Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapenzi wa MMU asbh ya leo hebu tujifunze jambo dogo lakin la muhimu kweli juu ya mahusiano yetu kwa mba ni jinsi gani twaweza kupona kutoka katika mahusiano yaliyovunjika. mimi nianze kwa kutoa mbinu chache wengine mtamalizia:-
1) usikimbilie kabisa kuanzisha mahusiano mapya jipe muda uwez kusoma upepo.
2) jitengenezee marafiki wa kawaida ambao ni wa sex tofauti ili wakupe company tu hasa ya outing ili kukutoa upweke
3) hakikisha marafiki unaoweza kutengeneza ni wale ambao wako kama wewe yaani siyo couples zitakazo kuumiza moyo
4) hakikisha kama unataka kuanzisha mahusiano u pick from the group na ndio sababu ya kusema uwe na marafiki wa kampany tu.
nawasilisha. karibuni kwa mchango wenu

weye nani alikwambia kwamba ma swtlo ana hanging tummy kama huyu? yeye ni mtu wa six packs chezeya mtoa pancha wewe? tumbo kwake ni flat musculine and energetic.
khayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa laana hii Kaizer nilikuheshimu wewe kumbe una mahuge haya
Shem, sijakuona kule...Hebunileteeni ushahidi na vielelezo vya hayo aliyosema hommie Asprin jamani. nivea mi nakupendaga nondo zako kwen siasa, hapa kama ujuavyo wananisingizia kabisa hata gfsonwin anajua, Yummy anajua, BADILI TABIA anajua, Catherine anajua. Mbaya zaidi kuna mashemeji zangu wanajua mi mtu mwema kabisa, Roulette, dada yangu King'asti, hata sijui akisikia haya atatamani kujinyonga, kuna rafii yangu fazaa naye atawashangaa sana
Usinitishe...shemeji gani bahili kiasi hicho hata sh. 500 unaniambia nisaini petty cash voucher........Sema ng'wee nimpe brazamen mwingine sister angu (usisahau kuna akina Bishanga kutoa Volg kwa shemeji ni kama kumsukuma mlevi wa Jacke daniel)
Nafikiri Hilo somo ulilotoa linawahusu sana akina dada mcharuko....na wewe umeamua kuwapa mbinu za kujifariji baada ya kupigwa chini na wapenzi wao! wanawake wa siku hizi pasua kichwa sana na ndio maana wengi wanapigwa chini.....sasa utafute kampani nyingine....tena ya opposite sex WHY? kama yamekushinda kwa mpenzi wako....sasa unatafuta HURUMA AU FARAJA toka tena kwa wanaume ya nini.....wewe kungwi wao nakuuliza.....je ndio ulivyowafunda hawa wanao wa dot.com?
Mwanamke ukiona yamekushinda kwa mwanaume mmoja au watatu....ujue wewe ni kimeo every where! hakuna kujifariji .....KUWENI MAKINI NA MU-WAPE MAPENZI YA DHATI WAPENZI WENU.....!
Dogo,mtu mzima hatishiwi nyau!
Usinitishe...shemeji gani bahili kiasi hicho hata sh. 500 unaniambia nisaini petty cash voucher........Sema ng'wee nimpe brazamen mwingine sister angu (usisahau kuna akina Bishanga kutoa Volg kwa shemeji ni kama kumsukuma mlevi wa Jacke daniel)
Dogo,mtu mzima hatishiwi nyau!
Wewe si unaona alivyonywea......dada gfsonwin keshamweka mtu kati hatoki....na hapo hakuna limbwata wala shuntama.maneno laini yaani kwa sie waswahili tunaita nyama ya ulimi........Au mpaka tuseme shemeji huwa kazi gani anafanya home pale kitchen