othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 7,714
- 12,239
Bosi ni mhaya? Mnyakyusa? au ni mchaga?Mkuu kuna sehem najitolea now ni mwaka wa 3.kuna position ikatangazwa kwenye department yangu na hiyo job nina experience ya kutosha ,tukafanya interview lakini sikuamini kilichotokea kapewa MTU mwingine kabisa nje ya kazi husika kisa yeye ni kabila moja na HR pamoja na boss. Kwahyo mkuu tokea Jana naumia sana hakika nimejikuta nakata tamaa ya life ,dunia haina huruma
Upo sahihi kaka kazi ya mwisho nilifanya na wachina. HR mbongo.Du Kuna mda watu awaelewi hata uwe na potential, wanasema damu nzito kuliko maji
Kwa uandishi huu, huenda ni kigezo mojawapo cha wewe kuachwa.Inaniuma sana unakuta una vigezo vyote lakini unakosa,alfu anakuja mtu anapata hiyo kazi na hana vigezo kisa ni kabila moja na HR .inauma sana hakika inakatisha tamaa
Asante sana
HR mhaya boss MhayaBosi ni mhaya? Mnyakyusa? au ni mchaga?
Kama ni wa kabila moja wapo ni kawaida tu we endelea kukitolea mkuu
Wahayamaboss zako ni wachaga au wahaya.
pole mkuu, nakushauri usiache kazi ila jitahidi uendelee kuomba sehemu nyingine...Wahaya
Shukurani sana Mkuu ngoja naendelea kupambana Mungu ni mwema nyakati zotepole mkuu, nakushauri usiache kazi ila jitahidi uendelee kuomba sehemu nyingine...
Huu ujinga wa kujitolea kila siku huwa nawakatalia vijana siku zote..Mkuu kuna sehem najitolea now ni mwaka wa 3.kuna position ikatangazwa kwenye department yangu na hiyo job nina experience ya kutosha ,tukafanya interview lakini sikuamini kilichotokea kapewa MTU mwingine kabisa nje ya kazi husika kisa yeye ni kabila moja na HR pamoja na boss. Kwahyo mkuu tokea Jana naumia sana hakika nimejikuta nakata tamaa ya life ,dunia haina huruma
Nikiwa hr makabila ya kijinga kama wazaramo hawapati kaziInaniuma sana unakuta una vigezo vyote lakini unakosa,alfu anakuja mtu anapata hiyo kazi na hana vigezo kisa ni kabila moja na HR .inauma sana hakika inakatisha tamaa