Veteran Sailor
JF-Expert Member
- May 28, 2025
- 2,042
- 4,416
Dah,kwahiyo mimi mwenye Mshahara wa laki moja, nikimlipa house maid elfu 80 nitabakiwa na 20!!! Hapo sasa nani atakuwa boss!!
Ngoja labda nikujibu hapa, sio kila mdada wa kazi anaweza kazi nyingi au anaenda kufanya kazi kwa matajiri tu.. na sio kila mwenye uhitaji anataka kuwa luxurious kama unavyodhani! kuna watu wanafanya kazi kwenye ma-supemarket,shell,mitandao ya cm na wana watoto wadogo! mtu hawezi acha kutafuta ulaji eti kisa mtoto! kuna watu pia wanajifungua wanahitaji wasaidizi hata kama ni kwa muda tu! na kuna kina sie hujisikii tu kuosha hata chombo wala kupika ila unataka mdada! Tujue kutofautisha!Niliwahi kuuliza hili swali humu. Nilichapwa makofi ya keyboard sitasahau
Tafuta wa uwezo wako tu, wapo sana! hapa wengi ni keyboard warriors ila hawana experience ya kutosha! hutokaguliwa unamlipaje!Dah,kwahiyo mimi mwenye Mshahara wa laki moja, nikimlipa house maid elfu 80 nitabakiwa na 20!!! Hapo sasa nani atakuwa boss!!
Uzuri wa Serikali Mkuu upo hivi hakuna mwenye anabwekea Mtu kirahisi rahisi..watu wakishakuwa na Check Number tu...ndio maana utaona 80% ya huduma za serikali hakuna anaye care..mbona vijana wengi wanapenda kufanya kazi serikalini ambako nako wasimamizi wa mifumo ni wabongo hao hao wenye roho kwatu?
Kazi ipoUzuri wa Serikali Mkuu upo hivi hakuna mwenye anabwekea Mtu kirahisi rahisi..watu wakishakuwa na Check Number tu...ndio maana utaona 80% ya huduma za serikali hakuna anaye care..
Huko ukitaka taka vyeo ndio unaisha.Lakini fitina zipo za kumwaga..huko watu wanafuata Check number na uhakika na kubaki ajirani mpaka kizee.
Si umeona yule aliyempiga mwenzio mpaka Kuzimia kule Bariadi...yale ndio mambo sasa ya Serikali.Kazi ipo
Sahihi.Tafuta wa uwezo wako tu, wapo sana! hapa wengi ni keyboard warriors ila hawana experience ya kutosha! hutokaguliwa unamlipaje!
NaSi umeona yule aliyempiga mwenzio mpaka Kuzimia kule Bariadi...yale ndio mambo sasa ya Serikali.
Huko ndio kuna mifumo
Kazi lisaa
Chai mwaka mzima..chakula cha mchana miaka mitatu😀😀😀
Wewe unakumbuka enzi za kulipia Ankara za umeme..hela ni yao lakini mateso utakayokutana nayo si mchezo.
Wewe ni moja kati ya wachache..hongera sana.Mimi nafanya kazi ya umma lakini sifanyi kwa utaratibu huo. Inawezekana nipo sehemu isiyo sahihi?
Na
Mazingira niliyopo ya umma yananikutanisha na watu wengi wenye nidhamu ya kazi.Wewe ni moja kati ya wachache..hongera sana.
Hongera sana ..sana...pambania Taifa Mkuu na tufundishe namna njemaMazingira niliyopo ya umma yananikutanisha na watu wengi wenye nidhamu ya kazi.
Japo hizo issue za kula lunch saa nzima zipo.
Labda jamaa amezoea kuwaona hawa wa Tamisemi,lakini akifika hata baadhi ya Taasisi za serikali unaweza shangaa hapa ni private ama serikalini? Mfano mdogo tu hata hapo hosp ya Benjamini mkapa,,vitengo vingi wanafanya vizuri.Mimi nafanya kazi ya umma lakini sifanyi kwa utaratibu huo. Inawezekana nipo sehemu isiyo sahihi?
Na
Nafikiri umeiweka vizuri sana. KiongoziLabda jamaa amezoea kuwaona hawa wa Tamisemi,lakini akifika hata baadhi ya Taasisi za serikali unaweza shangaa hapa ni private ama serikalini? Mfano mdogo tu hata hapo hosp ya Benjamini mkapa,,vitengo vingi wanafanya vizuri.
Hiyo line ya mwisho..are you calling me dumb? 😁😁 Anyway nimekuelewa, kila mtu ana uhuru wa kufanya mambo yake kwa kadri anavyoona, nilipata majibu ya kutosha kwenye huo uzi japo mimi nilitaka kujua kwa wale wasio na watoto wanahitaji wadada wa kazi kwa shughuli gani? Majibu nilipata japo yaliambatana na vichamboNgoja labda nikujibu hapa, sio kila mdada wa kazi anaweza kazi nyingi au anaenda kufanya kazi kwa matajiri tu.. na sio kila mwenye uhitaji anataka kuwa luxurious kama unavyodhani! kuna watu wanafanya kazi kwenye ma-supemarket,shell,mitandao ya cm na wana watoto wadogo! mtu hawezi acha kutafuta ulaji eti kisa mtoto! kuna watu pia wanajifungua wanahitaji wasaidizi hata kama ni kwa muda tu! na kuna kina sie hujisikii tu kuosha hata chombo wala kupika ila unataka mdada! Tujue kutofautisha!
Think outside the box!
Sahihi, wengine tunaishia nao kwa mapenzi makubwa, unanunua nguo za wife nae unamchekia ya kwake, anakuja kukwambia sijui baba ana shida gani, umpe advance ya 20, unampa na mwisho wa mwezi unampa stahiki yake, mshahara kamili bila kumkata hata sh 10.Halafu hawa wapuuzi wanajiongelesha wanahisi kila mtu anaishi nao kama mbwa, mdada ukiishi naye kila kitu ni juu yako! Unaweza kupata mgonjwa ukaanza kumtibia, mavazi chakula malazi ni wewe, ukitoka humuachi nyuma na anaishi kama yuko kwao bado unapangiwa umlipe kama vile kapanga nje!
You know i can't do that right?Hiyo line ya mwisho..are you calling me dumb? 😁😁
hahaahaaa hapana tunajadili tu!pole kama umefikiria tofauti, ila ni kweli kila mtu ana sababu zake za kuhitaji mabinti wa kazi!Anyway nimekuelewa, kila mtu ana uhuru wa kufanya mambo yake kwa kadri anavyoona, nilipata majibu ya kutosha kwenye huo uzi japo mimi nilitaka kujua kwa wale wasio na watoto wanahitaji wadada wa kazi kwa shughuli gani? Majibu nilipata japo yaliambatana na vichambo
Umeongea kila kitu! huwezi kumpuuzia mtu anaumwa kisa unamlipa! au hana simu atajua mwenyewe.. anavaa havieleweki mpe hata zako kama zipo!Sahihi, wengine tunaishia nao kwa mapenzi makubwa, unanunua nguo za wife nae unamchekia ya kwake, anakuja kukwambia sijui baba ana shida gani, umpe advance ya 20, unampa na mwisho wa mwezi unampa stahiki yake, mshahara kamili bila kumkata hata sh 10.
Simu imekufa unajitahidi unamnunulia nyingine bila kukatana..
Kula kusaza hakuna limit.
Kifupi hatuishi nao kama wafanyakazi bali ni wadogo zetu...
Sikatai kuna matajiri kichefuchefu, ila wastaaràbu pia wapo
Nilikuwa nakutania tu hata hivyo, yeah mwisho wa siku tunajifunza pia kupitia experience za wengineYou kow i can't do that right?
hahaahaaa hapana tunajadili tu!pole kama umefikiria tofauti, ila ni kweli kila mtu ana sababu zake za kuhitaji mabinti wa kazi!