How to prevent "Infidelity"

How to prevent "Infidelity"

Yest Mastermind

I always wonder, blogging, video games etc, were they recommended by GOD??

Sometimes we do things kutokana na wakati,

Try this one... Unajua by then Adam had no choice except Eva?? na hakukua na picha, email, mobile phones shule etc. so it was easy kusepa infii but siku hizi mambo yamekua balaa... everything ni plenty na dawa ni kushare na ukenjoy so prevention ya infii is somehow next to impossible

Hivi unadhani adam angekua na ngoma nyingine kama tatu hivi angefanyaje?

:lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol: Mpwa you just made my day.
 
lets go fishing dude... thereafter we enjoy watching rugby at the Q-bar

sawa mkuu?

Aah no thanx... We endelea tu!
Mi namuwahi my 'companion' heheh...
 
Yest Mastermind

I always wonder, blogging, video games etc, were they recommended by GOD??

Sometimes we do things kutokana na wakati,

Try this one... Unajua by then Adam had no choice except Eva?? na hakukua na picha, email, mobile phones shule etc. so it was easy kusepa infii but siku hizi mambo yamekua balaa... everything ni plenty na dawa ni kushare na ukenjoy so prevention ya infii is somehow next to impossible

Hivi unadhani adam angekua na ngoma nyingine kama tatu hivi angefanyaje?

Well atleast when u are playin a video game u are not sinning...
Na ndio maana kuna Mungu na shetani; wale tunaotenda mema tutamfuata Mungu,
Na nyie mnaoenda kinyume na maadili...mtaenda kule kusikopendeza! 🙂
 
Nitaenda kuwaomba CCTV Watengeneze kifaa maalumu unamuwekea mwenzi wako bila yeye kujua na kinarekodi kila kitu.Nadhani hii itakuwa dawa tosha.

Hapa naona mtanafuta vifo vya kupukutika kama nzige. Tafuteni hizo CCTV halafu unakutana na picha ya mkulu akiwa kwenye ISC na Smile,.. BP ikishafika 200 kesho yake tunawahi Kinodnoni. Never ever try it. Infii will help you lower that deadly BP!! Naamini katibu anatunza record kwamba umekubaliana na huu ushauri!

mimi nadhani the best way kujikinga ka infidelity ni kuhasiwa tu

Mhhh, bado kutakuwa na infii ya macho na masikio. Hayo utayafanyaje? Dawa ya infii hakuna, labda watu wakianza kuimba pambio basi ujuo huyo kamaliza kibarua!!

Good thing am not a girl.....:becky::becky::becky::becky:

And not a boy either.........?? Hao si ndiyo royal members wa ISC?? Hatuna na wasi wasi na weye, tulia tu, ni weye wetu tu!

Well atleast when u are playin a video game u are not sinning...
Na ndio maana kuna Mungu na shetani; wale tunaotenda mema tutamfuata Mungu,
Na nyie mnaoenda kinyume na maadili...mtaenda kule kusikopendeza! :-)

Can you say that again???
 
Well atleast when u are playin a video game u are not sinning...
Na ndio maana kuna Mungu na shetani; wale tunaotenda mema tutamfuata Mungu,
Na nyie mnaoenda kinyume na maadili...mtaenda kule kusikopendeza! 🙂

:confused2::confused2::confused2: Say it again hivi mbona jana wakati tumekaa Zero Pub wakati Eliza anakuhudumia zile Ndovu baridi ulikuwa umeyaficha hayo maneno by the way ulilala nyumbani maana jana shemeji yangu kanipigia simu mida ya saa 8 ulikuwa haujafika i hope ulienda kutimiza masharti na ukarudi nyumbani kama sheria hizi hapa chini zinavyosema.

INFIDELITY KAMWE HAIFANYIKI USIKU KUCHA-fanya unalofanya lakini make sure umerudi nyumbani kwa waif/husband.ukilifanya hili utakuwa umeheshimu na kuitekeleza sheria namba 7 na namba 9 tajwa hapo juu

INFIDELITY itafanyika NYUMBA ZA KULALA WAGENI TU!....tena itafanyika kilometa kadhaa kutoka maeneo yako ya nyumbani(otherwise unatakiwa uproove kwamba mkeo/mumeo kasafiri umbali usio pungua kilometa mia saba kutoka nyumbani kwenu).
 
Dhambi ya Infidelity,inawaingiza kwenye uongo,hatimaye unaweza kuwa muuaji....Take care!
 
ZD kuna kitu umekosea hilo neno ukiliandika next time uliandike kwa herufi kubwa, wala usiogope
Ndio kusema unaiheshimu sana infidelity? is it you Finest!no no no no! my miwani where are you!

....lakn hata Yesu alisema "......baba wasamehe hawa hawajui walitendalo........"
 
Aah no thanx... We endelea tu!
Mi namuwahi my 'companion' heheh...
apologies smiles

unajua uliposema wewe sio girl basi nikajua wewe ni meni ndio maana nikatoa mwaliko wa ku-go fishing (in short fishing na infii ni synonymous)... samahani sana, nisamehe saba mara sabini, sirudii tena na ukinisamehe mungu atakuzidishia mara mia elfu lela u lela

by the way are you a dude or she?
 
thanks u Smiles, u r so intelligent, pamoja upinzani we CAN..no longer Infidelity au siyo?!
 
Jana ilikuwaje ukaniacha bar peke yangu tokea lini wanachama wakawa wanakimbiana ungenitumia hata SMS basi kama ulikuwa unawahi ku du ze nid ful somewhere
 
Ndio kusema unaiheshimu sana infidelity? is it you Finest!no no no no! my miwani where are you!

....lakn hata Yesu alisema "......baba wasamehe hawa hawajui walitendalo........"

Unakumbuka tulipokuwa tumekaa jana wote pale Zero Pub nimetoka huko muda si mrefu make sure leo jioni unawahi jana ulichelewa ndio maana hata Serengeti zako haukupata za baridi eliza pia anakusalimia anasema amekuifadhia Serengeti za kutosha yaani leo ni ku du ze nid ful tu
 
Jana ilikuwaje ukaniacha bar peke yangu tokea lini wanachama wakawa wanakimbiana ungenitumia hata SMS basi kama ulikuwa unawahi ku du ze nid ful somewhere
Ushaanza kunichanganya na mtu wako na infidelity?
 
Unakumbuka tulipokuwa tumekaa jana wote pale Zero Pub nimetoka huko muda si mrefu make sure leo jioni unawahi jana ulichelewa ndio maana hata Serengeti zako haukupata za baridi eliza pia anakusalimia anasema amekuifadhia Serengeti za kutosha yaani leo ni ku du ze nid ful tu
Dah kijana acha infidelity na pombe.naona unaanza kupoteza poteza fahamu zako vizuri na inakufanya uzeeke haraka.
tusijekupoteza bure,nakuonea huruma sana..

Ushaanza kunichanganya na mtu wako na infidelity?
unaonaeee!!! huyu tutamkosa muda si mrefu asipijirekebisha.kashaanza za kiFATAKI.....wewe cheupe wa korogwe,au handeni au tanga mjini....teh teh!hana kumbukumbu
 
Hapana nakumbuka kila kitu hebu soma hii rule hapa chini

3-INFIDELATORS/INFIDELEETES wanatakiwa kushea-KIZURI KULA NA NDUGUYO!(hii sheria ni muhimu sana).ukimpata infideletee anaejituma sana gesti muhabarishe na mwenzio akamfaidi.SHARING IS CARING-KUGAWANA NI KUJALI

Halafu sheria hii hapa chini umeambiwa usifanye leakage yoyote ile natumaini jana ulivyorudi haukufanya leakage yoyote.

2-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanatakiwa kufanya wanaloliweza kuhakikisha hakuna leakage ya taarifa yoyote ya INFIDELITY juu yako kwenye familia zao(hasa hasa wake/waume zao waliowaacha nyumbani)
 
Ushaanza kunichanganya na mtu wako na infidelity?

Shssss taratibu soma hii sheria hapa chini

Back
Top Bottom