Hudah Monroe na Zarina watunishiana misuli kisa Diamond


Dawa yao unawagonga wote unaeachanganya na bwana wao piza boy nae unamgonga
 
Simpendi yule mwanamke anamadharau sana na roho yake mbaya na atasubiri sana kuolewa na domo nahisi hata domo anajuta wala huddah hajakosea kumpa kichambo na ustar wake Wa insta kama mzuri sana ana hela anautajiri mbona hakuna mwanaume alotokea kumuoa zaidi ya kuzalishwa ili asiumbuke mjini hovyooo
 
Jamani haya mambo ya udaku yaishie huko huko facebook. JF ni jukwaa la great thinkers. Ni hayo tu kwa leo
 
Aisee [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Wanawake tunawivu sana[emoji23][emoji23]!!sijui hata aliyeturoga ni nani
Zari endelea mama kunikomeshea Nyakunyaku
 
Mali za instagram???
Mali za instagram anamiliki mama fekero sio zari, zari yuko expensive bhana, usimfananishe zari na vitu vya ajabu, toto limeumbika yani kila idara kakamilika, mwacheni aringe ,ndo wadada mjue na wanaume wa kuzaa nao sio kila mwanaume mnapanua tu mnaishia kuzaa na kina man fongo[emoji2] [emoji2] ,zari mjanja bhana anajua jinsi ya kuutumia uzuri wake, sio mama ubaya anagawa k miaka nenda rudi na hana lolote mjni
 
ZARI KAUMBIKA WAPI? ANA NINI ZAIDI YA MGUU? AU ULE WEUPE?
ZARI WA KAWAIIIDA PAMOJA NA KUJIONGEZA KWA MAPLASTIC SURGERY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…