Nevergive up
JF-Expert Member
- Dec 24, 2024
- 600
- 945
Inaniuma sana unakuta una vigezo vyote lakini unakosa,alfu anakuja mtu anapata hiyo kazi na hana vigezo kisa ni kabila moja na HR .inauma sana hakika inakatisha tamaa
Elezea kwa kina ueleweke mkuu, mtu ataona labda unazusha au uongea kwa hisiaInaniuma sana unakuta una vigezo vyote lakini unakosa,alfu anakuja mtu anapata hiyo kazi na hana vigezo kisa ni kabila moja na HR .inauma sana hakika inakatisha tamaa
Mkuu kuna sehem najitolea now ni mwaka wa 3.kuna position ikatangazwa kwenye department yangu na hiyo job nina experience ya kutosha ,tukafanya interview lakini sikuamini kilichotokea kapewa MTU mwingine kabisa nje ya kazi husika kisa yeye ni kabila moja na HR pamoja na boss. Kwahyo mkuu tokea Jana naumia sana hakika nimejikuta nakata tamaa ya life ,dunia haina hurumaElezea kwa kina ueleweke mkuu, mtu ataona labda unazusha au uongea kwa hisia
Umehalalisha kwa kuwaomba wapunguze badala ya kuwaambia waache kabisa ukabila.Inaniuma sana unakuta una vigezo vyote lakini unakosa,alfu anakuja mtu anapata hiyo kazi na hana vigezo kisa ni kabila moja na HR .inauma sana hakika inakatisha tamaa
Kawaida sana ,mifumo yote ni corrupted ..Acha mazoea nao kabisa ... Wengi wanakuchekea ila ni wabinafsi.Mkuu kuna sehem najitolea now ni mwaka wa 3.kuna position ikatangazwa kwenye department yangu na hiyo job nina experience ya kutosha ,tukafanya interview lakini sikuamini kilichotokea kapewa MTU mwingine kabisa nje ya kazi husika kisa yeye ni kabila moja na HR pamoja na boss. Kwahyo mkuu tokea Jana naumia sana hakika nimejikuta nakata tamaa ya life ,dunia haina huruma
Watu wabaya sana MkuuKawaida sana ,mifumo yote ni corrupted ..Acha mazoea nao kabisa ... Wengi wanakuchekea ila ni wabinafsi.
Serikalini au private?Mkuu kuna sehem najitolea now ni mwaka wa 3.kuna position ikatangazwa kwenye department yangu na hiyo job nina experience ya kutosha ,tukafanya interview lakini sikuamini kilichotokea kapewa MTU mwingine kabisa nje ya kazi husika kisa yeye ni kabila moja na HR pamoja na boss. Kwahyo mkuu tokea Jana naumia sana hakika nimejikuta nakata tamaa ya life ,dunia haina huruma
Inauma sana hakikaPole mwaya
PrivateSerikalini au private?
DuhInaniuma sana unakuta una vigezo vyote lakini unakosa,alfu anakuja mtu anapata hiyo kazi na hana vigezo kisa ni kabila moja na HR .inauma sana hakika inakatisha tamaa
Daah mkuu inauma sanaUckate tamaa jaribu MAISHA nje ya ajira.
MAISHA ni Safari ndefu ndungu usife moyo uenda hujaandikiwa kua hapo ulipo.
Kukata tamaa ni marufuku.
KAZI ni kipimo cha utu
Mkuu kuhusu ufanyaji kazi kwangu sina mashaka napiga kazi.hadi nasema ukabila naielewa vizuri hii kampuni tena ni ukabila pia ngono yani akija mdada boss akamuelewa jua kapata.Wakati nafanya kazi sehemu fulani nilikua naingia kwenye panel kama interviewer. Nilikua najikuta nakua na huruma na mwanaume mwenye miaka kuanzia 25 kupanda au fresher yeyote.
Hii ni kwakua mimi ni mwanaume na nishakua fresher. Naelewa struggle, so nilikua nauliza maswali ya kuwafanya waonyeshe strengths zao zaidi.
Kama unajitolea sehemu kwa miaka 3 na hujatengeneza connections na watu wa same industry ili wakupe shavu hapo inabidi ujitazame zaidi wewe kuliko kumlaumu HR na MD. Pia ukitaka kusurvive vizuri ofisini jitahidi watu waone potential at the same time uwe very genuine katika compliments na ushauri.
Anzia kwa anayefagia hadi huyo HR. Nilisurvive private kwa mtindo huu, yaani ilikua nachelewa kufika kazini ila watu wakiniona wanafurahi, nazidisha siku za likizo HR anapiga kusema wamenikumbuka.
Pole sana kaka, riziki yako ipo tuu, hata kama sio hapo. Endelea ku apply, mambo ya kujuana na upendeleo una haribu sana mambo.Mkuu kuna sehem najitolea now ni mwaka wa 3.kuna position ikatangazwa kwenye department yangu na hiyo job nina experience ya kutosha ,tukafanya interview lakini sikuamini kilichotokea kapewa MTU mwingine kabisa nje ya kazi husika kisa yeye ni kabila moja na HR pamoja na boss. Kwahyo mkuu tokea Jana naumia sana hakika nimejikuta nakata tamaa ya life ,dunia haina huruma
Mkuu niko siliazi jambo hili linagusa maisha ya Mtu acha mizaaunakuja kwenye interview umevaa kama dudukwe na chaaba halafu unataka uwe Operations manager
View attachment 3450009
It's contextual not a universal science. Huyu anatakiwa akubali kama kesi ya ukabila iko serious sana. Kama anatokea makabila dhaifu na yanayoamini katika "umimi" hayabeban wala kusapotiana ni muda sasa wa kuwaambia ndugu zake waamke..Wakati nafanya kazi sehemu fulani nilikua naingia kwenye panel kama interviewer. Nilikua najikuta nakua na huruma na mwanaume mwenye miaka kuanzia 25 kupanda au fresher yeyote.
Hii ni kwakua mimi ni mwanaume na nishakua fresher. Naelewa struggle, so nilikua nauliza maswali ya kuwafanya waonyeshe strengths zao zaidi.
Kama unajitolea sehemu kwa miaka 3 na hujatengeneza connections na watu wa same industry ili wakupe shavu hapo inabidi ujitazame zaidi wewe kuliko kumlaumu HR na MD. Pia ukitaka kusurvive vizuri ofisini jitahidi watu waone potential at the same time uwe very genuine katika compliments na ushauri.
Anzia kwa anayefagia hadi huyo HR. Nilisurvive private kwa mtindo huu, yaani ilikua nachelewa kufika kazini ila watu wakiniona wanafurahi, nazidisha siku za likizo HR anapiga kusema wamenikumbuka.