Unaweza kuta umri wako ww na Zari unalingana 30's unachamba jf kwa fake id na Zari anaonekana hafai kuchambana kwa vile anatymia og acc. Nitumie picha yako mkuu niweze kufanya ulinganisho [emoji3] kama hata hujamzidi Zari kwa ukubwaMtu mzima kama zari,Mwenye wajukuu kuongea shit vile kabahishiwa na mjukuu wake we unaona uzuri?!!
Acheni kumpa kichwa cha kijinga zari..
Kumbukeni yule ni mama mtu mzima mambo Yale kwa sasa awaachie watoto wadogo!!
Huu umaarufu mavi kwa bimdash kama yule sio kabisa!!.
Atulize kipago alee watoto na mimba yake!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Labda hapo naweza kuelewa lkn si kwa sababu nyinginezo kwa kigezo cha umri. Kuna watu wanawatoto wanne ktk 20's. So yyt aliye na watoto haijalishi umri wake anapaswa kubehave kwa manufaa ya watoto wake. Nashukuru mkuu kwa darasaUkkshakua mama yapaswa kujiheshimu kwa manufaa ya mwanao
Asiachwe yeye nani??Naona watu wanaongea kiushabiki tu bila kujua lolote. Madam haachwi bwana bwana, na akiachwa hufanya bidii hadi amrudie kisha amwache yy[emoji3]
[emoji3] [emoji3] binamu kuchambwa na huddah bora ukutane na kimbunga cha Kagera juzi!!Hhheee huda ana michambo heavy ona hiiiView attachment 397960 geniveros
Huddah kanishinda tabia ila zari mwenyyewe kàjigeuza incubator ya watoto ili a survive na haendagi kwa watu wasio na kipatoView attachment 397830 huda si kwa chambo hili takatifuu hehe
View attachment 397831 aiseeee huda si wa kuchambana naee
Huda ana michambo mpaka mange amesalimu kwa huda mchezo na hapo kama ashawah kulala na diamond akitibuliwa atarusha hadi picha[emoji3] [emoji3] binamu kuchambwa na huddah bora ukutane na kimbunga cha Kagera juzi!!
Huddah angelala na Diamond angesharusha kitambo maana kilichomtia wazimu vera kuitwa kwenye ile sijui white party na hii mara ya pili kuhusu bday ya Tiffah iloishia hewaniHuda ana michambo mpaka mange amesalimu kwa huda mchezo na hapo kama ashawah kulala na diamond akitibuliwa atarusha hadi picha
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] halafu anachamba kizungu balaaa...!!hadi rahaHuda ana michambo mpaka mange amesalimu kwa huda mchezo na hapo kama ashawah kulala na diamond akitibuliwa atarusha hadi picha
Zari type ya chris jenner mama yao kina kardashianHuddah kanishinda tabia ila zari mwenyyewe kàjigeuza incubator ya watoto ili a survive na haendagi kwa watu wasio na kipato
Halooooooo [emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]Huddah mbona hajataja mtuu...?!!
vepeee jamanii!
kwani zari ndo granyy?!!
ndo anaishi kwa child support
au ndo labor ward ambassador?!!
Ukkshakua mama yapaswa kujiheshimu kwa manufaa ya mwanao
Zari mnafiki sana tena sana tu!Huddah angelala na Diamond angesharusha kitambo maana kilichomtia wazimu vera kuitwa kwenye ile sijui white party na hii mara ya pili kuhusu bday ya Tiffah iloishia hewani
Team zari Leo wamecharuka hao balaaa!!Halooooooo [emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]
Mwenzangu wewe yako mazito tena!Ila Zari nae she's too mean anataka amiliki wanaumme wawili kwawakati moja. Yani Jobeg na Madale Maana nina evidence kwamba kule bado yuko na Don pia huku akija yuko na Domo. Nawajua kitambo tangu wanapiga usangoma kwahiyo nae nyaku nyaku sana na pia Don is so tolerant