How rich is Kenya?

How rich is Kenya?

Sasa hawa watu wachache wanaoumia kwa kukosa chakula ulioweka picha yao ndio inamaanisha kuwa Kenya ni masikini kushinda Tanzania? Wacha ujinga. Tanzania ina more poor people than Kenya both in percentage terms and absolute figures. Usinifanye nikuletee evidence kuwa nyie mna poverty rate ya juu kutushinda.
Na kumbuka ni picha za 1990s wanashindanga wakirudia.
 
Hapo umeboogie, utajiri wa nchi sio GDP bali ni valuation ya rasilimali zake zote. Hebu tueleze Kenya ina rasilimali gani ambazo when the worst come to worst Serikali ya Uhuru itaweka kama bond?
So DRC is richer than Germany? Nyinyi watanzania mnakuwanga mashortwire sana.
 
Kwhyo ni hutaki kuskia km kenya ndio economy ya tatu kw ukubwa sub saharan africa au unapinga?

Alafu eti unasema mambo ya ku secure food, lini nyinyi magu kagawa chakula bure chato..iwe wakati wowote ule hata wa drought

Nataka kusikia Kenya economic giantism sambamba na faida ya huo u giantism wenu, kusema tu kwamba mko giant na mnakufa kwa njaa basi uchumi wenu ni bure tu ni sawa na mtu kuwa tajiri na watoto wake nyumbani wanakufa njaa kila siku.

Katika hali hiyo ni ujinga kuja hapa na kujigamba kwamba nyie ni matajiri.
 
Mbna unarukaruka jomba[emoji23][emoji23]
We unapinga au unakataa bana, si uweke wazi tu
 
Mbna unarukaruka jomba[emoji23][emoji23]
We unapinga au unakataa bana, si uweke wazi tu

Naweka wazi kwamba kwanini mnakufa njaa kila mwaka wakati uchumi mkubwa mnao?? Au uchumi wenu ni wa kafara za maisha ya watu wanaokufa njaa kila mwaka??
 
Naweka wazi kwamba kwanini mnakufa njaa kila mwaka wakati uchumi mkubwa mnao?? Au uchumi wenu ni wa kafara za maisha ya watu wanaokufa njaa kila mwaka??
Mzee tuende step by step. First things first. Kwanza swali kuu ni unakubali kwamba Kenya kwa ukubwa wa uchumi ni wa tatu kusini mwa jangwa la Sahara? Kwamba Kenya imeshindwa na Afrika Kusini na Nigeria pekee? Unakubali ama unakataa? Ukishajibu hilo ndio tutaendelea kujadili mambo ya watu kufa kwa njaa.

Geza Ulole joto la jiwe
 
Nakwambiaaje, hata kama Kenya ingekuwa ni No1 economically in the world bado economy hiyo haina maana yoyote kwenu kama kuna watu watakaoendelea KUFA kwa njaa kila mwaka.

Mtu mwenye akili ni yule anayejadili manufaa ya uchumi wa nchi husika kwa watu husika na sio kujigamba ukubwa wa uchumi usikuwa na manufaa hata yale ya msingi kwa jamii yake, Chakula ni moja ya hitaji la msingi la binadamu, Uchumi wa nchi makini ni lazima uanze kutatua shida ya Chakula kwa watu wake, kinyume cha hapo huo utakuwa ni failed economy, hiyo itakuwa ni sawa na mtu aliyesoma chuo kikuu na kupata vyeti vizuri vinavyoonyesha good academic excellence lakini licha ya hiyo good academic excellence hakuna manufaa yoyote yanayopatikana kwake isipokuwa anapita mitaani na kujisifu akionyesha vyeti vyake kwa watu ili wajue how good he was academically, nyinyi mnapita mkijitangaza how giants you are economically while the economy is helpless to eradicate hunger and its related deaths to poor Kenyans.

Shame, shame and shame on you who arrogantly propagates the "economic nuisance" to people to see, shame on your government for failure to allocate some money to feed the recurring hunger destitutes who emerge every year dispite being the third economic giant in the SUB SAHARAN AFRICA.

Muwe mnakuja Tz kuchukua angalau mihogo na maharage bure kupambana na hiyo njaa.
 
Sasa hawa watu wachache wanaoumia kwa kukosa chakula ulioweka picha yao ndio inamaanisha kuwa Kenya ni masikini kushinda Tanzania? Wacha ujinga. Tanzania ina more poor people than Kenya both in percentage terms and absolute figures. Usinifanye nikuletee evidence kuwa nyie mna poverty rate ya juu kutushinda.
Ukimaliza ebu nilete picha ikionyesha maskini wa Tz kama hawa ,alafu usijitoe akili sababu haita kusaidia, pesa yenu haina ppp( parchesing power parity) kubwa kama Tz, alafu tembea uone yani Tz huwezi kuta maskini kama hao [emoji1369] daima...hatufanani hata kidgo ww jipe moyo na vidata vya kumeasure na dollars wakat kwa ground mambo ni mbingu na ardhi
 
Weka taarifa ya 2020 mumekomea na history sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii hapa ya 2020 kuhusu Tanzania, mume ipiku Ethiopia ambao waliongoza East Africa region kwa muda mrefu naona wanapata nafuu.[emoji23][emoji23][emoji6][emoji23][emoji23]
View attachment 1631484
Ukimaliza kubwata , embe elezea hii[emoji116]
JamiiForums2048965383.jpg
 
Naweka wazi kwamba kwanini mnakufa njaa kila mwaka wakati uchumi mkubwa mnao?? Au uchumi wenu ni wa kafara za maisha ya watu wanaokufa njaa kila mwaka??
Leo wamekufa wangapi kw njaa

Alafu pia nataka kujua km hutaki kuskia km kenya ni watatu kiuchumi sub saharan africa au unakataa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
The Question to ask yourself....... is it people centered????? mna starve kila siku huko halafu unakuja kutuletea takwimu za kwenye makaratasi!
Vipi kuhu leo jana wame starve wangapi, tatizo hamtaki kukubali..
Kwn ukisema hutaki kuskia sisi watatu kiuchumi ukitoa north africa utakufa
 
Back
Top Bottom