Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
2. Recognize that work can be a danger zone. Don't lunch alone or take coffee breaks with the same person all the time. When you travel with a co-worker, meet in public rooms and not in a room with a bed.
.
*He He He* all the best jamani...
Hii ilitakiwa iwe Sredi kabisaaaaa.Lakin hata hivyo nakusihi bora usitishe mawasiliano na huyo mume wa mtu.Usijejuta baadae.Nakuhakikishia Guilt itakuwa juu yako maisha yako yote.Kumbuka kuwa mume/mke wa mtu ni sumu.Asante kwa topic hii naona itanisaidia.
Ni mama wa watoto kadhaa. Nina work mate wangu (baba wa watoto kadhaa) ambaye tulikuwa tukiflirt kwa muda wa miaka 2, ila saa za kazi tu, kuanzia saa mbili hadi saa kumi jioni, na wakati mwingine usiku kama tupo safarini. Hatuendi lunch pamoja wala hatuna tabia ya kuwa pamoja. Mara nyingi tunakutana kwenye vikao. Mapenzi yetu ni kwa simu tu.
Majuzi kati hapa aliomba kuvunja amri ya sita. Moyo unataka ila mwili unakataa. Nimeamua kumwambia tusitishe mawasiliano, tunajaribu lakini inashindikana kwa vile tuko ofisi moja. Tukionana tu ndo unakuwa mwanzo wa kuanza kupigiana simu za mapenzi. Je kuna mapenzi kati yetu au ni tamaa za mwili? Nitajuaje au nimpe test gani kugundua kuwa ananipenda kweli.
Hapa nimejifunza kuwa hakuna mwanaume mwenye mke utakayekuwa naye kwenye uhusiano wa dhati. Atakutumia kumaliza tamaa zake za kimwili na stress za nyumbani kwake aka kipoozeo.
Asanteni sana.
Asante kwa topic hii naona itanisaidia.

Hii ilitakiwa iwe Sredi kabisaaaaa.Lakin hata hivyo nakusihi bora usitishe mawasiliano na huyo mume wa mtu.Usijejuta baadae.Nakuhakikishia Guilt itakuwa juu yako maisha yako yote.Kumbuka kuwa mume/mke wa mtu ni sumu.
Usisikilize ushauri wa watu kibao watakaokwambia kuwa ukamegane nae.Kwanza watakuwa wanakudanganya kwa vile hata wao wanaongea hapa lakn kuna asilimia kubwa hawafanyi mambo hayo.Na kama wanafanya washakuwa ma-expert wa infidelity.Waswahili wanasema iga ufe.....mambo ya kujifunzia ukubwani yana mambo.
btw,kwa nini usivunje ukimya na mume wako na mboreshe mapenzi yenu?
Sasa sikiliza, kwa kuwa mko ofisi moja hiyo ni hatari sana. hebu twende PM kidogo, tupange mikakati......Asante kwa topic hii naona itanisaidia.
Ni mama wa watoto kadhaa. Nina work mate wangu (baba wa watoto kadhaa) ambaye tulikuwa tukiflirt kwa muda wa miaka 2, ila saa za kazi tu, kuanzia saa mbili hadi saa kumi jioni, na wakati mwingine usiku kama tupo safarini. Hatuendi lunch pamoja wala hatuna tabia ya kuwa pamoja. Mara nyingi tunakutana kwenye vikao. Mapenzi yetu ni kwa simu tu.
Majuzi kati hapa aliomba kuvunja amri ya sita. Moyo unataka ila mwili unakataa. Nimeamua kumwambia tusitishe mawasiliano, tunajaribu lakini inashindikana kwa vile tuko ofisi moja. Tukionana tu ndo unakuwa mwanzo wa kuanza kupigiana simu za mapenzi. Je kuna mapenzi kati yetu au ni tamaa za mwili? Nitajuaje au nimpe test gani kugundua kuwa ananipenda kweli.
Hapa nimejifunza kuwa hakuna mwanaume mwenye mke utakayekuwa naye kwenye uhusiano wa dhati. Atakutumia kumaliza tamaa zake za kimwili na stress za nyumbani kwake aka kipoozeo.
Asanteni sana.
Sasa wewe ndio unataka kuharibu mazima.....Hii ilitakiwa iwe Sredi kabisaaaaa.Lakin hata hivyo nakusihi bora usitishe mawasiliano na huyo mume wa mtu.Usijejuta baadae.Nakuhakikishia Guilt itakuwa juu yako maisha yako yote.Kumbuka kuwa mume/mke wa mtu ni sumu.
Usisikilize ushauri wa watu kibao watakaokwambia kuwa ukamegane nae.Kwanza watakuwa wanakudanganya kwa vile hata wao wanaongea hapa lakn kuna asilimia kubwa hawafanyi mambo hayo.Na kama wanafanya washakuwa ma-expert wa infidelity.Waswahili wanasema iga ufe.....mambo ya kujifunzia ukubwani yana mambo.
btw,kwa nini usivunje ukimya na mume wako na mboreshe mapenzi yenu?
Sasa sikiliza, kwa kuwa mko ofisi moja hiyo ni hatari sana. hebu twende PM kidogo, tupange mikakati......
Sasa wewe ndio unataka kuharibu mazima.....
Teh teh teh! isje ikawa ni wewe mko ofc moja na LM! .......
C'mon smiles... dont LFAO... it will burst dudeHeheheh I know wats runnin in ur mind...
If am neither a dude nor a she...then I must be gay! Right...?
Hahahah... Am LMAO!!!
NOT me plzzz!!Shssss taratibu soma hii sheria hapa chini
2-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanatakiwa kufanya wanaloliweza kuhakikisha hakuna leakage ya taarifa yoyote ya INFIDELITY juu yako kwenye familia zao(hasa hasa wake/waume zao waliowaacha nyumbani)
C'mon smiles... dont lough your fat ass out... it will burst dude
ok.. on a serious note, lets prevent infidelity by talking politics, will that suffice?
yes, na pia nimedhamiria kumwalika pimbi, chamtumavi, kiwavi, ngurdoto, magulumangu, mfunyukuzi na PakajimyWanachama wafuatao wa ISC utawakuta ukija kwenye maombi ili msije mkanidhuru TEAMO, ASPRIN, POPE KAIZER, FIDEL80, ACID, ASKOFU, BEAUTY, SMILES na wengineo wengi
well said mkuuYou mean CCM vs CHADEMA? or Slaa Vs JK? or versus their concubines?... Damn politics!
Si tuendelee na mada yetu aftaroo, almost all presidential candidates are live members of our dear ISC!
Hii ilitakiwa iwe Sredi kabisaaaaa.Lakin hata hivyo nakusihi bora usitishe mawasiliano na huyo mume wa mtu.Usijejuta baadae.Nakuhakikishia Guilt itakuwa juu yako maisha yako yote.Kumbuka kuwa mume/mke wa mtu ni sumu.
Usisikilize ushauri wa watu kibao watakaokwambia kuwa ukamegane nae.Kwanza watakuwa wanakudanganya kwa vile hata wao wanaongea hapa lakn kuna asilimia kubwa hawafanyi mambo hayo.Na kama wanafanya washakuwa ma-expert wa infidelity.Waswahili wanasema iga ufe.....mambo ya kujifunzia ukubwani yana mambo.
btw,kwa nini usivunje ukimya na mume wako na mboreshe mapenzi yenu?
Asante kwa topic hii naona itanisaidia.
Hapa nimejifunza kuwa hakuna mwanaume mwenye mke utakayekuwa naye kwenye uhusiano wa dhati. Atakutumia kumaliza tamaa zake za kimwili na stress za nyumbani kwake aka kipoozeo.
Asanteni sana.
hapo mama nakupongeza kwa kutambua hilo, basi chukua hiyo iwe kama guide yako na naamini utafanya maamuzi ambayo ni sahihi.
Hapo mama nakupongeza kwa kutambua hilo, basi chukua hiyo iwe kama guide yako na naamini utafanya maamuzi ambayo ni sahihi.
guideline za infidelity usisahau kumpa maana naona naye tayari ndani
Hataa....
guidelines anazopata ni zile za ku-prevent infidelity!
sasa tulia niongee na mama vizuri.....
anaweza akaukwaa uongozi kwenye kambi ya upinzani....:becky: