Majigo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 5,519
- 1,828
Mi hanitamanishi kabisa, lakini kazi zake ndo zinamfaa kuwa mke kabisa! Pia ni kweli she looks beautiful indeed! Amenawili kwa kula chakula changu na kuogea sabuni zangu.
ooh!Am Tired!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi hanitamanishi kabisa, lakini kazi zake ndo zinamfaa kuwa mke kabisa! Pia ni kweli she looks beautiful indeed! Amenawili kwa kula chakula changu na kuogea sabuni zangu.
Naona ni vema mke wangu ampishe huyu housegirl. Naomba ushauri nifanyeje jamani maana housegirl anavyong'ara itaniuma akienda kwa mtu mwingine.
Ni sawa kabisa mkuu lakini alitakiwa aainishe hizo sababu zake kwenye maada kuu maana wengi tunaanzia hapo kusoma inawezekana ni kweli mke anamatatizo lakini bado ninaamini hata yeye jamaa hajui ni kwanini hampendi maana angejua ndizo angezitaja, ok tuaache hayo hivi kweli unaweza kuomba msaada wa kurudiana na mke wa mtu tena halali wa ndoa, nadhani bado anatatizo la kutokuelewa nini maana ya ndoa maana huwezi kufikiria kuoa mke wa mtu, kwa maana nyingi anamuombea mabaya yule jamaa ili arithi yeye huoni ni hatari hiyoKatika michango yako naona ameweka wazi kabisa sababu ambazo zinamfanya hana furaha ndani ya ndoa yake kiasi cha kuomba msaada kwa wakwe zake na wazee wa kanisa. Unapokuwa kwenye ndoa ambayo haina furaha na umejitahidi kadri ya uwezo wako kubadilisha hali hiyo bila mafanikio basi unakuwa kama mfa maji hauishi kutapatapa kutafuta namna ya kujitoa katika ndoa hiyo, hiyo hakuna cha ajabu kwa huyu jamaa kuomba ushauri kuhusu EX GF ambaye ni mke wa mtu katika ndoa ambayo imeshamshinda na hg ambaye anazidi kunawiri na kuvutia kwa kila hali na ambaye ana onyesha adabu tele kwa baba mwenye nyumba kuliko mke ambaye pamoja na msaada wa wazazi wake na wazee wa kanisa bado ni kichwa maji.
.............halafu maisha yenyewe mafupi haya! Nishindwe kufurahia maisha kisa kuzinguliwa na mke? Thumbs up my friend!
Unajua nini wanawake wazuri hawaishi utamuacha huyo mkeo utamchukua beki tatu atatokea mwanamke mzuri kushinda huyo beki tatu cha msingi we ridhika na huyo mkeo la sivyo utaacha wanawake wote na bado usiridhike.
Ni sawa kabisa mkuu lakini alitakiwa aainishe hizo sababu zake kwenye maada kuu maana wengi tunaanzia hapo kusoma inawezekana ni kweli mke anamatatizo lakini bado ninaamini hata yeye jamaa hajui ni kwanini hampendi maana angejua ndizo angezitaja, ok tuaache hayo hivi kweli unaweza kuomba msaada wa kurudiana na mke wa mtu tena halali wa ndoa, nadhani bado anatatizo la kutokuelewa nini maana ya ndoa maana huwezi kufikiria kuoa mke wa mtu, kwa maana nyingi anamuombea mabaya yule jamaa ili arithi yeye huoni ni hatari hiyo
You are so objective kwa vile umetazama pande zote. Mtu eti mkiwa wachumba anakazana kumbe linataka kuolewa tu na watu wale ubwabwa! Unamwingiza ndani anaanza kuleta za kuleta anasahau kila kitu. Sasa zigo kama hili la nini? Halafu cha ajabu mtu mwenyewe nae ni graduate ambae lazima awe muelewa. Mimi sivuti sigara wala sinywi na nina akili timamu, iweje mke anitese kiasi hiki?
Hahahhah pole sana mkuu....nadhani utakuwa unapewa kichapo kila ukichelewa hebu na uwe muwazi kidogo...ama ujisajili kile chama cha wanaume wa Nyeri.My friend, this marriage is incurable! I have been in hell with this for 4 years!
Yule nimepata ushauri niachane nae na nimekubali yaishe japo......
Mkuu huyu jamaa ni bure kabisa hana hoja labda niseme alitaka kujaza thread yake ya kwanza kwa kuwa na comment nyingi!!nanina huhakika hana mke huyu Wiyelele kama kweli ameoa alioa kabla ya kupevuka kwana naanzia neno msichana wa ndani na mke wandani tafuta uwiano!!halafu uniambie kwa nini amefikia mahali anaona HG ni bora kuliko mke!!Mwanangu Wiyelele acha uroho na tamaa za kipuuzi. Kwanini usimwambie mkeo matatizo yake na jinsi yanavyokuathiri badala ya kuanza kumwakia HG wenu? Si useme tu kuwa unajenga mazingira ya kutaka kumwacha mkeo na kuoa huyo HG? Ila kumbuka. Mkeo anaweza kummwagia maji ya moto na huo uzuri uliokuzuzua ukapotea ukamponza mtoto wa watu. Warembo hawajazaliwa. Leo utampenda huyo na kumponda hata kumwacha mkeo. Kesho utapata HG mwingine mzuri kuliko huyo naye unamnyemelea. Utanyemelea wangapi mwanangu? Usikubali kuingia majaribuni. Ili kukusaidia zaidi hebu fikria mkeo angemuona House Boy wenu mzuri kuliko wewe ungejisikiaje? Nadhani tatizo la mkeo si kilema. Ni malezi mabaya tu ya kutojulishwa wajibu na mipaka ya mke. Kwangu mimi HG hawezi kugusa vitu vyangu hasa ikizingatiwa kuwa mama yenu alilelewa vilivyo.
You should differentiate between a Hg and my daughter. There is also a difference btn my wife and daughter. It appears u dont understand and pls put yourself into my shoes.