The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Yest Mastermind
I always wonder, blogging, video games etc, were they recommended by GOD??
Sometimes we do things kutokana na wakati,
Try this one... Unajua by then Adam had no choice except Eva?? na hakukua na picha, email, mobile phones shule etc. so it was easy kusepa infii but siku hizi mambo yamekua balaa... everything ni plenty na dawa ni kushare na ukenjoy so prevention ya infii is somehow next to impossible
Hivi unadhani adam angekua na ngoma nyingine kama tatu hivi angefanyaje?
Infidelity Social Club!......just for fun of it!....dont get mad.
Yest Mastermind
I always wonder, blogging, video games etc, were they recommended by GOD??
Sometimes we do things kutokana na wakati,
Try this one... Unajua by then Adam had no choice except Eva?? na hakukua na picha, email, mobile phones shule etc. so it was easy kusepa infii but siku hizi mambo yamekua balaa... everything ni plenty na dawa ni kushare na ukenjoy so prevention ya infii is somehow next to impossible
Hivi unadhani adam angekua na ngoma nyingine kama tatu hivi angefanyaje?
Aah no thanx... We endelea tu!
Mi namuwahi my 'companion' heheh...
omg!!read and understood.......
But damn my memory, all forgotten!
Teh Teh!!kambi ya upinzani imeleta draft bill mbadala wakati original bill imeshajadiliwa na kupitishwa.
Nitaenda kuwaomba CCTV Watengeneze kifaa maalumu unamuwekea mwenzi wako bila yeye kujua na kinarekodi kila kitu.Nadhani hii itakuwa dawa tosha.
mimi nadhani the best way kujikinga ka infidelity ni kuhasiwa tu
Good thing am not a girl.....:becky::becky::becky::becky:
Well atleast when u are playin a video game u are not sinning...
Na ndio maana kuna Mungu na shetani; wale tunaotenda mema tutamfuata Mungu,
Na nyie mnaoenda kinyume na maadili...mtaenda kule kusikopendeza! :-)
Well atleast when u are playin a video game u are not sinning...
Na ndio maana kuna Mungu na shetani; wale tunaotenda mema tutamfuata Mungu,
Na nyie mnaoenda kinyume na maadili...mtaenda kule kusikopendeza! 🙂
Dhambi ya Infidelity,inawaingiza kwenye uongo,hatimaye unaweza kuwa muuaji....Take care!:confused2::confused2::confused2: Say it again hivi mbona jana wakati tumekaa Zero Pub wakati Eliza anakuhudumia zile Ndovu baridi ulikuwa umeyaficha hayo maneno by the way ulilala nyumbani maana jana shemeji yangu kanipigia simu mida ya saa 8 ulikuwa haujafika i hope ulienda kutimiza masharti na ukarudi nyumbani kama sheria hizi hapa chini zinavyosema.
INFIDELITY KAMWE HAIFANYIKI USIKU KUCHA-fanya unalofanya lakini make sure umerudi nyumbani kwa waif/husband.ukilifanya hili utakuwa umeheshimu na kuitekeleza sheria namba 7 na namba 9 tajwa hapo juu
INFIDELITY itafanyika NYUMBA ZA KULALA WAGENI TU!....tena itafanyika kilometa kadhaa kutoka maeneo yako ya nyumbani(otherwise unatakiwa uproove kwamba mkeo/mumeo kasafiri umbali usio pungua kilometa mia saba kutoka nyumbani kwenu).
Dhambi ya Infidelity,inawaingiza kwenye uongo,hatimaye unaweza kuwa muuaji....Take care!
Ndio kusema unaiheshimu sana infidelity? is it you Finest!no no no no! my miwani where are you!ZD kuna kitu umekosea hilo neno ukiliandika next time uliandike kwa herufi kubwa, wala usiogope
apologies smilesAah no thanx... We endelea tu!
Mi namuwahi my 'companion' heheh...
thanks u Smiles, u r so intelligent, pamoja upinzani we CAN..no longer Infidelity au siyo?!
Ndio kusema unaiheshimu sana infidelity? is it you Finest!no no no no! my miwani where are you!
....lakn hata Yesu alisema "......baba wasamehe hawa hawajui walitendalo........"
Ushaanza kunichanganya na mtu wako na infidelity?Jana ilikuwaje ukaniacha bar peke yangu tokea lini wanachama wakawa wanakimbiana ungenitumia hata SMS basi kama ulikuwa unawahi ku du ze nid ful somewhere
Dah kijana acha infidelity na pombe.naona unaanza kupoteza poteza fahamu zako vizuri na inakufanya uzeeke haraka.Unakumbuka tulipokuwa tumekaa jana wote pale Zero Pub nimetoka huko muda si mrefu make sure leo jioni unawahi jana ulichelewa ndio maana hata Serengeti zako haukupata za baridi eliza pia anakusalimia anasema amekuifadhia Serengeti za kutosha yaani leo ni ku du ze nid ful tu
unaonaeee!!! huyu tutamkosa muda si mrefu asipijirekebisha.kashaanza za kiFATAKI.....wewe cheupe wa korogwe,au handeni au tanga mjini....teh teh!hana kumbukumbuUshaanza kunichanganya na mtu wako na infidelity?
Dah kijana acha infidelity na pombe.naona unaanza kupoteza poteza fahamu zako vizuri na inakufanya uzeeke haraka.
tusijekupoteza bure,nakuonea huruma sana..
unaonaeee!!! huyu tutamkosa muda si mrefu asipijirekebisha.kashaanza za kiFATAKI.....wewe cheupe wa korogwe,au handeni au tanga mjini....teh teh!hana kumbukumbu
Ushaanza kunichanganya na mtu wako na infidelity?