round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Trump aliwapiga nyundo Huawei mwaka 2019, Hii ilipelekea makampuni kama google kuikataza Huawei kutumia huduma zao kama Playstore.
Huawei wakaachana na android wakaamua kutumia System yao inaitwa Harmony OS wakiapa kupindua meza na kutawala soko la simu duniani.
Hali imekuwa tofauti sana, Huawei wameyumba, nini kinaendelea ?