HUBA vs JUA KALI: Tamthiliya ya Huba wamekosea wapi?

HUBA vs JUA KALI: Tamthiliya ya Huba wamekosea wapi?

RNA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
1,647
Reaction score
2,803
Kadri ziku zinavyokwenda watazamaji wengi wanaipotezea tamthiliya ya HUBA na kuelekea nyingine hasa Jua Kali.

Huba wamekosea wapi? Je, hawana uhalisia - tamthiliya nzima hakuna role models, haireflect maisha au?
 
Tamthilia ya huba mwazoni walikuwa Wana story nzuri Ila ghafla sikuelewa mtu anatoka kijijinj ghalfla ana jua kingereza Mara boss wa kampuni story haishi kila siku matukio ya kutengeneza ata Kama ndo kuigiza huba ni Kama isidingo.

Jua Kali na yenyewe ilitakiwa kuisha muda tu naona Dada yetu lamata anaizungusha Ile tamthilia ionekane kubwa Visa vingi ni upuuzi tu.

Watu wanaipenda jua Kali sababu mule ndani mastaa kibao.

Bongo kwenye kumaliza story bado sana
 
Tamthilia ya huba mwazoni walikuwa Wana story nzuri Ila ghafla sikuelewa mtu anatoka kijijinj ghalfla ana jua kingereza Mara boss wa kampuni story haishi kila siku matukio ya kutengeneza ata Kama ndo kuigiza huba ni Kama isidingo...
Umeandika vyema sana mkuu. Jua Kali ni tamthilia nzuri ila sasa shida wanairefusha bila sababu (ofkozi sababu ni PESA, wanataka watu walipe zaidi na zaidi). Kwa tamthilia, kawaida ni kuwa episode ya siku 1 inazungumzia siku nzima kwa ujumla, sasa Jua Kali unakuta show mnaangalia siku 3 ikiwa inazungumzia tukio la siku 1 tu - hapa wamefeli.

Huba ni kutokuwa na story ya kueleweka au yenye muendelezo ndio kunafanya ipwaye kwa sasa
 
Jua kali inazungushwa sanaa. ilitakiwa iishe tangu mwaka jana tena sio mwishoni.

Tushaichoka mana jambo lililotakiwa litokee mwaka jana mwezi wa7 linazungushwa mpaka march 2023. Kila siku Hamu hamu na hamna jipya.

Mimi sijaangalia tangu mwezi wa2 na vile niliunganishiwa Dstv ya mchongo saizi sina ndo kabisa
 
Kadri ziku zinavyokwenda watazamaji wengi wanaipotezea tamthiliya ya HUBA na kuelekea nyingine hasa Jua Kali.

Huba wamekosea wapi? Je, hawana uhalisia - tamthiliya nzima hakuna role models, haireflect maisha au?
Maigizo na uzungu mwingi
Watu maisha ya ndotoni Wanayaleta kwenye kamera

Wengine ni makapuku na makwao tunapajua ila sasa wanavyoigiza ushua,

Chai kitandani,mara hawali ugali wanakuwa baga na pizza eti Kila siku vikao vya kampuni,mara sijui CEO,sijui body of directors,hukute wakiwa mitaani ni makapuku watoa ukurutu

Hao huba hamna kitu kazi kujichubua tu
 
Sasa subilini hiyo jua kali lamata aje amlete tena yule mnaijeria wake ndio ianze tena upya.

Kule huba nako JB anasubiri aje amuoe tima.

Hizi series za kibongo ni basi tu
Bora kidogo Pazia japo nayo imeanza kuboa Kila mtu sasa ninwakishua mpaka Bidu sasa Kawa mwanasiasa

Bidu ndo alikuwa ananishawishi kuangalia Pazia ila sasa naye yeye na mkewe yule pisi Kali wamekuwa wakishua full ma mke up na fake eyebrows

Bidu kaniangusha sana,nimemmisi yule mke wake simple wa zamani dah
 
Kadri ziku zinavyokwenda watazamaji wengi wanaipotezea tamthiliya ya HUBA na kuelekea nyingine hasa Jua Kali.

Huba wamekosea wapi? Je, hawana uhalisia - tamthiliya nzima hakuna role models, haireflect maisha au?
Leah Mwendamseke hua anajua kufanya kazi zake.
Huba story yake ya ajabu sana aiseh.
 
Kadri ziku zinavyokwenda watazamaji wengi wanaipotezea tamthiliya ya HUBA na kuelekea nyingine hasa Jua Kali.

Huba wamekosea wapi? Je, hawana uhalisia - tamthiliya nzima hakuna role models, haireflect maisha au?
umefanya research yako kwa sample ipi mkuu maana huku kwetu ileje Huba inawika watu hatulimi tunashinda kuirudiarudia hyo jua kali ndo nini
 
Kadri ziku zinavyokwenda watazamaji wengi wanaipotezea tamthiliya ya HUBA na kuelekea nyingine hasa Jua Kali.

Huba wamekosea wapi? Je, hawana uhalisia - tamthiliya nzima hakuna role models, haireflect maisha au?
I heard.. Huba ni kitabu kwaio kuigiza hadi kitabu kiishe sio leo😂😂😂 kwakwel ni isidingo ya kibongo ile...
jua kali nao wanazungusha tuu mambo😂😂
 
Back
Top Bottom