round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Well mpaka sasa wanamiliki asilimia ngapi kwenye soko la simu duniani?wanakuja kwa kasi tena ni suala la muda tu watatake over the world👿
Huawei hata waje na simu zenye hardware kali bado watafeli, Huawei bila Playstore na services za Google ni kama kuandaa chapati bila mafuta.wanakuja kwa kasi tena ni suala la muda tu watatake over the world👿
Huawei anauza units nyingi nchini kwake kwenye watu Bilioni 1, nje ya China kapoteza soko.Tatizo unaandika uzi bila kufanya research. Katafute financial report ya 2024 uangalie, pia angalia kwa mwaka 2024 kati ya Huawei na Google (Pixel) nani kasukuma units nyingi.
Huawei lazima itafanya vizuri tu kwa miaka ijayo, kwa watu wanaojali data zao hawawezi kutumia vifaa au bidhaa zinaingiliana na Google.
Hapa labda huyo jamaa aliyeleta suala la research atuambie nje ya China ameuza units ngapi!?Huawei anauza units nyingi nchini kwake, Kumbuka China kuna watu Bilioni 1
Na hii vita ya ushuru inayoendelea, Marekani inaweza kutafuta sababu ikawapiga ban Xiaomi wasitumie playstore.Hapa labda huyo jamaa aliyeleta suala la research atuambie nje ya China ameuza units ngapi!?
Huo pia ni mtaji. Ktk jambo lolote lile, kuwa na uwezo wa kujisimamia mwenyewe kwanza kabla hujamtegemea jirani ni nguzo imara ya kusimamia. Tena afadhali Uzi huu umenizindua. Simu yangu SUMSANG S9+ imekufa kioo, wacha nitafute HUAWEI moja safi nihangaike nayo...Huawei anauza units nyingi nchini kwake, Kumbuka China kuna watu Bilioni 1
Chapati bila mafuta?Hiyo iitwe disc ya kukatia vyuma kwa wazee wa welding.Trump aliwapiga nyundo Huawei mwaka 2019, Hii ilipelekea makampuni kama google kuikataza Huawei kutumia huduma zao kama Playstore.
Huawei wakaachana na android wakaamua kutumia System yao inaitwa Harmony OS wakiapa kupindua meza na kutawala soko la simu duniani.
Hali imekuwa tofauti sana, Huawei wameyumba, nini kinaendelea ?
soko la ndani
WapoTrump aliwapiga nyundo Huawei mwaka 2019, Hii ilipelekea makampuni kama google kuikataza Huawei kutumia huduma zao kama Playstore.
Huawei wakaachana na android wakaamua kutumia System yao inaitwa Harmony OS wakiapa kupindua meza na kutawala soko la simu duniani.
Hali imekuwa tofauti sana, Huawei wameyumba, nini kinaendelea ?
Hawa Xiaomi nawakubali sana, ninayo 9A ina miaka mitatu na bado mashine iko vizuri.Xiaomi ndio main competitor wa Huawei. Hapo Huawei kazi anayo maana jamaa wako vizuri