Naamka asubuhi, nasali,naenda kuoga, nakula weed naenda kazini nachapa kazi kwa nguvu zangu zote then narudi home kabla ya kupiga Tena weed nasali kumshukuru MUNGU kwa kunilinda then weed, kuoga, kula, kulala.
- Wiki hii imekua ngumu, uko sawa? mambo yanayoendelea Tanzania yanakufanya ujisikiaje?
- Unafanya vitu gani kuhakikisha afya yako ya akili haiterereki?
- Tupe suggestion ya movie mpya au series zitusaidie kusukuma weekend.
- Weka picha inayoreflect mwezi April na mwaka 2026 so far na isindikize na maneno ya wahenga
- Kuna habari yoyote ambayo imekushtua, kukushangaza au kukufundisha?
Mbali na ripoti ya tume, binafsi kuna habari nimeisoma CNN imenifanya nijisikie vibaya kuhusu wanaume wanaofundishana online jinsi ya kuwaingilia wake zao wakiwa usingizini. Ni kweli hampewi tendo la ndoa mpaka mnawalevya wake zenu? au ni tabia za ubakaji ambazo baadhi ya wanaume wanazo? umeshawahi kusikia mkasa kama huu kwa Tanzania?
View attachment 3579213
Hongera sana mzee mwenzangu, ni jambo la kheri sana!Nimepata kajukuu ka kiume tarehe 23 nimeamua kukaita jina la yule baba jaji mstaafu aliekua mwenyekiti wa kamati aliyeomba bundwe kamati....π
Not good, not bad πHow are you feeling?
Ndoh mambo yake sasa siunajua mambo ya uswazBinti wa zamani unajua sana kupetipeti
unatupetipeti sana, tunajisikiaje wiki imeendaje. lakini nawewe pia naimani uko poa
Safi sana, na wiki inayokuja ikawe vivyo hivyo then!Wiki ilikua nzuri
Inahusu nini hyo 180 maana nimeiona na Binti wa zamani kaitaja1. Mimi na siasa hatuna ukaribu.. naonaga zinanivuruga tu
2. I focus on what I can control
3. Movie mpya ni 180 na Apex kwa Netflix
4. Sina picha ila emoj ya ππ vyatosha
5. Report ya viongozi wa Nchi kuhusiana na Oct29 π
Nilikasirika sana lakini nilinyetuka nikapata unafuu. Mungu ni mwema.
Asante sana mkuu.View attachment 3579272
Kama ulipata unafuu basi kheri π€ !
Mahali tunaelekea si sahihiBinafsi siasa za Tanzania zimenipa msongo sana wa mawazo, usiku wa kumkia leo nimestuka saa nane hadi asubuhi nilikua nawaza siasa na yalio tokea na ripoti na hatma nk.
Ni kweli kabisa, binafsi huwa najitahidi kujiweka mbali na habari mbaya za kiasiasa za kila siku, ila wiki hii nimefuatilia.Ila kuna ndugu alisemaga ukiwa mfuatiliaji wa siasa za Tanzania kisha ukawa sawa kiakili basi hata jehanamu unaweza kuishi pasina shida.
Na coka juu πKwenye mihongo yenye tomato sauce na mirinda mbili
Una furaha au ndiyo umeenda huko kupunguza machungu?Npo club napiga zangu bia
Kwahiyo sisi tunanyukana we uko hukuπ€1. Mimi na siasa hatuna ukaribu.. naonaga zinanivuruga tu
2. I focus on what I can control
3. Movie mpya ni 180 na Apex kwa Netflix
4. Sina picha ila emoj ya ππ vyatosha
5. Report ya viongozi wa Nchi kuhusiana na Oct29 π
π1. Mimi na siasa hatuna ukaribu.. naonaga zinanivuruga tu
2. I focus on what I can control
Apex bado sijaiona, will check it out3. Movie mpya ni 180 na Apex kwa Netflix
All will be well, pole!4. Sina picha ila emoj ya ππ vyatosha
π―5. Report ya viongozi wa Nchi kuhusiana na Oct29 π
Hii week ndio imefanya niamini kuwa am married to workπ«
- Wiki hii imekua ngumu, uko sawa? mambo yanayoendelea Tanzania yanakufanya ujisikiaje?
Namalizia stress zangu humuπ
- Unafanya vitu gani kuhakikisha afya yako ya akili haiterereki?
Mi naitaka hiyo umetaja hapo kesho nipambane nayo..
- Tupe suggestion ya movie mpya au series zitusaidie kusukuma weekend.
Zipo nyingi, ila nimejifunza people are not oxygen!Kuna habari yoyote ambayo imekushtua, kukushangaza, kukusikitisha au kukufundisha?
Nimpate wa hivi nimpige kipepsi cha pua, teke la nyuma hatorudiaπ
Mbali na ripoti ya tume, binafsi kuna habari nimeisoma CNN imenifanya nijisikie vibaya kuhusu wanaume wanaofundishana online jinsi ya kuwaingilia wake zao wakiwa usingizini. Ni kweli hampewi tendo la ndoa mpaka mnawalevya wake zenu? au ni tabia za ubakaji ambazo baadhi ya wanaume wanazo? umeshawahi kusikia mkasa kama huu kwa Tanzania?
Inaonekana umejitengenezea rythm ambayo ina-work, hongera!Naamka asubuhi, nasali,naenda kuoga, nakula weed naenda kazini nachapa kazi kwa nguvu zangu zote then narudi home kabla ya kupiga Tena weed nasali kumshukuru MUNGU kwa kunilinda then weed, kuoga, kula, kulala.
Pole na changamoto ya mafuta!Ila bei ya mafuta ndo changamoto, nafikiria kufunga mtungi wa gesi.
Kupunguza machungu na kujiliwazaUna furaha au ndiyo umeenda huko kupunguza machungu?