Hudah Monroe na Zarina watunishiana misuli kisa Diamond

Malaya maarufu[emoji23] [emoji23] [emoji23] HV domo hajui kweli
 
zari ana dharau sana hakuna mtu alikuwa anamchukia zari ila anashow off za kijinga kama mtoto kwanza kamfundisha dai show of za kijinga hadi dai ana maadui sana toka awe na zari
Hadi mm nimetokea kumchukia dai kuliko alivokw na wema
 
Hata wewe ungekua kwenye position ya zari ungejisikia, zari Ana kila kitu yani kakamilika kwa kweli Ana haki ya kuringa, tatizo huddah wivu tu unamsumbua, zari wala vera sio type yake, wale wako mbali kimafanikio ndio maana anagombana nao kila siku
Kwahiyo ukiwa na kila kitu ndo uringe??, hiki ndo huwa kinatuponza Sana wanawake
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimeishia kucheka
 
Halafu umeongea point moja...hivi y sijawahi ona wale watoto wa zari wakipiga picha na bibi/babu, shangazi from upande wa baba?!? Au hata zari mwenyewe??....
Unaambiwa zari achilia mbali dharau Ana roho mbaya kishenz hafai hata kwa kurumangia ,haelewani na familia ya Ivan and now familia ya mond, ni mtu Mmoja selfish Sana hata birthday ya tiffa hawakuepo upande wa baba, jiulize kwann while they deserved to be there
 
muongezee na Man Fongo
 
Kwani mama Wema kaingiaje hapa au unaona mama wema na zari wako sawa agewise!! Yaani timu bibi bomba mna mapovu nyinyi
Ila huddah mbayaaaaaa

Anadhusha kichambo....zarina inabidi [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
huyu yuko obsessed with mama wema!!
hovyooo!
 
yaani hana uhusiano na hyo family
Heee..na we Miss vepeee Leo???[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kwani uhusiano alionao na diamond una tofauti gani kipindi yuko na Don?...hujaelewa mfumo mzima wa swali languuu
 
Aliuza mwenyewe akampa hela Mondi
Heee...vipi DOMO alimuongezea hiyo hela ama ndo hivo tena? Kama alikula hela ake niingie kabisa vitani na slogan ya #DOMObringbackourwema'smoney#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…