Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Pooza roho mkuu miezi 12 mingi sana mwagilia moyo.Bwana tokea tar 25 mpk leo napiga bwax nmevurugwa kweli kweli
Sjui nianze upigaji tena
Ova
View attachment 2466809
Huyu angepewa warning tu. Labda kama walikuwa wanamtafutia sababu!Impersonation
Conflict of interest
disclosure of secrecy to the third party
Gazeti mwanawane hiiiiiSuala SIO kusoma Tuu. Kuna hulka ya MTU kuwa Kiongozi na kuiwakilisha nchi. Makuzi yake , mtizamo wake , style yake ya maisha,Maono yake. Anatitanguliza nafsi yake au ya Wengine...
Wachaga huwa Ni wezi na walivyowahi kupata madaraka walipeleka miradi Kama ya umeme nk kwao baadaye wakaanza kujisifu kuwa Ni wajanja. Ujanja gani wa wizi.Kuna yule aliyekufa juzi kati sijui mushi kwa ajali Kuna huyu wote Wana kesi za ovyo ...Hwa watu ni vip kwani?
Watasema Ni wivu kwa kushindwa kujibu hoja. Kusoma wamesoma hela wanazo Ila pia Ni wezi na waabaguzi mno ,huwa nasema kuwa hawezi nunua dukani kwako Kama pembeni yako yupo mchaga mwenzako. Hizo hela anakuwa anazipeleka kwa kyasaka yaani wa kichakani msituni Kama mnyama so Bora azipeleke nyumbaniMchagga na wizi ni kitu kimoja
Ukimaliza hutokuwa umepata suluhu.Bwana tokea tar 25 mpk leo napiga bwax nmevurugwa kweli kweli
Sjui nianze upigaji tena
Ova
View attachment 2466809
Hoyce ajengewe sanamu lake special,wazungu roho zinawauma wakiibiwa mbona wenyewe wanatuibia huku kwetu kila uchao wakwende huko...wachaga oyeee
Wazungu wana nongwa
Mtu kukosea kujiaddress tu na kutoa vinfo viwili vitatu kuhusu manunuzi maneno kibao 😃
Hao jamaa ni hatari sanaWachaga huwa Ni wezi na walivyowahi kupata madaraka walipeleka miradi Kama ya umeme nk kwao baadaye wakaanza kujisifu kuwa Ni wajanja. Ujanja gani wa wizi. Tumia brain muscles or hand muscles kihalali. Sio brain muscles kwa kuiba so na wewe huna ujanja mwingine zaidi ya wizi jamani kweli ndio utakaorithisha wanao
Kuna wengi hapa ukiwauliza Hoyce Temu amefanya makosa gani, hawajui. Lakini wanamshushia rungu!
Wengine hapa lawama zao zinasomeka kana kwamba aliiba pesa.
Mfano kosa LA kuvujisha siri za shirika. Ni nani hajawai kufanya ili kosa? Hata huyo aliyempa dada wa Taifa siri za Hoyce amefanya kosa hilo hilo!
Hao ndiyo CCM inawatafuta kwa tochi iwatumie kwenye misheni zakeHuko mitandaoni kuna Pepa la Hoyce Temu kutoka UN, Watasha wameropoka mbaya, Nimeliona kwa Mange kimambi na kwa @tzshadeeroom...
haya mambo peleka facebookMimi simu yangu aioneshi picha ila najibu kulingana na komenti za watu mimi hapo nashauri uyo mtoto aliye fanyiwa icho kitendo akimbizwe hospitali na huyo mtuhumiwa akamatwe afungwe kifungo cha maisha mana ataendelea kuharibu watoto wengine kama watamuacha huru
Huyu angepewa warning tu. Labda kama walikuwa wanamtafutia sababu!
Mfano impersonation: Mimi niliwahi kusaini mara kibao nje ya nchi sehemu ambayo inatakiwa mtu mwingine asaini. Mfano mtu ameleta mizigo ofisi na anatakiwa Procurement manager ndio asaini lakini hayupo karibu, mimi nikasaini. Ili linaweza kuwa linafanyika mara kibao ofisi lakini kama mtu anachuki na wewe anaweza kulikuza na kukuletea matatizo.
Kuna sehemu nilisoma juju kwamba alilalamika Richa kushinda Miss Tanzania. Hii inaweza kukupata picha Hoyce ni mtu wanamna gani. Labda alileta Uzawa uko UN. Watu wakamtafutia sababu!
Alidanganya vipi maternity leave?Mbona hiyo sio Siri, hiyo ni hukumu ya UN Appeals Tribunal, ambaye yeyote anaweza kuipata. Hukumu ipo, huo ni ushahidi tosha kuwa alifukuzwa kihalali.
1. Kutumia cheo Cha UNDP kufanya biashara ya kampuni yake.
2. Kutoa Siri za Shirika kwa ajili ya biashara kwenye kampuni yake.
3. Kudanganya kuhusu mapumziko ya uzazi.
Ni mchaga yupi aliyepeleka umeme kwaoWachaga huwa Ni wezi na walivyowahi kupata madaraka walipeleka miradi Kama ya umeme nk kwao baadaye wakaanza kujisifu kuwa Ni wajanja. Ujanja gani wa wizi. Tumia brain muscles or hand muscles kihalali. Sio brain muscles kwa kuiba so na wewe huna ujanja mwingine zaidi ya wizi jamani kweli ndio utakaorithisha wanao
Dah! JfMimi simu yangu aioneshi picha ila najibu kulingana na komenti za watu mimi hapo nashauri uyo mtoto aliye fanyiwa icho kitendo akimbizwe hospitali na huyo mtuhumiwa akamatwe afungwe kifungo cha maisha mana ataendelea kuharibu watoto wengine kama watamuacha huru
Yawezekanaenzi hizo pia brooh sijabishaJamani kasoma UD lol
Wateule wa sa100 haoHuwezi ukampa mtu ubalozi aliekua Miss, hakuna Miss mwenye Akili, ila kwasababu Watanzania hatupendagi ukweli na tunataka Wajinga ndio hayo.
Yaani Kenya wapeleke former Miss kwenye UN kweli?? Ambapo ndio kitovu cha Dunia
Anakutana na watu waliosoma Harvad, MIT, Cambridge etc wewe unaenda kuongea nao nn
Bas nasubir mlongooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siwezi weka Ile documents hapa afu sihasona vzr ngoja nikisoma ntakuambia ilivyo