kumbe na wewe masaki ni mmoja ya wanaomsumbua pearl,eeeh!?π
Nipo Mkeku leo ni weekend no stress!!
kumbe na wewe masaki ni mmoja ya wanaomsumbua pearl,eeeh!?π
unaona nikisema wewe ni bad influence hapa je utakataa
B huyu ni bad company achana naye.......
Heeeh! Kumbe Pearl anasumbuliwa, mbona sina taarifa!? Leo tuna safari ya Mkuranga mkuu!
Nahisi meneja mauzo wa TBL mkoa wa Pwani atapata promosheni kazini kwa mauzo ya wikiendi moja tu! Makoo yenye uwezo wa ''gridi'' ya taifa yanakwenda huko! Watajibeba leo!
Kwani kasema wewe haumo kwenye safari Mkuranga kwenda kuwekeza kwenye kilimo kwanza? π Au hujajiandaa?
ha ha ha Leo ntakua maeneo anayojidai Kony!! ukisikia kimya ujue tumetekwa!heeeeeeee I love that one in red man!!!!
Heeeh! Kumbe Pearl anasumbuliwa, mbona sina taarifa!? Leo tuna safari ya Mkuranga mkuu!
Nahisi meneja mauzo wa TBL mkoa wa Pwani atapata promosheni kazini kwa mauzo ya wikiendi moja tu! Makoo yenye uwezo wa ''gridi'' ya taifa yanakwenda huko! Watajibeba leo!
Kha! okay baaaai!π

ha ha ha Leo ntakua maeneo anayojidai Kony!! ukisikia kimya ujue tumetekwa!
hahaa nini lakini wewe???
ni kwaresma hii!!
meku kule ni risk best usithubutu kabisa utaniweka roho juu bure mwenzio!!!! adventure gani hizo bana za kuhatarisha maisha!!! usiende kwa afya yangu plz!!!
Kiongozi kama umenisoma, nimemwambia asifannaishe wingu na moshi apo....
Pearl najua alipo ana do ze nidiful tu siye mida mida tunachomoka
laaziz ako atalianzisha mzima bora usingesema nikasikia.......huwa nabeba maeno kama yalivyo inapobidi huongeza chumvi ili niongeze tu ladha!!!! (Chris can be your reference on this)
SEE YOUUUUUUUUU!...(don't cme back,sawa?π)Kha! okay baaaai!π
hamjawasiliana na pearl,kwasababu angalia alivyokujibu:Heeeh! Kumbe Pearl anasumbuliwa, mbona sina taarifa!? Leo tuna safari ya Mkuranga mkuu!
Nahisi meneja mauzo wa TBL mkoa wa Pwani atapata promosheni kazini kwa mauzo ya wikiendi moja tu! Makoo yenye uwezo wa ''gridi'' ya taifa yanakwenda huko! Watajibeba leo!
masaki ni msanii!najua UNATUMIA KIZIZIπG anaviwu acha kabsa,eeeh mkuranga mbn hujaniambia?can I join maana leo hme alone hous gal anaenda kwa maza
HATA HUYO kaizer ni BAD-COMPANYtold you!!! he is a bad company but u dont listen to me B!!! see for yourself!!!
but B u said unaenda kujiandaa nw nw..sasa? Kilimo kwanza kuna na shamba tumeshapata huko!
Worry not bibie nina backup ya M7....na kwa kukuhakikishia ntakua on safe side expect ma call ukiwa billionares club na wapwa!meku kule ni risk best usithubutu kabisa utaniweka roho juu bure mwenzio!!!! adventure gani hizo bana za kuhatarisha maisha!!! usiende kwa afya yangu plz!!!
SEE YOUUUUUUUUU!...(don't cme back,sawa?π)
hamjawasiliana na pearl,kwasababu angalia alivyokujibu:
masaki ni msanii!najua UNATUMIA KIZIZIπ
HATA HUYO kaizer ni BAD-COMPANY