tena kanyakua mjukuu wake loohh![emoji57] [emoji57] [emoji57]Zari kasahau kama na yeye ni mmoja wa nyakunyaku anahisi tumesahau kama alimnyakua Chibu toka kwa Wema.
Embu atulie huyo bibi kizee atuzalie tu Salama mtoto wetu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] labour ward ambassadorheee wanawake wanatukaniana kuzaa... hee maajabu ya pili ya dunia.. wengine hapo mama zao walizaa watoto mpaka nane.. so their mother's are labor ward ambassadors?
Labour ward ambassador [emoji2] [emoji2] [emoji2] hili jina linachekesha sana looh!!Akitulize kimimba chake jamaniiiii
khaaaa!
[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] huddah hana maanaUwiiiiiii shkamoo Huddah [emoji119][emoji119][emoji119] sio kwa kichambo hicho mama!
Eti "I'm no brand ambassador of labor wards.
And I don't want to survive on child support for a living"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wema mwenyewe alishasema kua tym zari ana date na mondi alikua ameshabreak n mondi. So zari km mwanamke kutongozwa na kukubali sio issue coz mondi alikua single (ameachana n wema) apo kamnyakuaje?Zari kasahau kama na yeye ni mmoja wa nyakunyaku anahisi tumesahau kama alimnyakua Chibu toka kwa Wema.
Embu atulie huyo bibi kizee atuzalie tu Salama mtoto wetu.
Kuzaa kwanza ni jambo la kheri. Mwingine anakesha kwa wataalamu angalau apate ata kamoja. Kwakwel uzazi sio kitu cha kumsemea mtu kwanza kwa mwanamke ni kitu cha kua proud nacho.heee wanawake wanatukaniana kuzaa... hee maajabu ya pili ya dunia.. wengine hapo mama zao walizaa watoto mpaka nane.. so their mother's are labor ward ambassadors?
Mkuu kwani Zari kabishana na nani? Ninavyomfahamu Zari ye huwaga anatupa jiwe kizani, atakayepiga kelele ndo lishampata.Zari nae Mtu mzima hovyoooooo....
Hivi kwa uzee ule abishane na wajukuu zake kweli,bwana huyo bwana gani?Huyo daimond ?
Kama anapendwa sana si aolewa!
Sijui ni mama wa aina gani yule,asiyejielewa aisee!
Hivi watoto wakikua watajiskiaje kuyaona mauchafu ya mama yao!
Mungu ninusuru Mimi na wadogo zangu tusiwe aina ya mama kama zari!
Hata huddah katupa jiwe gizani pia!Mkuu kwani Zari kabishana na nani? Ninavyomfahamu Zari ye huwaga anatupa jiwe kizani, atakayepiga kelele ndo lishampata.
Kwa ile post yake hakuna baya aliloongea, zaid ya Huddah kujistukia. Hata mm bae wangu hanipost hata siku moja na nina mpa goog goog tukiwa private, ulikuwa ni ushauri mzuri kwa kweli. Kanifundisha na namgomea bae kumpa hadi anipost insta na ole wake afute [emoji3]
Nnachoshindwa kumwelewa Huddah alipomchamba Vera pia, na ukifatilia vzr utaona beef kati ya Zari na Huddah limeanza baada ya Zari ya kumwalika Vera kwenye birthday ya Tiffah iloishia kusikojulikana.Tunapendana sana...mbona hata nyie mpo mnaopenda mondi wengine king kiba na mnamponda sana tu
Mi Zari nilikua nampenda sana tuuu...
Ila alivyoanza kutojitambua kama mmama wanne nimemshusha P
Huddah nakapenda sana kale kabinti kako vizuri yy na vera sidika wote!
Too bad ni kuwa hujui kitu. Wema alimuacha Chibu ndugu. Wema ndiye aliyetangaza kuachana na Daimond.Zari kasahau kama na yeye ni mmoja wa nyakunyaku anahisi tumesahau kama alimnyakua Chibu toka kwa Wema.
Embu atulie huyo bibi kizee atuzalie tu Salama mtoto wetu.
Nnachoshindwa kumwelewa Huddah alipomchamba Vera pia, na ukifatilia vzr utaona beef kati ya Zari na Huddah limeanza baada ya Zari ya kumwalika Vera kwenye birthday ya Tiffah iloishia kusikojulikana.
But kwa hy post alochambwa na Huddah Zari hana kosa kwa kweli, sema kama ndo tabia yako kunyakua mabwana wa wenzio lazima uumie
Kujistukia kubaya kweliMmmmmmhhh naona jiwe la gizan limempata mhusika mi nlijua dongo la hamisa kumbe la huddah chaaaaaaa...
Naona watu wanaongea kiushabiki tu bila kujua lolote. Madam haachwi bwana bwana, na akiachwa hufanya bidii hadi amrudie kisha amwache yy[emoji3]Wema mwenyewe alishasema kua tym zari ana date na mondi alikua ameshabreak n mondi. So zari km mwanamke kutongozwa na kukubali sio issue coz mondi alikua single (ameachana n wema) apo kamnyakuaje?
Hahahaaa, Zari anamiaka mingapi ambayo itmtofautisha na wanawake wengine?Hata huddah katupa jiwe gizani pia!
Kwa umri wa zari unaona ni sahihi kupiga vijembe vya kipuuzi km vile
So called 'bossylady'anajishusha sana!
Angemuambia dai amuoe
Huddah mbona hajataja mtuu...?!!Kujistukia kubaya kweli
Sio wanatakana. Kwanza kumbuka Huddah alianza kutoka na Mondi kabla hajawa na zari. Kibindi hicho Mondi anampiga Huddah kisirisiri alikua na Wema. Wakati uoo zari na Huddah walikua marafik kwasababu wanaendana kitabia yani kusaka wanaumme wenye hela plus popularityKwani huda na diamond walikuwa wanatakana?
Ukkshakua mama yapaswa kujiheshimu kwa manufaa ya mwanaoHahahaaa, Zari anamiaka mingapi ambayo itmtofautisha na wanawake wengine?