Teh teh teh hii ID ilipotea sana. Karibuv tena.Ww huna facts.
Sipendi watu ambao hawataki kukubali kuzidiwa ujuzi. Mkuu mkwawa ndiyo jicho letu la tech. Hakurupuki, wala hana majivuno na ni mtu wa facts. Wewe ni layman tu kwa mkuu mkwawa. I don't mean to be rude but, you ain't kwow shit.
Kuna nyingine hii imepotea sana [emoji115] ni kitambo sijamuona humu thesymNear field communication haina madhara,
Moja ya umuhimu wa nfc ni cardless payment.
Unatoa hela kwenye baadhi ya atm au kufanya malipo bila kutumia kadi za atm.
Unachofanya unaweka simu karibu na kifaa kinachosapoti nfc na hiko kifaa kitasoma details za kadi na utaweza fanya mihamala yako.
Samsung pay na google pay inakubali nfc, ila hapa tz sidhani kama kuna sehemu wanatumia nfc kwa ajili ya transaction.
Matumizi ya nfc yako mengi zaidi ya payment
What is NFC and how do I use it?
Find out more What is NFC and how do I use it? with samsung suport.www.samsung.com
Teh teh teh hii ID ilipotea sana. Karibuv tena.
Achan na na mambo ya pind bro tuongelee vitu practical ushawahi download anything ikaandika hyo speed ya hata 30mbps starlink last yeae wame achieve 100mbps UK!Unaweza tetea hoja yako kwa ushahidi? Mfano ukaleta speed test ya starlink ikiipita 4g ya Tanzania?
Voda kwangu hapa ping ni 17ms
View attachment 1770361
Nakuruhusu unaweza Google pia starlink ikiwa na ping ndogo zaidi?
Starlink ipo faster against satelite wenzake, mpinzani wake kwa sasa ni 3g, ila inaitwa na 4g na 5g ndio kabisa hata haifananishiki.
Unless hujui lolote la network huwezi uka ignore suala la ping. Ping ina affect mambo hayaAchan na na mambo ya pind bro tuongelee vitu practical ushawahi download anything ikaandika hyo speed ya hata 30mbps starlink last yeae wame achieve 100mbps UK!
Aaah ila na laini nayo si inatakiwa iwe 4g +?A51 inayo lte Advance, hata ukicheki gsmarena utaona imeandikwa Lte-A.
Simu inaweza isioneshe kwenye status bar ila unapata speed kuliko simu ya kawaida ya 4g.
Hili sina uhakika mkuu, ila nafkiri line sio lazima, maana line yangu ninayo tumia nilisajili immediately walipotoa 4g.Aaah ila na laini nayo si inatakiwa iwe 4g +?
Understood SirLete ushahidi wa hio speed mkuu, nimetoa yangu latency ni 17ms na ni huku Tanzania mwisho Wa Dunia,
Nchi kama za Scandinavia, Korea, Japan etc 4g theoretically inazidi 1gbs na wanayo pata user average inazidi 100mbps, mfano korea mwezi wa tatu ni around 170mbps (according to ookla), na starlink average ni 50 mpaka 80 (hao hao Ookla),
Na kikubwa kabisa ni ping, ping za 30ms tulikuwa tunazipata tangu Enzi za 3g, kwenye 4g ikashuka chini 20ms na 5g ni single digit chini ya 10. Fiber hizi za kina Zuku ni 1ms ama 2ms tu, ilichofikia starlink ni between hio 3g na 4g bado haijafika level za 4g
Inachoaifiwa ni kwamba ina speed kuliko satelite nyengine itafaidisha watu wa vijijini, ila watu walio mjini na wenye access ya mobile data ama fiber haiwahusu.
Sure mzee uko sahihi huyo informer hayuko uo to dateMkuu SpaceX anasambaza hundreds of Starlink Sat ktk low earth orbit na speed ipo vizuri pengine ni over hiyo 4g ulosema!
Kuna kitu gani hapo ambacho pengine labda sijakielewa vizuri?
Hahaha....mkuu siku hizi jf imejaa utoto mwingi sana. Wengi tumekimbilia Twitter republicTeh teh teh hii ID ilipotea sana. Karibuv tena.
Hahaha....mkuu siku hizi jf imejaa utoto mwingi sana. Wengi tumekimbilia Twitter republic