Near field communication haina madhara,
Moja ya umuhimu wa nfc ni cardless payment.
Unatoa hela kwenye baadhi ya atm au kufanya malipo bila kutumia kadi za atm.
Unachofanya unaweka simu karibu na kifaa kinachosapoti nfc na hiko kifaa kitasoma details za kadi na utaweza fanya mihamala yako.
Samsung pay na google pay inakubali nfc, ila hapa tz sidhani kama kuna sehemu wanatumia nfc kwa ajili ya transaction.
Matumizi ya nfc yako mengi zaidi ya payment
Find out more What is NFC and how do I use it? with samsung suport.
www.samsung.com