how to heal from a breaking relationship?

how to heal from a breaking relationship?

Ikifika kwenye mapenzi iwe kuanzisha au point ya kuachana mi naamnia hakuna utaratibu.
 
Wapenzi wa MMU asbh ya leo hebu tujifunze jambo dogo lakin la muhimu kweli juu ya mahusiano yetu kwa mba ni jinsi gani twaweza kupona kutoka katika mahusiano yaliyovunjika. mimi nianze kwa kutoa mbinu chache wengine mtamalizia:-

1) usikimbilie kabisa kuanzisha mahusiano mapya jipe muda uwez kusoma upepo.
2) jitengenezee marafiki wa kawaida ambao ni wa sex tofauti ili wakupe company tu hasa ya outing ili kukutoa upweke
3) hakikisha marafiki unaoweza kutengeneza ni wale ambao wako kama wewe yaani siyo couples zitakazo kuumiza moyo
4) hakikisha kama unataka kuanzisha mahusiano u pick from the group na ndio sababu ya kusema uwe na marafiki wa kampany tu.

nawasilisha. karibuni kwa mchango wenu

dada gfsonwin mi nina maswali.

1 huoni nisipoanzisha mahusiano mapya nitakuwa nafikiria zaidi mahusiano yaliyovunjika? Hivyo kusababisha niumie zaidi. Na huo muda wa kujipa ni miaka/miezi mingapi?

2 marafiki inabidi tutengeneze kabla au baada ya mahusiano kuvunjika?

3. Nitajuaje kama hawatoniumiza moyo?

4. Kama nipick from group ina maana marafiki ninaowatengeneza lazima niwe na hisia za kimapenzi juu yao ili at the end nijue nampick nani. Ndivyo?.
 
Last edited by a moderator:
Naamini kuwa if you can break it means you can make it and if you cant make it then dont break it except if your dont want it or your the craziest ever .
Wapenzi wa MMU asbh ya leo hebu tujifunze jambo dogo lakin la muhimu kweli juu ya mahusiano yetu kwa mba ni jinsi gani twaweza kupona kutoka katika mahusiano yaliyovunjika. mimi nianze kwa kutoa mbinu chache wengine mtamalizia:-

1) usikimbilie kabisa kuanzisha mahusiano mapya jipe muda uwez kusoma upepo.
2) jitengenezee marafiki wa kawaida ambao ni wa sex tofauti ili wakupe company tu hasa ya outing ili kukutoa upweke
3) hakikisha marafiki unaoweza kutengeneza ni wale ambao wako kama wewe yaani siyo couples zitakazo kuumiza moyo
4) hakikisha kama unataka kuanzisha mahusiano u pick from the group na ndio sababu ya kusema uwe na marafiki wa kampany tu.

nawasilisha. karibuni kwa mchango wenu
 
weye nani alikwambia kwamba ma swtlo ana hanging tummy kama huyu? yeye ni mtu wa six packs chezeya mtoa pancha wewe? tumbo kwake ni flat musculine and energetic.

Halafu baby gfsonwin huyu platozoom anaona nipo kimya hapa anadhani simwoni eti? Si umeniomba nitulie tu and am watching watundu watundu kama yeye. Ile ofa ya ndizi nyama utumbo icancel, na mi kiingilio cha maisha club simlipii tena. afu tuone sasa lol
 
Last edited by a moderator:
Kaizer mwaya njoo pande hii eti hommie wako Asprin anasema we hata dadako unamuomba mchezo,ni kweli???!!!

Mi sio mpenzi wa mchezo kiviile Yummy. halafu si umenikataza nisiseme sana so I will be short lol
 
Last edited by a moderator:
khayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa laana hii Kaizer nilikuheshimu wewe kumbe una mahuge haya

Hebunileteeni ushahidi na vielelezo vya hayo aliyosema hommie Asprin jamani. nivea mi nakupendaga nondo zako kwen siasa, hapa kama ujuavyo wananisingizia kabisa hata gfsonwin anajua, Yummy anajua, BADILI TABIA anajua, Catherine anajua. Mbaya zaidi kuna mashemeji zangu wanajua mi mtu mwema kabisa, Roulette, dada yangu King'asti, hata sijui akisikia haya atatamani kujinyonga, kuna rafii yangu fazaa naye atawashangaa sana
 
Last edited by a moderator:
Halafu baby gfsonwin huyu platozoom anaona nipo kimya hapa anadhani simwoni eti? Si umeniomba nitulie tu and am watching watundu watundu kama yeye. Ile ofa ya ndizi nyama utumbo icancel, na mi kiingilio cha maisha club simlipii tena. afu tuone sasa lol

Usinitishe...shemeji gani bahili kiasi hicho hata sh. 500 unaniambia nisaini petty cash voucher........Sema ng'wee nimpe brazamen mwingine sister angu (usisahau kuna akina Bishanga kutoa Volg kwa shemeji ni kama kumsukuma mlevi wa Jacke daniel)
 
Dogo,mtu mzima hatishiwi nyau!
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri Hilo somo ulilotoa linawahusu sana akina dada mcharuko....na wewe umeamua kuwapa mbinu za kujifariji baada ya kupigwa chini na wapenzi wao! wanawake wa siku hizi pasua kichwa sana na ndio maana wengi wanapigwa chini.....sasa utafute kampani nyingine....tena ya opposite sex WHY? kama yamekushinda kwa mpenzi wako....sasa unatafuta HURUMA AU FARAJA toka tena kwa wanaume ya nini.....wewe kungwi wao nakuuliza.....je ndio ulivyowafunda hawa wanao wa dot.com?

Mwanamke ukiona yamekushinda kwa mwanaume mmoja au watatu....ujue wewe ni kimeo every where! hakuna kujifariji .....KUWENI MAKINI NA MU-WAPE MAPENZI YA DHATI WAPENZI WENU.....!

Mimi siamini km mtoa mada alikuwa anamaanisha ulivyoelewa. Na sidhani km kweli wanawake peke yao ndo pasua kichwa au ndo wanaumizwa. Wanaume pia ni wahanga wa hii crisis. So usiwe bias, na kumbuka kuumizwa ni kuumizwa tu hata km umeumizwa mara kumi.

Na hapa tunatafuta how to heal pains.
 
Dogo,mtu mzima hatishiwi nyau!

Wewe si unaona alivyonywea......dada gfsonwin keshamweka mtu kati hatoki....na hapo hakuna limbwata wala shuntama.maneno laini yaani kwa sie waswahili tunaita nyama ya ulimi........Au mpaka tuseme shemeji huwa kazi gani anafanya home pale kitchen
 
Last edited by a moderator:
kila mtu ana heal,kwa mtazamo wake.mwengine huishia kunywa,mwengine hubadilisha wanaume au wanawake kwani haoni umuhimu wa hili neno "mapenzi" njia rahisi ni bora umrudie mungu wako,huyo habagui mtu.ila situation kama haijakukuta utahisi ni rahisi ku i solve.mimi jf hunipa raha ya kipekee
 
Usinitishe...shemeji gani bahili kiasi hicho hata sh. 500 unaniambia nisaini petty cash voucher........Sema ng'wee nimpe brazamen mwingine sister angu (usisahau kuna akina Bishanga kutoa Volg kwa shemeji ni kama kumsukuma mlevi wa Jacke daniel)

Dogo,mtu mzima hatishiwi nyau!

Wewe si unaona alivyonywea......dada gfsonwin keshamweka mtu kati hatoki....na hapo hakuna limbwata wala shuntama.maneno laini yaani kwa sie waswahili tunaita nyama ya ulimi........Au mpaka tuseme shemeji huwa kazi gani anafanya home pale kitchen

wadogo zangu wapendwa mnagombea nini jamani? mbona miye naona mwataka kupigana wenyewe? msjali pesa za mafuta ya gari na japo kakongoro hawez kukosa ingawa nyingi hana.
 
wadogo zangu wapendwa mnagombea nini jamani? mbona miye naona mwataka kupigana wenyewe? msjali pesa za mafuta ya gari na japo kakongoro hawez kukosa ingawa nyingi hana.

Nampa makavu shemeji suruali a.k.a Kaizer na braza wetu feki Eiyer......kwamba kwetu maji marefu. Mnyimie nanii leo
 
Last edited by a moderator:
Wewe si unaona alivyonywea......dada gfsonwin keshamweka mtu kati hatoki....na hapo hakuna limbwata wala shuntama.maneno laini yaani kwa sie waswahili tunaita nyama ya ulimi........Au mpaka tuseme shemeji huwa kazi gani anafanya home pale kitchen

Whe dog turn an bite u don't cry!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom