NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
We are behind which countries Mr. Geuza? Najua inauma but itabidi uzoeeTry not to make sub saharan Africa feel ashamed u can't be third economy n yet u can't feed urself!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We are behind which countries Mr. Geuza? Najua inauma but itabidi uzoeeTry not to make sub saharan Africa feel ashamed u can't be third economy n yet u can't feed urself!
Na kumbuka ni picha za 1990s wanashindanga wakirudia.Sasa hawa watu wachache wanaoumia kwa kukosa chakula ulioweka picha yao ndio inamaanisha kuwa Kenya ni masikini kushinda Tanzania? Wacha ujinga. Tanzania ina more poor people than Kenya both in percentage terms and absolute figures. Usinifanye nikuletee evidence kuwa nyie mna poverty rate ya juu kutushinda.
So DRC is richer than Germany? Nyinyi watanzania mnakuwanga mashortwire sana.Hapo umeboogie, utajiri wa nchi sio GDP bali ni valuation ya rasilimali zake zote. Hebu tueleze Kenya ina rasilimali gani ambazo when the worst come to worst Serikali ya Uhuru itaweka kama bond?
Who lied to you?Yet Tanzania has more millionaires than Kenya, Uganda and Burundi combined
Kenyans live in the fantasy world. 🤣 🤣 🤣Who lied to you?
Kwhyo ni hutaki kuskia km kenya ndio economy ya tatu kw ukubwa sub saharan africa au unapinga?
Alafu eti unasema mambo ya ku secure food, lini nyinyi magu kagawa chakula bure chato..iwe wakati wowote ule hata wa drought
Who lied to you that you have more millionaires?Kenyans live in the fantasy world. 🤣 🤣 🤣
Mbna unarukaruka jomba[emoji23][emoji23]Nataka kusikia Kenya economic giantism sambamba na faida ya huo u giantism wenu, kusema tu kwamba mko giant na mnakufa kwa njaa basi uchumi wenu ni bure tu ni sawa na mtu kuwa tajiri na watoto wake nyumbani wanakufa njaa kila siku.
Katika hali hiyo ni ujinga kuja hapa na kujigamba kwamba nyie ni matajiri.
Mbna unarukaruka jomba[emoji23][emoji23]
We unapinga au unakataa bana, si uweke wazi tu
Mzee tuende step by step. First things first. Kwanza swali kuu ni unakubali kwamba Kenya kwa ukubwa wa uchumi ni wa tatu kusini mwa jangwa la Sahara? Kwamba Kenya imeshindwa na Afrika Kusini na Nigeria pekee? Unakubali ama unakataa? Ukishajibu hilo ndio tutaendelea kujadili mambo ya watu kufa kwa njaa.Naweka wazi kwamba kwanini mnakufa njaa kila mwaka wakati uchumi mkubwa mnao?? Au uchumi wenu ni wa kafara za maisha ya watu wanaokufa njaa kila mwaka??
Mzee tuende step by step. First things first. Kwanza swali kuu ni unakubali kwamba Kenya kwa ukubwa wa uchumi ni wa tatu kusini mwa jangwa la Sahara? Kwamba Kenya imeshindwa na Afrika Kusini na Nigeria pekee? Unakubali ama unakataa? Ukishajibu hilo ndio tutaendelea kujadili mambo ya watu kufa kwa njaa.
Geza Ulole joto la jiwe
What do you mean "more millionaires"!?Who lied to you that you have more millionaires?
Ukimaliza ebu nilete picha ikionyesha maskini wa Tz kama hawa ,alafu usijitoe akili sababu haita kusaidia, pesa yenu haina ppp( parchesing power parity) kubwa kama Tz, alafu tembea uone yani Tz huwezi kuta maskini kama hao [emoji1369] daima...hatufanani hata kidgo ww jipe moyo na vidata vya kumeasure na dollars wakat kwa ground mambo ni mbingu na ardhiSasa hawa watu wachache wanaoumia kwa kukosa chakula ulioweka picha yao ndio inamaanisha kuwa Kenya ni masikini kushinda Tanzania? Wacha ujinga. Tanzania ina more poor people than Kenya both in percentage terms and absolute figures. Usinifanye nikuletee evidence kuwa nyie mna poverty rate ya juu kutushinda.
Ukimaliza kubwata , embe elezea hii[emoji116]Weka taarifa ya 2020 mumekomea na history sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii hapa ya 2020 kuhusu Tanzania, mume ipiku Ethiopia ambao waliongoza East Africa region kwa muda mrefu naona wanapata nafuu.[emoji23][emoji23][emoji6][emoji23][emoji23]
View attachment 1631484
Says a slums dweller from mathare[emoji1787][emoji1787]I don't argue with poor people
This is basic English bwana. What do they teach you in schools down south?What do you mean "more millionaires"!?
So they teach you about "more millionaires" that is a basic English!?This is basic English bwana. What do they teach you in schools down south?
Fun fact:
Kenya's GDP = GDPs of Tanzania + Uganda + Burundi
The Question to ask yourself....... is it people centered????? mna starve kila siku huko halafu unakuja kutuletea takwimu za kwenye makaratasi!Fun Fact:
Kenya has the third biggest economy in Sub-Saharan Africa after Nigeria and South Africa.
Leo wamekufa wangapi kw njaaNaweka wazi kwamba kwanini mnakufa njaa kila mwaka wakati uchumi mkubwa mnao?? Au uchumi wenu ni wa kafara za maisha ya watu wanaokufa njaa kila mwaka??
Vipi kuhu leo jana wame starve wangapi, tatizo hamtaki kukubali..The Question to ask yourself....... is it people centered????? mna starve kila siku huko halafu unakuja kutuletea takwimu za kwenye makaratasi!