Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
bht mamaa soma alama za nyakati.Makanisa siku hizi yanaota tu.linaweza kuwa ni kanisa jipya lina marekebisho yafuatayo;ndio tumeuliza je mnaenda kuiadhimisha hio ibada huko??.......hujajibu wauliza tena B
ndio tumeuliza je mnaenda kuiadhimisha hio ibada huko??.......hujajibu wauliza tena B
Mahali popote penye vituo 14 panafaa.
πππmeli inaelea shilingi inazama
ubaya lile soko limeungua, wapi nitapata supu ya pweza na leo ijumaa tunaenda zetu gest huko mkuranga...damn....π
juisi ya pilipili tafadhali pamoja na divai(ile ya kanisani sio dhambi,imeombewa alkoholi haina ina damu ya Yesu)senks, umenena vyema shemeji. Kinywaji gani (itifaki ikiwa imezingatiwa)
juisi ya pilipili tafadhali pamoja na divai(ile ya kanisani sio dhambi,imeombewa alkoholi haina ina damu ya Yesu)
tobaaaaaa,DNT TRY ZIZ AT JF
ha ha ha hapo kwenye nyekundu ndo pa kujali zaidi!πππmeli inaelea shilingi inazama
ubaya lile soko limeungua, wapi nitapata supu ya pweza na leo ijumaa tunaenda zetu gest huko mkuranga...damn....π
bht mamaa soma alama za nyakati.Makanisa siku hizi yanaota tu.linaweza kuwa ni kanisa jipya lina marekebisho yafuatayo;
Mapadri/masista ruksa kuoa /kuolewa.
misa,njia ya msalaba ruksa kufanyikia gesti(labda ili wadumisha mila waongoke)
nijaribie wapi pearl,,kindly provide an alternative:d
halafu wewe una majaribu kweli kwel!atakuja kweli huyoπππBby come ova to 9t,do u no ze song?
halafu wewe una majaribu kweli kwel!atakuja kweli huyo:d:d:d
Bby come ova to 9t,do u no ze song?
halafu wewe una majaribu kweli kwel!atakuja kweli huyoπππ
ha ha ha hapo kwenye nyekundu ndo pa kujali zaidi!
Afu apo usifananishe wingu na moshiππ
aaaaaaah ati nyie ndo wateja wake maarufu nini?? kwa nini leo mnaulizana nyumba za wageni na nyie wenyeji mjini hapa???
my dia ni kweli kabisa yani ni pazuri kinoma nilienda kule nilivyotoka kwenye yale mashamba(hope u rememba)ni pazuri full kipupwe greeeeeeen,sema wabongo tunapenda maji(beach na swimmng pil)pale hakuna but its alovely place to spend
Hivi, mkulu, huyu "afande manyota" ana gest ngapi hapa jijini tu tukianzia? duh!
We acha binamu huu mji una vituko sana. Unakuta kwenye daftari la nyumba ya wageni kuna maelezo yafuatayo;
Jina: Kaizer J.F.
Mahali utokako: Dar es Salaam.
Mahali uendako: Dar es Salaam
Tarehe ya kuingia: 05 Machi 2010
Tarehe ya kutoka: 05 Machi 2010.
Double or Single: Double
Payment Terms: Cash.
We acha binamu huu mji una vituko sana. Unakuta kwenye daftari la nyumba ya wageni kuna maelezo yafuatayo;
Jina: Kaizer J.F.
Mahali utokako: Dar es Salaam.
Mahali uendako: Dar es Salaam
Tarehe ya kuingia: 05 Machi 2010
Tarehe ya kutoka: 05 Machi 2010.
Double or Single: Double
Payment Terms: Cash.