watawalipa wasaidizi vizuri.
Sijazingatia mshahara!
Kwa tunaoishi vizuri na dada ile aishi kama yupo kwao ukipiga gharama kwa mwezi anatumia zaidi ya 300k bado mshahara unampa.

Sasa si bora nimpe 300k ajitegemee kila kitu ndo hapo mwezi haujaisha yeye hela imeshaisha.
 
Halafu hawa wapuuzi wanajiongelesha wanahisi kila mtu anaishi nao kama mbwa, mdada ukiishi naye kila kitu ni juu yako! Unaweza kupata mgonjwa ukaanza kumtibia, mavazi chakula malazi ni wewe, ukitoka humuachi nyuma na anaishi kama yuko kwao bado unapangiwa umlipe kama vile kapanga nje!
Pamoja na hayo ni mtu mwenye ndoto zake hayupo kwako kwaajili ya kula, ni mtu anayetafuta mafanikio sasa umlipe 3000 kwa siku atafanikiwa lini? Ingekuwa ni wewe au mtoto wako ungejisikiaje? Pamoja na mahitaji yote angalau 5000 kwa siku japo nayo ni kidogo sana. Kama hauna uwezo huo wa kumlipa ujue hujafikia hadhi ya kuwa na mfanya kazi fanya kazi zako mwenyewe
 
Kwamba hakuna watu wanaofanya kazi kwa kulipwa mishahara midogo isiyowapeleka popote au mmeona wasaidizi wa kazi za ndani tu? Mishahara inazidiana wapo wanaolipwa mpaka laki 8! Ukianza na 80k unamnyonya mwenye uhitaji na hana majukumu ya kumlipa mtu laki3! nina chumba kimoja na mtoto asiyeshinda nyumbani, nikakulipe sijui laki ya kuangalia tv au? kuna kazi gani mpaka nilipe pesa kujilinganisha na boss mwenye bungalow?
 
Iantegemea mnaishije nao huko! Huku sisi hata akiba za kwao tunawpaa wakitaka kwenda kusalimia nauli ni juu yetu! Mafuta lotion splash matibabu n.k ni sisi pesa yake haigusi kw anamna yoyote ila labda atake mwenyewe! Kumpa elfu60-70 sio pesa ndogo kama unavyofikiri!

Nikutolee mfano wa mwajiriwa anayelipwa 300k kama mshahara wa mwezi, anatakiwa akapange nyumba, gharama za nauli na chakula kila siku, mavazi na afya juu yake! Unahisi huyu mtu ana survive vipi?
Hapo saaa ni makubaliano yenu ninyi wawili, umlipe 100k ila kila kitu ajitegemee cha kwako ale chakula tu ila matumizi binafsi kama hizo losheni, pedi, sijui kisuka afanye mwenyewe. Wewe unakuwa unafanya mara mojamoja ukipata nafasi
 
Back
Top Bottom