Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
tena kanyakua mjukuu wake loohh![emoji57] [emoji57] [emoji57]Zari kasahau kama na yeye ni mmoja wa nyakunyaku anahisi tumesahau kama alimnyakua Chibu toka kwa Wema.
Embu atulie huyo bibi kizee atuzalie tu Salama mtoto wetu.