How did you feel the last time you saw your Ex?


Ex zako wana watoto

Wewe unao wangapi sasa?
 
Hahahaha,
Yes, ndio.
Safi sana KamaU-mzima,Hakika Mungu Ni Mwema Wakati Wote!!
Sifa zote hizo za kwangu?[emoji4][emoji4]

Mie mzima mpendwa,habari za kwako?
Pokea zawadi Yangu...


Hii Kwa ajili yako: Afro B -Joanna(Drogba).
 
Mimi sina hata mtoto.
Ex zako wana watoto

Wewe unao wangapi sasa?
Rais Mstaafu Mkapa Katika Mdahalo Mmoja ndani ya Chuo kikuu cha Dar Es salaam,
Aliwahi kuzungumzia "issue" ya Sera Ya Population/Watu...Taifa kwa kiasi kikubwa hatulipi uzito swala la Watu/Ongezeko-Pungufu...!


Watanzania saizi tunazaliana kwa kasi ya kimbuga...!


Asilimia zaiidi ya 65 Tanzania ni vijana,Huku Maisha kwa wengi yakiwa ni tiamaji-tiamaji..

Mfano:Binti Wa Miaka 22/19 Unakuta anawatoto 3/2 mara nyingi huwa ni sababu za kiuchumi,Elimu ndogo ya Masuala ya Mahusiano/ngono & Ujana Maji ya Moto.


Hivyo bado mimi nipo nipo Kwanzaa (Mtoto na ndoa) kama Mwana Falsafa Wa East,Japo alipingwa Sana na babu Insepecta..

Unasema bado upo upo..??- Uzinzi.
 
Aibu aliona yeye...!!maana hali aliyoniacha nayo na alonikuta nayo hakutegemea kabsaaa
 
Nilijiskia kawaida tu, ana maisha yake nami na yangu...ni maisha yalishapita ni salamu tu na utani kidogo bas, cjui yeye anajiskiaje.
 


Rahisi wa sasa alishauri mfyatue tu

Kila la heri katika kuanza kutafuta watoto
 
Kuna baadhi ni Kama takataka inapokuwa jalalani vile hujihangaishi kuitizama wala kuifatilia

natupaga jongoo na mti wake
 
Wow!!!great,Amazing

Umetisha,Asante sana....!!

Thank You My Joanah.
Thank you for the zawadi [emoji7][emoji7]

Na mie zawadi yangu hii kutoka kwa Alsina-kissing on my tattoo






 
Hiyo ni Sababu Mojawapo Ya Ubongo wangu kum'kataa huyu President Wa leo-Nahodha Kipofu..


Anapwaya sana na Elimu yake ya kukariri ya Walio Wengi.
Rahisi wa sasa alishauri mfyatue tu

Kila la heri katika kuanza kutafuta watoto
Shukran!!Watoto ni Urithi.
 
Fanya kama unamrudia hv manake ni kama bado mnafeelana hv
 
Yuko nae wangu alikuwa ex kwa mwezi ss umeisha,juz kati nkamwambia naumwa npo tu geto nmejituliza,kanambia nakuja kukujulia hali,ile kufika ananikuta nzma wa afya ,kilichofuatua n kuishia kitandan romanc za maana na show ya maana,cha ajabu kanitxt kuwa hatuwez endelea tena cz hata hyo jana alikuja nijulia hali tu na wala c kuvunja amri ya 6,m nmemwambia aendee tu siwez mlazimisha awe na mm,bt nmejiulza kwa nn aje anipe mzgo then anambie tuachane?
 
Dahh mkuu nimesoma hii reply uku natabasamu, unajua Sana kuandika kwa vile uzi wa Kula tunda kimasihara umefutwa, kwanini usiandike kitabu kabsa kuhusiana na tunda kimasihara😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…