Housegirl ana mvuto zaidi ya mke wangu...

Tamaa zipi mbona hapa umeanza kutamani na wewe? Hapa nimeleta mzigo uli niutue!

be serious my friend, tamaa za kimwili umeziweka sana mbele! mara kinakuuma sana x-girlfriend wako sijui anateswa wakati tayari ni mke wa mtu! je, mke wako umemuoa kwa bahati mbaya au kwa kulazimishwa mkuu? ulimpenda ndo maana ukaachana na wengine wote na yeye kumpa nafasi ya pekee, kuwa mwenzi katika maisha yako!
ya x-girlfriend yameisha japo kiroho kinakudunda unaleta swala la housegirl!!! ama umekuja kutania na kuchezea muda wa 'magreat thinkers'? u have to be serious buddy?!
Achana na mambo hayo, ndoa si mteremko!! usidhani mambo huwa shwari siku zotem, ukumbuke good moments alizowahi kukupatia mkeo mkuu Wiyelele!! habari ndio hiyo kaka!
 
Last edited by a moderator:

Sina tatizo na hilo maana nikimuoa nitahamia kwenye nyumba yangu nyingine.
 

Mi sina muda wa kuchezea hapa! Nitakukaribisha home ili ujionee vituko vya mke wangu pengine utabadilisha mawazo yako. Yangekukuta wewe ungefanyaje? Mwenzako sina raha nyumbani..
 
MMM...za lunch wanajamvi..kwa kweli asee mi najua case za watu walioacha wake zao kwa penzi la hg, kwanza una watoto na mkeo? And the 2nd thing dini yako ina ruhusu wewe kua na huyo 'mke wa pili'? And the last is unahisi jamii itakuchukuliaje? And tell me more kuhusu mkeo
 

refer to Red halafu unatuomba ushauri.
 

Refer to Red. sisi tukupe ushauri gani Rafiki!!!!
 
..........................ukipema si pema tena!
Yani umeshindwa kukaa chini na mkeo ukamueleza haya matatizo yake ili ajirekebishe na ukadhani kumtaka hosegirl ndio suluhu.

*umeshindwa kujua huyo hg ana brash viatu sababu ni hg?
*umeshindwa kujua ana kufulia nguo sababu ana jua asipo fanya hivyo ana chezea kibarua chake?

Nina uhakika hata kabla ujampata huyo mkeo ulimsifia vivyo hivyo kama unavyo fanya kwa hg.

Na kuhakikishia ukishampa huyo housegirl nafasi ya mke nayeye ataacha kufua na kubrash viatu kama awali na ata kushauri mtafute mfanyakazi maana atasema kazi ni nyingi zinamchosha! Kwa hiyo wewe utakuwa ni mtu wa kuzungusha macho tu bila kutatua tatizo!

Kama ukihamua kukaa na mkeo chini nina uhakika hili tatizo ni dogo sana na litapata mfumbuzi.

Na huyo hg umemtamani tuu hakuna lingine!

 
..ni mapenzi, hujui hata kuboresha penzi kwa mkeo, kutwa kutamani mara ex, mara hg poor you...

Sasa kama ex wangu anateswa na ananipenda, na huku mkeo anakusumbua, utanyamaza tu? Sawa nimekubali kumuacha ila huyu HG sikubali. We kwa vile ni mwanamke unamtetea mke wangu, je umekaa nae? Nishauri kwa busara mbona simsemi HG vibaya? Kwa nn niseme vibaya kwa mke wangu? Coz she is problematic!
 

Refer to Red. sisi tukupe ushauri gani Rafiki!!!!
 

Jamii itanielewa tu, kama haielewi is not my issue. The issue here is my sustained happiness.
 
Hivi ulijaribu kutatua au kukaa chini na mkeo ukamwambia haya na kujaribu kutatua tatizo?

Unadhani huyo hg ni malaika?
Sidhani kama ulilazimishwa kuoa na ukasema utaishi nae kwenye matatizo na raha!


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…