Housegirl ana mvuto zaidi ya mke wangu...

Housegirl ana mvuto zaidi ya mke wangu...

Mi hanitamanishi kabisa, lakini kazi zake ndo zinamfaa kuwa mke kabisa! Pia ni kweli she looks beautiful indeed! Amenawili kwa kula chakula changu na kuogea sabuni zangu.

ooh!Am Tired!!!
 
Mkuu nimepitia ushauri mbalimbali uliopewa na majibu yako unayotoa, inaonekana kana kwamba umeshaamua tangu mwanzo ni nini la kufanya. Any way, binafsi nakutakia mema katika maamuzi yako, ila nikupe uzoefu waangu, nilishafanyaa kitu kama hicho, ila si house girl bali rafiki wa ex-wife wangu baada ya kupata matatizo kama yanayofanana na yako, cha ajabu balaa niliyopata katika mahusiano na hata heshima katika jamii, yamenijutisha na hivi ninvayoandika nimebaki single. Ningefuata ushauri wa kukaa pamoja na mke wangu kurekebisha mambo, haya yaasingenipata, nililia wembe nikapewa ukanikata, nilidharau dafu kwa embe ambalo ni tunda la msimu, nikakiona, Subira yavuta heri Mkuu, sikuombei baadaye kufaanya uamuzi wa kubaaki Single baada ya kuona hata uamuzi unaofanya una matatizo. All the best Mkuu.
 
Naona ni vema mke wangu ampishe huyu housegirl. Naomba ushauri nifanyeje jamani maana housegirl anavyong'ara itaniuma akienda kwa mtu mwingine.

MWACHE MKEO, MCHUKUE HOUSEGIRL, ukishamwacha wife naomba namba yake ya simu, huyo hakufai kabisa, fanya mchakato basi halafu unijulishe, ni hayo tu mkuu.
 
Kuwa makini ndugu yangu!
Achana na house girl, mwache afanye kazi zake, nawe uwe kama baba, ikiwezekana umsaidie kumtunza apate mume
mwema, wewe ndio kwanzaaa unamuangalia anavyotembea!
Jifunze kuwa jasiri, pia jiandae kuwa baba mwema wa kuja kulea mabinti zako!

Kuna baadhi ya mababa utawaona wanaangalia maumbo ya mabinti zao halafu wanatikisa kichwa.......
 
Katika michango yako naona ameweka wazi kabisa sababu ambazo zinamfanya hana furaha ndani ya ndoa yake kiasi cha kuomba msaada kwa wakwe zake na wazee wa kanisa. Unapokuwa kwenye ndoa ambayo haina furaha na umejitahidi kadri ya uwezo wako kubadilisha hali hiyo bila mafanikio basi unakuwa kama mfa maji hauishi kutapatapa kutafuta namna ya kujitoa katika ndoa hiyo, hiyo hakuna cha ajabu kwa huyu jamaa kuomba ushauri kuhusu EX GF ambaye ni mke wa mtu katika ndoa ambayo imeshamshinda na hg ambaye anazidi kunawiri na kuvutia kwa kila hali na ambaye ana onyesha adabu tele kwa baba mwenye nyumba kuliko mke ambaye pamoja na msaada wa wazazi wake na wazee wa kanisa bado ni kichwa maji.
Ni sawa kabisa mkuu lakini alitakiwa aainishe hizo sababu zake kwenye maada kuu maana wengi tunaanzia hapo kusoma inawezekana ni kweli mke anamatatizo lakini bado ninaamini hata yeye jamaa hajui ni kwanini hampendi maana angejua ndizo angezitaja, ok tuaache hayo hivi kweli unaweza kuomba msaada wa kurudiana na mke wa mtu tena halali wa ndoa, nadhani bado anatatizo la kutokuelewa nini maana ya ndoa maana huwezi kufikiria kuoa mke wa mtu, kwa maana nyingi anamuombea mabaya yule jamaa ili arithi yeye huoni ni hatari hiyo
 
Any excuse to justify your cheating ways. Your wife is probably already cheating on you. Good luck na huyo
hausigeli.


.............halafu maisha yenyewe mafupi haya! Nishindwe kufurahia maisha kisa kuzinguliwa na mke? Thumbs up my friend!
 
...jipe dakika 5 tu kufikilia kwamba je huyo mkeo hana hata moja jema kwako? kama yapo yathamin kwanza na hatimae utamuona housegal hafai, ila kama unaamua kupotea just potea then wana jf hatutakuwepo.
 
Unajua nini wanawake wazuri hawaishi utamuacha huyo mkeo utamchukua beki tatu atatokea mwanamke mzuri kushinda huyo beki tatu cha msingi we ridhika na huyo mkeo la sivyo utaacha wanawake wote na bado usiridhike.

atahamia kwa kuku na mbuz.
 
Ni sawa kabisa mkuu lakini alitakiwa aainishe hizo sababu zake kwenye maada kuu maana wengi tunaanzia hapo kusoma inawezekana ni kweli mke anamatatizo lakini bado ninaamini hata yeye jamaa hajui ni kwanini hampendi maana angejua ndizo angezitaja, ok tuaache hayo hivi kweli unaweza kuomba msaada wa kurudiana na mke wa mtu tena halali wa ndoa, nadhani bado anatatizo la kutokuelewa nini maana ya ndoa maana huwezi kufikiria kuoa mke wa mtu, kwa maana nyingi anamuombea mabaya yule jamaa ili arithi yeye huoni ni hatari hiyo

huyu m2 inaonesha nanii yake imepakwa pilipili ndo mana kaz yake kuingza 2 hata pacpoinglika!
 
You are so objective kwa vile umetazama pande zote. Mtu eti mkiwa wachumba anakazana kumbe linataka kuolewa tu na watu wale ubwabwa! Unamwingiza ndani anaanza kuleta za kuleta anasahau kila kitu. Sasa zigo kama hili la nini? Halafu cha ajabu mtu mwenyewe nae ni graduate ambae lazima awe muelewa. Mimi sivuti sigara wala sinywi na nina akili timamu, iweje mke anitese kiasi hiki?

Mimi naelewa vizuri mazingira anayoishi Wiyelele. Kwa kweli inauma sana unapoona mwanamke anakubadilikia namna hii. Na hakuna kitu kinachoput-off mme kama mke mwenye jeuri anayejiona yuko sawasawa na wewe. Hivi wanawake kwanini mnabadilika hadi kuhatarisha ndoa zenu? Mke anapungukiwa nini ku-mtreat mume kwa adabu na kumhudumia kama hiyo ita-buy a lot of mileage kwa mume? Wakati mwingine nasema kuna wanawake who were not built to be wives at all...!!
 
Eti roho inakuuma hg kuchukuliwa na m2 mwingne! Oa had wanao haiwezekan uwazae na kuwalea af wengne wale.
 
Ndoa ni pamoja na majukumu si pete peke yake, wasipobadilika maHG watawapindua sana.
 
My friend, this marriage is incurable! I have been in hell with this for 4 years!
Hahahhah pole sana mkuu....nadhani utakuwa unapewa kichapo kila ukichelewa hebu na uwe muwazi kidogo...ama ujisajili kile chama cha wanaume wa Nyeri.

images
 
Pole kijana nilikua sijasoma post yako vyema,anayekufanya ufanye huo unyama ni mkeo,ila kabla huajafanya muonye kwanza ili ajirekebishe yaelekea baada ya kupata bek tatu akasahau marespo,ikitokea hajabadilika usimfanyie huo unyama wa kumfukuza na kumuweka bek tatu bora umwachie nyumba,wewe tembea zko na bek if you think she will be a right wife for u,ila usirud tena kuomba ushauri mara ooh bek tatu kabadilika.
 
mwache mkeo watu wamchukue wampige dudud na kumpendezesha ndio akili itakukaa... Utaanza kumpenda tena. Wewe mkeo unamlisha maembe na kumpiga ameshakomaa unajifanya humtaki. Kudadadeki we ngoja wajanja wampate
 
Yule nimepata ushauri niachane nae na nimekubali yaishe japo......

So huyu sio first lover wako?mkuu unanipa zaidi ya raha,tell me ni just joke tu plz!maana now utakuja na ya mdogo wako anakuvutia kimapenz!
 
Mwanangu Wiyelele acha uroho na tamaa za kipuuzi. Kwanini usimwambie mkeo matatizo yake na jinsi yanavyokuathiri badala ya kuanza kumwakia HG wenu? Si useme tu kuwa unajenga mazingira ya kutaka kumwacha mkeo na kuoa huyo HG? Ila kumbuka. Mkeo anaweza kummwagia maji ya moto na huo uzuri uliokuzuzua ukapotea ukamponza mtoto wa watu. Warembo hawajazaliwa. Leo utampenda huyo na kumponda hata kumwacha mkeo. Kesho utapata HG mwingine mzuri kuliko huyo naye unamnyemelea. Utanyemelea wangapi mwanangu? Usikubali kuingia majaribuni. Ili kukusaidia zaidi hebu fikria mkeo angemuona House Boy wenu mzuri kuliko wewe ungejisikiaje? Nadhani tatizo la mkeo si kilema. Ni malezi mabaya tu ya kutojulishwa wajibu na mipaka ya mke. Kwangu mimi HG hawezi kugusa vitu vyangu hasa ikizingatiwa kuwa mama yenu alilelewa vilivyo.
Mkuu huyu jamaa ni bure kabisa hana hoja labda niseme alitaka kujaza thread yake ya kwanza kwa kuwa na comment nyingi!!nanina huhakika hana mke huyu Wiyelele kama kweli ameoa alioa kabla ya kupevuka kwana naanzia neno msichana wa ndani na mke wandani tafuta uwiano!!halafu uniambie kwa nini amefikia mahali anaona HG ni bora kuliko mke!!
(1)Mke alisha gundua kitambo kuwa huyu mwanamme ni mchafu ambaye anatembea na HG!akamdharau!
(2)Jamaa ameanza kutembea na HG mpaka anajisahau kuwa ameoa kwa maana kila kosa aliloliona kwa mwanamke aliona nibora yakuendelea na HG!!
Pili kama kweli siyo mambo ya kufikrika basi jamaa hapendi kushahuriwa na zaidi ajazaa na mwanamke yawezekana jamaa maneno mengi!
 
Last edited by a moderator:
Unamfagilia housegirl sababu anafanya kazi za nyumbani, kazi za ambazo unasema anatakiwa afanye mkeo. She respects you and is on her best behaviour only because you pay her a salary!!!You say she's looking good because of you. She works, you pay her, she takes care of herself ... Of course she will look good, and so will your house, food, clothes etc. When you decide to make her your mistress just remember she will get a housegirl and delegate the work to her, you will use this as an excuse to start another affair with the younger and more naive woman . Hautaridhika kamwe!


As a man, kaa chini ongea na mkeo Kama kweli unataka kudumisha ndoa yako. things might not change overnight but both parties need to work together. An affair will guarantee the end of your marriage. It cannot be undone.


You should differentiate between a Hg and my daughter. There is also a difference btn my wife and daughter. It appears u dont understand and pls put yourself into my shoes.
 
Yaani mi ningekuwa nyavuni kita,bo kuliko kuandika andika mahekaya yamabunuwasi humu jf...
 
Back
Top Bottom