How to prevent "Infidelity"

How to prevent "Infidelity"

2. Recognize that work can be a danger zone. Don't lunch alone or take coffee breaks with the same person all the time. When you travel with a co-worker, meet in public rooms and not in a room with a bed.
.

*He He He* all the best jamani...

Smile; maongezi huwa yanaanzia in Public rooms, chumba chenye kitanda mnaenda mkiwa mmeshakubaliana!
 
Asante kwa topic hii naona itanisaidia.

Ni mama wa watoto kadhaa. Nina work mate wangu (baba wa watoto kadhaa) ambaye tulikuwa tukiflirt kwa muda wa miaka 2, ila saa za kazi tu, kuanzia saa mbili hadi saa kumi jioni, na wakati mwingine usiku kama tupo safarini. Hatuendi lunch pamoja wala hatuna tabia ya kuwa pamoja. Mara nyingi tunakutana kwenye vikao. Mapenzi yetu ni kwa simu tu.

Majuzi kati hapa aliomba kuvunja amri ya sita. Moyo unataka ila mwili unakataa. Nimeamua kumwambia tusitishe mawasiliano, tunajaribu lakini inashindikana kwa vile tuko ofisi moja. Tukionana tu ndo unakuwa mwanzo wa kuanza kupigiana simu za mapenzi. Je kuna mapenzi kati yetu au ni tamaa za mwili? Nitajuaje au nimpe test gani kugundua kuwa ananipenda kweli.

Hapa nimejifunza kuwa hakuna mwanaume mwenye mke utakayekuwa naye kwenye uhusiano wa dhati. Atakutumia kumaliza tamaa zake za kimwili na stress za nyumbani kwake aka kipoozeo.

Asanteni sana.
 
Hii ilitakiwa iwe Sredi kabisaaaaa.Lakin hata hivyo nakusihi bora usitishe mawasiliano na huyo mume wa mtu.Usijejuta baadae.Nakuhakikishia Guilt itakuwa juu yako maisha yako yote.Kumbuka kuwa mume/mke wa mtu ni sumu.
Usisikilize ushauri wa watu kibao watakaokwambia kuwa ukamegane nae.Kwanza watakuwa wanakudanganya kwa vile hata wao wanaongea hapa lakn kuna asilimia kubwa hawafanyi mambo hayo.Na kama wanafanya washakuwa ma-expert wa infidelity.Waswahili wanasema iga ufe.....mambo ya kujifunzia ukubwani yana mambo.
btw,kwa nini usivunje ukimya na mume wako na mboreshe mapenzi yenu?
 
INFIDELITY karibu kwenye chama ngoja😛hone:😛hone:na viongozi waandamizi KAIZER, ASPRIN na TEAMO nione tutakupa kadi yako ya ISC saa ngapi
 
Hii ilitakiwa iwe Sredi kabisaaaaa.Lakin hata hivyo nakusihi bora usitishe mawasiliano na huyo mume wa mtu.Usijejuta baadae.Nakuhakikishia Guilt itakuwa juu yako maisha yako yote.Kumbuka kuwa mume/mke wa mtu ni sumu.
Usisikilize ushauri wa watu kibao watakaokwambia kuwa ukamegane nae.Kwanza watakuwa wanakudanganya kwa vile hata wao wanaongea hapa lakn kuna asilimia kubwa hawafanyi mambo hayo.Na kama wanafanya washakuwa ma-expert wa infidelity.Waswahili wanasema iga ufe.....mambo ya kujifunzia ukubwani yana mambo.
btw,kwa nini usivunje ukimya na mume wako na mboreshe mapenzi yenu?

Watu wako kwenye INFIDELITY bila wao wenyewe kujijua
 
Asante kwa topic hii naona itanisaidia.

Ni mama wa watoto kadhaa. Nina work mate wangu (baba wa watoto kadhaa) ambaye tulikuwa tukiflirt kwa muda wa miaka 2, ila saa za kazi tu, kuanzia saa mbili hadi saa kumi jioni, na wakati mwingine usiku kama tupo safarini. Hatuendi lunch pamoja wala hatuna tabia ya kuwa pamoja. Mara nyingi tunakutana kwenye vikao. Mapenzi yetu ni kwa simu tu.

Majuzi kati hapa aliomba kuvunja amri ya sita. Moyo unataka ila mwili unakataa. Nimeamua kumwambia tusitishe mawasiliano, tunajaribu lakini inashindikana kwa vile tuko ofisi moja. Tukionana tu ndo unakuwa mwanzo wa kuanza kupigiana simu za mapenzi. Je kuna mapenzi kati yetu au ni tamaa za mwili? Nitajuaje au nimpe test gani kugundua kuwa ananipenda kweli.

Hapa nimejifunza kuwa hakuna mwanaume mwenye mke utakayekuwa naye kwenye uhusiano wa dhati. Atakutumia kumaliza tamaa zake za kimwili na stress za nyumbani kwake aka kipoozeo.

Asanteni sana.
Sasa sikiliza, kwa kuwa mko ofisi moja hiyo ni hatari sana. hebu twende PM kidogo, tupange mikakati......

Hii ilitakiwa iwe Sredi kabisaaaaa.Lakin hata hivyo nakusihi bora usitishe mawasiliano na huyo mume wa mtu.Usijejuta baadae.Nakuhakikishia Guilt itakuwa juu yako maisha yako yote.Kumbuka kuwa mume/mke wa mtu ni sumu.
Usisikilize ushauri wa watu kibao watakaokwambia kuwa ukamegane nae.Kwanza watakuwa wanakudanganya kwa vile hata wao wanaongea hapa lakn kuna asilimia kubwa hawafanyi mambo hayo.Na kama wanafanya washakuwa ma-expert wa infidelity.Waswahili wanasema iga ufe.....mambo ya kujifunzia ukubwani yana mambo.
btw,kwa nini usivunje ukimya na mume wako na mboreshe mapenzi yenu?
Sasa wewe ndio unataka kuharibu mazima.....
 
Teh teh teh! isje ikawa ni wewe mko ofc moja na LM! .......
 
Heheheh I know wats runnin in ur mind...
If am neither a dude nor a she...then I must be gay! Right...?
Hahahah... Am LMAO!!!
C'mon smiles... dont LFAO... it will burst dude

ok.. on a serious note, lets prevent infidelity by talking politics, will that suffice?
 
Shssss taratibu soma hii sheria hapa chini

2-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanatakiwa kufanya wanaloliweza kuhakikisha hakuna leakage ya taarifa yoyote ya INFIDELITY juu yako kwenye familia zao(hasa hasa wake/waume zao waliowaacha nyumbani)
NOT me plzzz!!
 
C'mon smiles... dont lough your fat ass out... it will burst dude

ok.. on a serious note, lets prevent infidelity by talking politics, will that suffice?

You mean CCM vs CHADEMA? or Slaa Vs JK? or versus their concubines?... Damn politics!

Si tuendelee na mada yetu aftaroo, almost all presidential candidates are live members of our dear ISC!
 
Wanachama wafuatao wa ISC utawakuta ukija kwenye maombi ili msije mkanidhuru TEAMO, ASPRIN, POPE KAIZER, FIDEL80, ACID, ASKOFU, BEAUTY, SMILES na wengineo wengi
yes, na pia nimedhamiria kumwalika pimbi, chamtumavi, kiwavi, ngurdoto, magulumangu, mfunyukuzi na Pakajimy
 
You mean CCM vs CHADEMA? or Slaa Vs JK? or versus their concubines?... Damn politics!

Si tuendelee na mada yetu aftaroo, almost all presidential candidates are live members of our dear ISC!
well said mkuu

smiles lead the pact in ISC enrollment strategies, ni basi tu mengine inabidi kumezea
 
Hii ilitakiwa iwe Sredi kabisaaaaa.Lakin hata hivyo nakusihi bora usitishe mawasiliano na huyo mume wa mtu.Usijejuta baadae.Nakuhakikishia Guilt itakuwa juu yako maisha yako yote.Kumbuka kuwa mume/mke wa mtu ni sumu.
Usisikilize ushauri wa watu kibao watakaokwambia kuwa ukamegane nae.Kwanza watakuwa wanakudanganya kwa vile hata wao wanaongea hapa lakn kuna asilimia kubwa hawafanyi mambo hayo.Na kama wanafanya washakuwa ma-expert wa infidelity.Waswahili wanasema iga ufe.....mambo ya kujifunzia ukubwani yana mambo.
btw,kwa nini usivunje ukimya na mume wako na mboreshe mapenzi yenu?

ZD, Umenifurahisha sana kwa ushauri wako!!

Ila sasa huyo nadhani tayari yuko kwenye point of no return. Ndiyo maana nawambia siku zote kwamba kufight infii ni vigumu, ni kama kujitia kitanzi vile. Ila kwa vile hamu ni tamu kuliko tamu yenywe, mwache dada wa watu ajaribu infii. Naamini atakuwa member mwaminifu siku zoooooote, .....kama wewe ZD!
 
Asante kwa topic hii naona itanisaidia.

Hapa nimejifunza kuwa hakuna mwanaume mwenye mke utakayekuwa naye kwenye uhusiano wa dhati. Atakutumia kumaliza tamaa zake za kimwili na stress za nyumbani kwake aka kipoozeo.

Asanteni sana.

Hapo mama nakupongeza kwa kutambua hilo, basi chukua hiyo iwe kama guide yako na naamini utafanya maamuzi ambayo ni sahihi.
 
hapo mama nakupongeza kwa kutambua hilo, basi chukua hiyo iwe kama guide yako na naamini utafanya maamuzi ambayo ni sahihi.

guideline za infidelity usisahau kumpa maana naona naye tayari ndani
 
C'mon smiles... dont LFAO... it will burst dude

ok.. on a serious note, lets prevent infidelity by talking politics, will that suffice?

Mh...i didnt knw its ok to say it loud....!
 
Hapo mama nakupongeza kwa kutambua hilo, basi chukua hiyo iwe kama guide yako na naamini utafanya maamuzi ambayo ni sahihi.

Baada ya kutambua hivyo unadhani nini kitafuta??

Infii's power is irresistable!!
 
guideline za infidelity usisahau kumpa maana naona naye tayari ndani

Hataa....
guidelines anazopata ni zile za ku-prevent infidelity!
sasa tulia niongee na mama vizuri.....
anaweza akaukwaa uongozi kwenye kambi ya upinzani....:becky:
 
Hapo utakuwa umempata Mrema mwingine.

Huyo atakuwa, bonge la pandikizi,..kama wewe unavyowaingiza watu mjini!
 
Back
Top Bottom