Housegirl alipwe Mshahara wa elfu 80 hadi laki 3

Umeongea kila kitu! huwezi kumpuuzia mtu anaumwa kisa unamlipa! au hana simu atajua mwenyewe.. anavaa havieleweki mpe hata zako kama zipo!
Mie nimekulia katika familia ambayo dada wa kazi ni mtoto wa nyumbani, kazi anashirikiana na dada zangu, tofauti kubwa tu ye mwisho wa mwezi anakunja chake anaweka mfukoni.

Wangu mwezi uliopita simu yake ilikufa, nilikuwa nina s10e ina cracks ndani, nikamuuliza kama fresh, akasema poa sana tu, saa hizi anaji selfie tu.
 
mimi pia! hatujawahi kuwabagua hawa watu wametulea na wameolewa mikononi mwa wazazi wetu!

Hahaahahaa boss mwema! sisi huku mdada unamkatia flight ukitaka kuondoka humuachi nyuma! ndio upendo lakini sio kila mtu anaweza hizo habari ndiomaana mishahara inazidiana!
 
Umeongea kila kitu! huwezi kumpuuzia mtu anaumwa kisa unamlipa! au hana simu atajua mwenyewe.. anavaa havieleweki mpe hata zako kama zipo!
Uzuri sheria ya kulinda hadhi ya wasaidiz wa kazi za nyumbani inakuja.
Tena mchakato wake unaenda kwa kasi ya 5G.
 
mimi pia! hatujawahi kuwabagua hawa watu wametulea na wameolewa mikononi mwa wazazi wetu!

Hahaahahaa boss mwema! sisi huku mdada unamkatia flight ukitaka kuondoka humuachi nyuma! ndio upendo lakini sio kila mtu anaweza hizo habari ndiomaana mishahara inazidiana!
Mwezi huu, binti wa kazi ambae yupo na bimkubwa anaolewa... wapo mabinti na dini walibadilishia kwangu.

Na sio kwamba tunafanya yote haya labda tuna hela, hapana ni upendo tu, tunathamini kile wanachotufanyia kama ambavyo wao wanatuthamini sisi
 
Hayo ni matokeo tu ya kuishi na watoto wa watu vizuri! kuna wengi tu wanafanya kwenye mishahara mikubwa na wanarudi kawaida tu hawana connection nzuri na hao watu!
 
Huwa haitoshi kabisa, ndiomaana kuna maboss wanawalipa hizo laki ngapi ila cha moto wanakipata! Unafanya kazi na huli kazini! Kwanini usijishushe ukaishi kama upo nyumbani, fanya kazi kwa malengo toka na kamtaji kako! Kutaka makubwa wanadanganya sana mwisho wa siku mambo yanawaharibikia kisa tamaa!
Kazi ya Housegirls kwa mfumo wa inavyofanyika Tanzania popote pale duniani ni utumwa tu, ni kazi mtu anafanya asife njaa tu baada ya kukosa au kushindwa kazi nyingine zote. Ni kazi ambayo hata mtu kujiendeleza ni vigumu sana.
 
Mkuu tunacho angalia ni uhalisia wa maisha ya mtanzania,na mishahara ya waajiriwa wengi..

Watumishi walio kwenye kundi kubwa hulipwa kati ya laki 5 mpaka 8..

Unataka kwa kipato hicho amlipe dada laki 3??

Kumbukeni kuna vibarua kwa wahindi wanalipa mpaka elf 3 kwa siku,,hyo buku 3 ni kila kitu nauli,matibabu na chakula ni ujibane hapo hapo..unatoboaje?
Tatizo kubwa Tanzania uchumi wa raia mdogo sana kwa hiyo hata muda wa mtu hauthaminiwi sana pia kihivyo.

Hao wafanyakazi wangepata pesa ya maana kama kwa siku wangekuwa wanafanya kazi angalau nyumba mbili badala ya kukaa nyumba moja tu ambapo kwa siku unakuta muda mwingi yupo tu wala hafanyi kazi yoyote. Ilitakiwa wapange kwao, anaingia nyumba moja asubuhi mpaka mchana laki tatu kwa mwezi, akitoka mchana anaenda nyumba nyingine mpaka jioni laki tatu kwa mwezi, Jumapili hakuna kufanya kazi. Hiyo ni laki sita kwa mwezi huku akiishi kama mtu huru kabisa anayeweza kujitegemea na kujiendeleza.
 
Kwa siku ni kama 3K na cent kidogo tu wala siyo nyingi,nao wanahitaji kujiwekea akiba wana wazazi wanawategemea etc wapeni favor wasaidizi wenu
Hao wafanyakazi wangepata pesa ya maana kama kwa siku wangekuwa wanafanya kazi angalau nyumba mbili badala ya kukaa nyumba moja tu ambapo kwa siku unakuta muda mwingi yupo tu wala hafanyi kazi yoyote. Ilitakiwa wapange kwao, anaingia nyumba moja asubuhi mpaka mchana laki tatu kwa mwezi, akitoka mchana anaenda nyumba nyingine mpaka jioni laki tatu kwa mwezi, Jumapili hakuna kufanya kazi. Hiyo ni laki sita kwa mwezi huku akiishi kama mtu huru kabisa anayeweza kujitegemea na kujiendeleza.
 
Tatizo kubwa Tanzania uchumi wa raia mdogo sana kwa hiyo hata muda wa mtu hauthaminiwi sana pia kihivyo.

Hao wafanyakazi wangepata pesa ya maana kama kwa siku wangekuwa wanafanya kazi angalau nyumba mbili badala ya kukaa nyumba moja tu ambapo kwa siku unakuta muda mwingi yupo tu wala hafanyi kazi yoyote. Ilitakiwa wapange kwao, anaingia nyumba moja asubuhi mpaka mchana laki tatu kwa mwezi, akitoka mchana anaenda nyumba nyingine mpaka jioni laki tatu kwa mwezi, Jumapili hakuna kufanya kazi. Hiyo ni laki sita kwa mwezi huku akiishi kama mtu huru kabisa anayeweza kujitegemea na kujiendeleza.
Shida Kubwa ni uchumi mkuu,,hicho ulicho andika hapa ni nchi za ulaya ndo wana uchumi wa hivyo..unakuta wasaidizi wa kazi wanalipwa kwa masaa,hivyo anaweza kufanya hata nyumba 4 kwa siku. Ndo maana watu wanapambana wazamie canada,tatizo ni visa tu.

Sasa wewe unalinganisha na bongo? Achilia mbali Africa,hakuna penye hyo green pasture...
 
Wanazingua mnoo,imagine kwanza huyo boss wake analipwa laki 5,yeye msaidizi anataka alipwe laki 3 kweli?

Kila kitu namuhudumia mimi,kuanzia chakula n.k..mfano mimi wa kwangu nimemkatia pia bima ya afya...na ninamlipa not less than 100k kwa mwezi.

Hii hela kama ni mstaarabu anaweza kusave tu, na kiasi kidogo akatuma kwao,maana kila kitu nampatia.

Lakini hawatosheki,,wanajua labda tunalipwa mamilioni.

Binti yangu namuambia unaweza pata kazi ukalipwa laki 2 but kila kitu ujitegemee kuanzia kodi ya nyumba,chakula,bill mbalimbali kama maji,umeme na uweke saving..utamudu kwa laki 2?? Nadhani huwa wanadanganyana huko mitaani lakini uhalisia wa maisha hawaujui.
Akilipwa laki mbili kwa masaa manne ya kazi kwa siku huku anajitegemea kila kitu sio mbaya sana, tena itamfanya afikirie na mambo mengine ya kufanya kama kushona, kusuka n.k. Sio unamlipa laki mbili akufanyie kazi siku nzima masaa nane.
 
Alilipwa laki mbili kwa masaa manne ya kazi kwa siku huku anajitegemea kila kitu sio mbaya sana. Sio unamlipa laki mbili akufanyiwa kazi siku nzima masaa nane.
Una comment kama huna akili timamu vile,,wewe ni mgeni hapa Tanzania ama unajizima data??
 
Shida Kubwa ni uchumi mkuu,,hicho ulicho andika hapa ni nchi za ulaya ndo wana uchumi wa hivyo..unakuta wasaidizi wa kazi wanalipwa kwa masaa,hivyo anaweza kufanya hata nyumba 4 kwa siku. Ndo maana watu wanapambana wazamie canada,tatizo ni visa tu.

Sasa wewe unalinganisha na bongo? Achilia mbali Africa,hakuna penye hyo green pasture...
Ila pia pamoja na uchumi wetu mdogo nafikiri Waafrika sisi ni wagumu sana kujiongeza, kuna nyumba unakuta Housegirl saa tano tu kashamaliza kazi zote. Unakuta huyo housegirl anashinda siku nzima kwenye nyumba amejikalia tu anapiga umbea na kuangalia TV mpaka jioni tena ndio apike, sasa kwa nini asingekuwa na kwake ili afanye kazi mpaka mchana tu huo muda unaobaki hata akatembeze uji au size genge la mboga aongeze kipato chake!
 
Wewe una comment bila kutafakari uhalisia wa maisha ya Mtanzania,unasahau kwamba watu wanahitaji wadada kwa ajili ya kuwasaidia majukumu ya kubaki na watoto wadogo na wazazi wakiwa kazini siyo kupika pekee.

Huyo dada akienda kwenye majukumu mengine nyumba ya jirani,huyo mtoto mdogo atabaki na nani?

Seran
 
Kama unataka dada wa kulea watoto wako inabidi umlipe pesa nyingi zaidi kuliko anayefanya usafi na kupika tu. Tatizo housegirls wengi hawana elimu ya kujadiliana( bargain) malipo yao au wamejikatia tamaa (wako desperate).

Ilitakiwa housegirl akiajiriwa alipwe kulingana na kazi atakazofanya. Kufanya usafi wa nyumba na kuosha vyombo bei yake, kufua nguo bei yake tofauti, kutunza bustani bei yake tofauti na kulea watoto bei yake tofauti kabisa. Sasa hivi sehemu nyingi unakuta bei wanayolipwa housegirls wanaolea watoto na wasio lea watoto ni sawa tu!
 
Kazi za nyumbani zinaisha saa 7 mchana?
Kama unataka mtu wa kumuagiza muda wote na kulea watoto wako kumlipa laki moja kwa mwezi ni utumwa mamboleo, hata kwa hiko kisingizio sijui cha analala na kula kwako. Huyo sio sawa na mtoto wako, mwisho wa siku na yeye anapaswa kuwa na maisha yake ya maana.
 
Back
Top Bottom