HR na Maboss punguzeni ukabila wakati wa usaili

HR na Maboss punguzeni ukabila wakati wa usaili

Mkuu kuna sehem najitolea now ni mwaka wa 3.kuna position ikatangazwa kwenye department yangu na hiyo job nina experience ya kutosha ,tukafanya interview lakini sikuamini kilichotokea kapewa MTU mwingine kabisa nje ya kazi husika kisa yeye ni kabila moja na HR pamoja na boss. Kwahyo mkuu tokea Jana naumia sana hakika nimejikuta nakata tamaa ya life ,dunia haina huruma
Bosi ni mhaya? Mnyakyusa? au ni mchaga?
Kama ni wa kabila moja wapo ni kawaida tu we endelea kukitolea mkuu.
 
Du Kuna mda watu awaelewi hata uwe na potential, wanasema damu nzito kuliko maji
Upo sahihi kaka kazi ya mwisho nilifanya na wachina. HR mbongo.

HR anamwambia boss nipigwe chini boss (mchina) anakuja kuniambia alichosema HR. MD (mbongo) akawa anamwambia marketing manager hizo ishu nikaamuni boss hatungi.

So hata kiazi kimoja kisipoona kuna wataoona.
 
Inaniuma sana unakuta una vigezo vyote lakini unakosa,alfu anakuja mtu anapata hiyo kazi na hana vigezo kisa ni kabila moja na HR .inauma sana hakika inakatisha tamaa
Kwa uandishi huu, huenda ni kigezo mojawapo cha wewe kuachwa.
 
Mkuu kuna sehem najitolea now ni mwaka wa 3.kuna position ikatangazwa kwenye department yangu na hiyo job nina experience ya kutosha ,tukafanya interview lakini sikuamini kilichotokea kapewa MTU mwingine kabisa nje ya kazi husika kisa yeye ni kabila moja na HR pamoja na boss. Kwahyo mkuu tokea Jana naumia sana hakika nimejikuta nakata tamaa ya life ,dunia haina huruma
Huu ujinga wa kujitolea kila siku huwa nawakatalia vijana siku zote..

Kujitolea siyo kigezo/kipaumbele cha kupata ajira sehemu fulani.

Pamoja na ubaguzi, Amka kiakili,
 
Inaniuma sana unakuta una vigezo vyote lakini unakosa,alfu anakuja mtu anapata hiyo kazi na hana vigezo kisa ni kabila moja na HR .inauma sana hakika inakatisha tamaa
Nikiwa hr makabila ya kijinga kama wazaramo hawapati kazi
 
Back
Top Bottom