Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
nielewesheDah, Hujaelewa Air Interface ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nielewesheDah, Hujaelewa Air Interface ?
Hujaelewa Madamleta mada
Basic Definition for Beginnersnieleweshe
nilichosoma hapa ndio kile kile nilichokiandika mimi hapa kimeandikwa kingereza kule kiswahili.Basic Definition for Beginners
Mobile Computing Definitions from TechTarget
searchmobilecomputing.techtarget.com
Crapnilichosoma hapa ndio kile kile nilichokiandika mimi hapa kimeandikwa kingereza kule kiswahili.
air interface is the radio-frequency portion of the circuit between the cellular phone set or wireless modem (usually portable or mobile) and the active base station
hapo ni mawasiliano baina ya simu na mnara, swali langu nilikuuliza ukiboresha hayo mawasiliano toka simu hadi mnara, fanya hata unapata gb 100 kwa sekunde, kama core ya network hio backbone ni gb 100 kwa sekunde ina maana atumie mtu mmoja tu? mtu anaweza kuwa na li server lake somewhere akakomba bandwidth yote.
lakini uki improve backbone ikawa na speed ya maana automatic network haitakuwa loaded, vifurushi vitakuwa vizuri etc.
mkuu mimi nimeshuhudia revolution ya vifurushi hapa bongo kwenye umri wangu, uliza mdau wowote wa zamani
-tigo walikuwa na vifurushi vya lite, medium na max unlimited
-voda walikuwa na Bomba7 na Bomba30 unlimited
-Airtel walikuwa na vocha hadi za 200 unlimited kwa saa na 2000 kama sijakosea unlimited siku.
-zantel walikuwa na unlimited 2000 baadae 5000 kwa siku 3.
waliweza kuuza unlimited sababu tulikuwa wachache watumiaji wa internet na hatujazi sana mtandao, ila tulivyoongezeka na backbone kutoongezeka ina maana capacity inakuwa ndogo na watumiaji wengi, taratibu vifurushi vya unlimited vikaondoka vikaja vya usiku, ambavyo navyo vilikua unlimited, na siku hizi hata hivyo vya unlimited usiku wameondoa.
anachotaka isp ni hela, hajali unatumia gb ngapi anataka watu wengi kadri iwezekanavyo watumie mtandao wake, hivyo kukitokea breakthrough ya backbone automatic kutabadili muelekea wa wireless network ikiwemo 6g.
Mkuu samahani natoka nnje ya mada kidogo ivi ukitaka kujua kama simu inasapoti 4g+ Kuna sehemu unaweza angalia kwenye settingUnaweza tetea hoja yako kwa ushahidi? Mfano ukaleta speed test ya starlink ikiipita 4g ya Tanzania?
Voda kwangu hapa ping ni 17ms
View attachment 1770361
Nakuruhusu unaweza Google pia starlink ikiwa na ping ndogo zaidi?
Starlink ipo faster against satelite wenzake, mpinzani wake kwa sasa ni 3g, ila inaitwa na 4g na 5g ndio kabisa hata haifananishiki.
Labda udownload app kama lte discovery.Mkuu samahani natoka nnje ya mada kidogo ivi ukitaka kujua kama simu inasapoti 4g+ Kuna sehemu unaweza angalia kwenye setting
Tumia GSM arenaMkuu samahani natoka nnje ya mada kidogo ivi ukitaka kujua kama simu inasapoti 4g+ Kuna sehemu unaweza angalia kwenye setting
Hahahah baiskeli ya kuendea zenji kupitia bahari ya hindi sio?1. kwanza 6G haitoki kwenye satelite, ni kama unasema Huawei katengeneza Baiskeli za kwenda zanzibari, satelite ni mfumo mwengine wenye speed ndogo na ping kubwa, tayari 4g ipo faster kushinda hata low orbit satelite sembuse 6G?
2. 6G ni standard, haijulikani itakuwa vipi mpaka makampuni yakae yaitengeneze, huwezi sema sasa hivi kampuni ina tengeneza 6G.
Oooh maana na a51Labda udownload app kama lte discovery.
Alternative Google model husika online, lte plus inaanza Cat 6 300mbps+
Yap, Sababu satelite internet tayari ni inferior tech kuliko tulizo nazo.Hahahah baiskeli ya kuendea zenji kupitia bahari ya hindi sio?
A51 inayo lte Advance, hata ukicheki gsmarena utaona imeandikwa Lte-A.Oooh maana na a51
Mkuu salama? Hebu nieleweshe hii kitu kwenye simu inaitwa NFC, ikiwa on au off kuna madhara yoyote? Ni nini kazi yake haswa?A51 inayo lte Advance, hata ukicheki gsmarena utaona imeandikwa Lte-A.
Simu inaweza isioneshe kwenye status bar ila unapata speed kuliko simu ya kawaida ya 4g.
Near field communication haina madhara,Mkuu salama? Hebu nieleweshe hii kitu kwenye simu inaitwa NFC, ikiwa on au off kuna madhara yoyote? Ni nini kazi yake haswa?
Shukran.
Nfc ni kama Bluetooth sema yenyewe umbali wake ni kama Cm kadhaa na ipo slow zaidi,Mkuu salama? Hebu nieleweshe hii kitu kwenye simu inaitwa NFC, ikiwa on au off kuna madhara yoyote? Ni nini kazi yake haswa?
Shukran.
Near field communication haina madhara,
Moja ya umuhimu wa nfc ni cardless payment.
Unatoa hela kwenye baadhi ya atm au kufanya malipo bila kutumia kadi za atm.
Unachofanya unaweka simu karibu na kifaa kinachosapoti nfc na hiko kifaa kitasoma details za kadi na utaweza fanya mihamala yako.
Samsung pay na google pay inakubali nfc, ila hapa tz sidhani kama kuna sehemu wanatumia nfc kwa ajili ya transaction.
Matumizi ya nfc yako mengi zaidi ya payment
![]()
What is NFC and how do I use it?
Find out more What is NFC and how do I use it? with samsung suport.www.samsung.com
Asanteni Sana wakuu.Nfc ni kama Bluetooth sema yenyewe umbali wake ni kama Cm kadhaa na ipo slow zaidi,
Kazi yake ni kuunganisha vifaa viwili vya electronic kwa haraka zaidi (Bluetooth mpaka ufanye pairing unachukua muda)
Siku hizi kazi kubwa wanatumia kwenye malipo, kama unasikia Apple pay, Samsung pay etc, kama ilivyo credit card kunakuwa na kimashine unapitisha card yako kulipa, Nfc yenyewe unagusisha simu kulipa.
Kibongo bongo weka tu off
![]()
Inaweza ku initiate data transfer ama kufanya backup kama kithibitisho kwamba simu zipo karibu,Asanteni Sana wakuu.
Naona ikae off tu. Niliona hiyo near devices nikadhani hata data itaweza ku transfer remotely kukiwa na device nyingine karibu.
Ww huna facts.Tumia GSM arena
GSMArena.com - mobile phone reviews, news, specs
GSMArena.com - The ultimate resource for GSM handset informationm.gsmarena.com
Ingiza Model ya Simu yako utaona Capabilities za Simu yako.
Ni Best Practice kujua Features za Simu yako kabla hujanunua
LTE + wengine wanaita LTE advance, Simu inakuwa ina support Feature inaitwa Carrier Aggregation, CA, Means simu yako inatumia zaidi ya LTE Carrier (Frequency) moja simultaneously hence improved Data rate.
Pre requisite ni Lazima your service Provide awe ame activate hiyo Feature kwenye Network yake.
Okay, shukran Sana kiongozi.Inaweza ku initiate data transfer ama kufanya backup kama kithibitisho kwamba simu zipo karibu,
Kweli bana hata mzee alinambia juziYap, Sababu satelite internet tayari ni inferior tech kuliko tulizo nazo.