Housegirl ana mvuto zaidi ya mke wangu...


tatizo lenu ni jina la HG na sio mtu. Je angekuwa ni msichana wa kawaida yawezekana mngeniunga mkono ila kwakuwa ni HG mnaponda. Hilo ni kosa kubwa sana. HG ni binadamu kama wewe, anayo mahitaji yake kama yako! Anatabasamu, kucheka na ucheshi kama wewe! Shida yake ni kwamba hana elimu kama yako ndo maana amekubali kujishusha. Huyu HG ana miaka 30 na anafaa kabisa kuwa na ndoa sema eti anabaguliwa kwa vile ni HG! Jamani akili gani hiyo? Ina maana wewe kusali kwako kooote bado unaendeleza ubaguzi kwa ma HG?
 

Ndo hapo sasa...sijui ni kukosa confidence kwa muhusika au kuna matatizo mengine ya akili....siamini kabisa mtu anayejua consequences atafanya hivyo.
Well, that is life and that is how everybody makes his/her choices! Tunaangalia tu.
 

Unajua Wiyelele, Ishu siyo title - HG ingeweza pia kuwa CEO. Pia nakubali kabisa kuwa HG ni mtu kama mimi na mahitaji yake na kila kitu. HILO HALINA UBISHI/MGOGORO.
Tatizo ni utovu wa maadili.Huyo HG anakaa nyumbani kwako, wewe na mkeo mnamwagiza kazi za kufanya. Pengine kutegemeana na utendaji wake na umri wake mkeo inabidi kumkaripia kama ambavyo hata wewe mwajiri wako anaweza kukukaripia ufanyapo kazi zako vibaya. Kumbe mkiwa faragha, wewe unamponda mkeo mbele yake - ACHANA NA HUYO VUVUZELA MPENZI!
Kama nakuona vile! Je unadhani watoto wako watakuheshimu wakijua? Ba kwa taarifa, watoto wana sense huo upuuzi hata wakiwa wadogo vipi.
 


hizi ni tabia za fisi maji ambazo ni hatari sana.
utakuwa ulidhamiria kufanya haya toka mwanzo
 

Nimekupata, umetumia lugha ya kiutu uzima sana!
 
hizi ni tabia za fisi maji ambazo ni hatari sana.
utakuwa ulidhamiria kufanya haya toka mwanzo

Mhhh! Iron Lady kama kawa anaanza na kunifulumshia maneno! We mwanamke wewe mbona umefanana na mke wangu? Sina dhamira hata kidogo, mke wangu akijirudi hadi leo nitarudisha moyo wangu.
 
Mhhh! Iron Lady kama kawa anaanza na kunifulumshia maneno! We mwanamke wewe mbona umefanana na mke wangu? Sina dhamira hata kidogo, mke wangu akijirudi hadi leo nitarudisha moyo wangu.

huna haja ya kumridisha katika namna anayotakiwa kuwa ndio maaana umeamua kuanza kumsifia HG na kutaka kutoka nae ungetaka kumbadilisha mkeo usingeshindwa.
una lako jambo
 
Mhhh! Iron Lady kama kawa anaanza na kunifulumshia maneno! We mwanamke wewe mbona umefanana na mke wangu? Sina dhamira hata kidogo, mke wangu akijirudi hadi leo nitarudisha moyo wangu.

we usinifananishe na mkeo mwenye tabia za ajabu ajabu hizo.mimi ni THE Iron lady lakini najua kuhandle nyumba yangu vilivyo. na ninabehave accordingly.
 
kama kweli unachoandika ni uko serious, basi hayo matatizo unayoyaona kwa mkeo ni "reflfction" of who you are and what you do to her, most of times if we show love to them they do reflect it back to us na tusipofanya hivyo tutakutana na kinyume chake, naomba ujiulize maswali kadhaa, lini ulimwambia mkeo unampenda? lini ulimletea zawadi au nguo? lini uliongea naye kuhusu mambo yake binafsi au ofisini? lini ulimpa out? lini ulimpa chance kukushauri ? na unadhani anajisikia yupo na mume anayempenda?
 
we usinifananishe na mkeo mwenye tabia za ajabu ajabu hizo.mimi ni THE Iron lady lakini najua kuhandle nyumba yangu vilivyo. na ninabehave accordingly.

Nakubaliana na wewe ila avator inakusaliti
 
we unaonekana kabisa unatamaa ndio maana unamsifia HG na kumdanganyia mkeo mambo hapa jukwaani. hata hivyo tuna hakika gani kama mkeo kweli anafanya hayo uliyoyasema kama sio unataka kumtia ubaya. kama kweli mkalishe chini mfunze au na wewe utakuwa unamatatizo ndio maana anakuwa hivyo alivyo.
 
kama kweli unachoandika ni uko serious, basi hayo matatizo unayoyaona kwa mkeo ni "reflection" of who you are and what you do to her, most of times if we show love to them they do reflect it back to us na tusipofanya hivyo tutakutana na kinyume chake, naomba ujiulize maswali kadhaa, lini ulimwambia mkeo unampenda? lini ulimletea zawadi au nguo? lini uliongea naye kuhusu mambo yake binafsi au ofisini? lini ulimpa out? lini ulimpa chance kukushauri ? na unadhani anajisikia yupo na mume anayempenda?
 

You are a smiling saint indeed
 

Mi kweli ninayo matatizo tena makubwa ndo maana naomba msaada ya jukwaani. Njia zote nimetumai lakini hazijanisaidia! Nimefunga, nimeomba, nimenena kwa lugha kama okolobhoya! lakini waapi! Sasa nabaki kulia tu!
 
we mkaka lakini kaah, watu wanajifunza nini kwako bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…