Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba unijibu hili swali kabla ya ushauri nitakao kupatia "Je wakati unachukua uamuzi wa kumuoa huyo mkeo ulitumia vugezo vipi?"na je haukumchunguza tabia zake kabla?kipi kilikuvutia kuwa na huyo mchonga maneno?
Tar 14, haya lete habari yako
walikusogezea siku moja,utakuwa umezaliwa tar 13,namba nuksi duniani hakuna mfano hata hotelini hakunaga chumba no 13!ndio maana una akili za ajabu ajabu,hebu nikupe akili ndogo itakayokufanya ujijue,nenda kamuambie mkeo akuandikie mambo yako asiyoyapenda,akijaza karatasi zaidi ya moja usishangae.nashawishika kuamini ktk kuharibika kwa ndoa yako pengine wewe unachangia asilimia nyingi zaidi
nenda kamuambie mkeo akuandikie kisha ulete feedback
We bwana weee, wanawake ni kama kinyonga. Ukiwa unamtaka atakuwa na quality zote ambazo utazihitaji...mwingize ndani uone!
samahani naomba kufahamu umri wakoNimepata ushauri na nashukuru kwa wale wote walionipa ushauri wa kuachana na ex-girlfriend ambaye kwa sasa ni mke wa mtu (japo bado kinaniuma anavyoteswa).
Lakini tatizo linalobaki ni kwamba mke wangu bado yupo. Kwa vile yeye anawahi kurudi job, nikifika wala hastuki - hanipokei mizigo! Nguo hajawahi kunifulia na kila kitu kama kunyoosha nguo zangu (na zake), kupika, kung'arisha viatu vyangu anafanya housegirl ambaye tumekaa nae miaka karibu 4.
Watu wengi wakimuona huwa wanamheshimu kuliko mke wangu kutokana na upole na urembo wake. Mke wangu ni kinara wa kuchonga maneno! Kila siku ni ugomvi tu na hana shukrani. Huyu HG, ni mzuri kuliko mke wangu. Nimemlea na anapendeza mtoto wa watu akipita anaita vilivyo. Naona ni vema mke wangu ampishe huyu housegirl.
Naomba ushauri nifanyeje jamani maana housegirl anavyong'ara itaniuma akienda kwa mtu mwingine.
aaaa una wrong judgement! Nadhani wewe unapiga sana na umefumaniwa mara nyingi ukiwa kwenye chumba no 13
umeona ulivyo na akili za ajabuajabu,watu wenye busara zao wanakuambia kitu badala ya kuanza kufanyia kazi unaleta maneno mbofumbofu!ni dhahiri wewe haushauriki hata kwa mkeo!kila la kheri kijana!fanya chochote unachojisikia.mwisho wa siku hayo ni maisha yako mwenyewe
Naye ameshakuwa My LOVE wako; duh!
kwa uelewa wangu mdogo si kila uonapo mzuri kuliko basi unamwacha uliyenae unaenda kwa mzuri utabadilisha wangapi? ndoa tunaziita pingu za maisha kwani ukishaingia ndo umeshajifunga sasa mkuu mi nakushauri usifanye hayo ni ya watoto wanaobaleheMapenzi hayana umri mkuu! Mi ninachohitaji ni ushauri kutoka kwa wana JF bila kujali umri wao.
Hivi unafikiri ni wewe tu ambaye una macho ya kuona wazuri? Hata mkeo akitoka hapo ndani wazuri anawaona SANA! Tena hata yule houseboy wa jirani ambaye anabonge la physique anamkamata jicho. Ila anajiheshimu na kuku heshimu wewe kama mmewe ndo hafanyi upuzi kama wewe! Let me tell you a secret... COMMUNICATION!!! Tell her what you need. Hata hivyo ulimleta huyo HG aje kulala au kuchapa kazi? Acha afanye kazi za HG na kwa mengine wambie mkeo unachohitaji. Ama vipi ikiwa mbaya sana mfukuze huyo HG kabla haujaambulia pabaya!!!
Ndo hapo sasa Kaunga...Total confusion of minds in the continent called Africa. I can't believe what we think when we allow ourselves to sleep with housegirls...I mean how is it possible when you stay with the family in the same house? Duuuh!