Hudah Monroe na Zarina watunishiana misuli kisa Diamond

Hudah Monroe na Zarina watunishiana misuli kisa Diamond

Zari kasahau kama na yeye ni mmoja wa nyakunyaku anahisi tumesahau kama alimnyakua Chibu toka kwa Wema.

Embu atulie huyo bibi kizee atuzalie tu Salama mtoto wetu.
tena kanyakua mjukuu wake loohh![emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
heee wanawake wanatukaniana kuzaa... hee maajabu ya pili ya dunia.. wengine hapo mama zao walizaa watoto mpaka nane.. so their mother's are labor ward ambassadors?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] labour ward ambassador
 
Uwiiiiiii shkamoo Huddah [emoji119][emoji119][emoji119] sio kwa kichambo hicho mama!
Eti "I'm no brand ambassador of labor wards.
And I don't want to survive on child support for a living"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] huddah hana maana
Kuna mmoja IG kamuita diamond Ben 10 or pizza boy!!
wakenya wanachamba looohh!
 
Zari kasahau kama na yeye ni mmoja wa nyakunyaku anahisi tumesahau kama alimnyakua Chibu toka kwa Wema.

Embu atulie huyo bibi kizee atuzalie tu Salama mtoto wetu.
Wema mwenyewe alishasema kua tym zari ana date na mondi alikua ameshabreak n mondi. So zari km mwanamke kutongozwa na kukubali sio issue coz mondi alikua single (ameachana n wema) apo kamnyakuaje?
 
heee wanawake wanatukaniana kuzaa... hee maajabu ya pili ya dunia.. wengine hapo mama zao walizaa watoto mpaka nane.. so their mother's are labor ward ambassadors?
Kuzaa kwanza ni jambo la kheri. Mwingine anakesha kwa wataalamu angalau apate ata kamoja. Kwakwel uzazi sio kitu cha kumsemea mtu kwanza kwa mwanamke ni kitu cha kua proud nacho.
 
Hudah kujishuku tu mtu kajipostia zake ukahisi umeambiwa wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwel ukirusha jiwe gizani ukasikia yalaaah ujue limempata mtu. Akitulize na lipstick zake kwanza imefanya 2jue mondi kakatsha na pale
 
Zari nae Mtu mzima hovyoooooo....
Hivi kwa uzee ule abishane na wajukuu zake kweli,bwana huyo bwana gani?Huyo daimond ?

Kama anapendwa sana si aolewa!
Sijui ni mama wa aina gani yule,asiyejielewa aisee!
Hivi watoto wakikua watajiskiaje kuyaona mauchafu ya mama yao!
Mungu ninusuru Mimi na wadogo zangu tusiwe aina ya mama kama zari!
Mkuu kwani Zari kabishana na nani? Ninavyomfahamu Zari ye huwaga anatupa jiwe kizani, atakayepiga kelele ndo lishampata.

Kwa ile post yake hakuna baya aliloongea, zaid ya Huddah kujistukia. Hata mm bae wangu hanipost hata siku moja na nina mpa good good tukiwa private, ulikuwa ni ushauri mzuri kwa kweli. Kanifundisha na namgomea bae kumpa hadi anipost insta na ole wake afute [emoji3]
 
Mkuu kwani Zari kabishana na nani? Ninavyomfahamu Zari ye huwaga anatupa jiwe kizani, atakayepiga kelele ndo lishampata.

Kwa ile post yake hakuna baya aliloongea, zaid ya Huddah kujistukia. Hata mm bae wangu hanipost hata siku moja na nina mpa goog goog tukiwa private, ulikuwa ni ushauri mzuri kwa kweli. Kanifundisha na namgomea bae kumpa hadi anipost insta na ole wake afute [emoji3]
Hata huddah katupa jiwe gizani pia!

Kwa umri wa zari unaona ni sahihi kupiga vijembe vya kipuuzi km vile
So called 'bossylady'anajishusha sana!
Angemuambia dai amuoe
 
Tunapendana sana...mbona hata nyie mpo mnaopenda mondi wengine king kiba na mnamponda sana tu
Mi Zari nilikua nampenda sana tuuu...
Ila alivyoanza kutojitambua kama mmama wanne nimemshusha P

Huddah nakapenda sana kale kabinti kako vizuri yy na vera sidika wote!
Nnachoshindwa kumwelewa Huddah alipomchamba Vera pia, na ukifatilia vzr utaona beef kati ya Zari na Huddah limeanza baada ya Zari ya kumwalika Vera kwenye birthday ya Tiffah iloishia kusikojulikana.

But kwa hy post alochambwa na Huddah Zari hana kosa kwa kweli, sema kama ndo tabia yako kunyakua mabwana wa wenzio lazima uumie
 
Mtu mzima kama zari,Mwenye wajukuu kuongea shit vile kabahishiwa na mjukuu wake we unaona uzuri?!!
Acheni kumpa kichwa cha kijinga zari..

Kumbukeni yule ni mama mtu mzima mambo Yale kwa sasa awaachie watoto wadogo!!
Huu umaarufu mavi kwa bimdash kama yule sio kabisa!!.

Atulize kipago alee watoto na mimba yake!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Wema mwenyewe alishasema kua tym zari ana date na mondi alikua ameshabreak n mondi. So zari km mwanamke kutongozwa na kukubali sio issue coz mondi alikua single (ameachana n wema) apo kamnyakuaje?
Naona watu wanaongea kiushabiki tu bila kujua lolote. Madam haachwi bwana bwana, na akiachwa hufanya bidii hadi amrudie kisha amwache yy[emoji3]
 
Hata huddah katupa jiwe gizani pia!

Kwa umri wa zari unaona ni sahihi kupiga vijembe vya kipuuzi km vile
So called 'bossylady'anajishusha sana!
Angemuambia dai amuoe
Hahahaaa, Zari anamiaka mingapi ambayo itmtofautisha na wanawake wengine?
 
Kwani huda na diamond walikuwa wanatakana?
Sio wanatakana. Kwanza kumbuka Huddah alianza kutoka na Mondi kabla hajawa na zari. Kibindi hicho Mondi anampiga Huddah kisirisiri alikua na Wema. Wakati uoo zari na Huddah walikua marafik kwasababu wanaendana kitabia yani kusaka wanaumme wenye hela plus popularity
 
Back
Top Bottom