How to prevent "Infidelity"

How to prevent "Infidelity"

:confused2::confused2::confused2: Say it again hivi mbona jana wakati tumekaa Zero Pub wakati Eliza anakuhudumia zile Ndovu baridi ulikuwa umeyaficha hayo maneno by the way ulilala nyumbani maana jana shemeji yangu kanipigia simu mida ya saa 8 ulikuwa haujafika i hope ulienda kutimiza masharti na ukarudi nyumbani kama sheria hizi hapa chini zinavyosema.

INFIDELITY KAMWE HAIFANYIKI USIKU KUCHA-fanya unalofanya lakini make sure umerudi nyumbani kwa waif/husband.ukilifanya hili utakuwa umeheshimu na kuitekeleza sheria namba 7 na namba 9 tajwa hapo juu

INFIDELITY itafanyika NYUMBA ZA KULALA WAGENI TU!....tena itafanyika kilometa kadhaa kutoka maeneo yako ya nyumbani(otherwise unatakiwa uproove kwamba mkeo/mumeo kasafiri umbali usio pungua kilometa mia saba kutoka nyumbani kwenu).

Hahahah mwe... Nyie watu jamani! Msitake kutupotezea mwanachama wetu!
 
Ndio kusema unaiheshimu sana infidelity? is it you Finest!no no no no! my miwani where are you!

....lakn hata Yesu alisema "......baba wasamehe hawa hawajui walitendalo........"

Kweli kabisa...
Wanahitaji maombi zaidi!!
 
apologies smiles

unajua uliposema wewe sio girl basi nikajua wewe ni meni ndio maana nikatoa mwaliko wa ku-go fishing (in short fishing na infii ni synonymous)... samahani sana, nisamehe saba mara sabini, sirudii tena na ukinisamehe mungu atakuzidishia mara mia elfu lela u lela

by the way are you a dude or she?

Heheheh I know wats runnin in ur mind...
If am neither a dude nor a she...then I must be gay! Right...?
Hahahah... Am LMAO!!!
 
thanks u Smiles, u r so intelligent, pamoja upinzani we CAN..no longer Infidelity au siyo?!

Pamoja...pamoja! We rock...!!!
Afu we uliendaga wapi..? PM kibao nimekutumia no response...
Inabidi tupange mikakati thabiti ya hiki chama chetu!!
 
Pamoja...pamoja! We rock...!!!
Afu we uliendaga wapi..? PM kibao nimekutumia no response...
Inabidi tupange mikakati thabiti ya hiki chama chetu!!

Ameshasajiliwa ISC...PM zako zote tunazihakiki kwanza viongozi waandamizi ndo tunampa access ya kuziangalia.....endapo tu....😛layball:
 
Shssss taratibu soma hii sheria hapa chini

2-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanatakiwa kufanya wanaloliweza kuhakikisha hakuna leakage ya taarifa yoyote ya INFIDELITY juu yako kwenye familia zao(hasa hasa wake/waume zao waliowaacha nyumbani)

Tatizo lako ni kwamba unajua kabisa u don't belong chama tawala lakini bado tu unang'ang'ania...
Au unamuogopa Kaizer...?
 
Ameshasajiliwa ISC...PM zako zote tunazihakiki kwanza viongozi waandamizi ndo tunampa access ya kuziangalia.....endapo tu....😛layball:

Oh I get the picture...
Cha kushangaza ni kwamba ametoka kunijibu sasa hv...
Na kikao kinaendelea...taarifa unazo??
 
Smiles njoo tuombe pamoja yaani maombi shirikisho

Ok sawa...
Hakikisha unaomba ruhusa kwa viongozi wako wote!!
Na kamati yetu nzima itakuwepo...ikiongozwa na MasterMind!
U can handle it...right??!!!
 
Ok sawa...
Hakikisha unaomba ruhusa kwa viongozi wako wote!!
Na kamati yetu nzima itakuwepo...ikiongozwa na MasterMind!
U can handle it...right??!!!

Kwanini uje na kamati nzima i thought we will be the two of us only, unajua maombi mkiwa wawili tu yanakuwa mazuri vimiminika vitakuwepo pia
 
Kwanini uje na kamati nzima i thought we will be the two of us only, unajua maombi mkiwa wawili tu yanakuwa mazuri vimiminika vitakuwepo pia

Oh kwenye chama chetu we do everythn together...
Kama nyinyi mnavyoshare... :becky::becky:
 
Oh kwenye chama chetu we do everythn together...
Kama nyinyi mnavyoshare... :becky::becky:

Wanachama wafuatao wa ISC utawakuta ukija kwenye maombi ili msije mkanidhuru TEAMO, ASPRIN, POPE KAIZER, FIDEL80, ACID, ASKOFU, BEAUTY, SMILES na wengineo wengi
 
Back
Top Bottom