Hudah Monroe na Zarina watunishiana misuli kisa Diamond

Huyo zari na yeye siatulie tu tatizo aliwahi kuwa na 2atoto badala ya kula utineja sasa anatafta umaarufu kwa kutoka na vitoto what a shame hata huyo mond kamtaka ili kupata umaarufu tu sasa wanawe wenyewe wanalingana urefu na diamond.
 
Huyo zari na yeye siatulie tu tatizo aliwahi kuwa na 2atoto badala ya kula utineja sasa anatafta umaarufu kwa kutoka na vitoto what a shame hata huyo mond kamtaka ili kupata umaarufu tu sasa wanawe wenyewe wanalingana urefu na diamond.
Kuruka stage kubaya sana!
Ila nimegundua ukiwa na daimond lazima uwe drama queen
 
Hapo nakubaliana naye Huddah juu ya respect kwa wengine ambao hawajazaa, ni kweli kabisa kuna watu walizaa hadi watoto kumi lkn Mungu akawachukua
Kuzaa ndo anajiona babu kubwa

Naona Leo coffee and table kacharuka kumtukana huddah

Loohh!Leo hamisa kapumzika!
Muambieni Zari aache udrama queen!
 
Sasa huyu mwanamama zari c atulie alee hiyo mimba ya diamond kama ipo kweli?
 
Mambo ya ushoga haya.hawa si walikuwa mashost? Kimewasibu kipi?
Beef lilianzia pale Zari alipomwalika Vera Sidika kwenye birthday ya Tiffah iloishia hewan, Huddah na Vera hawaelewani. By the way Huddah na Zari hawajagombana na hata Huddah akiulizwa juu ya hilo nadhani hatakuwa na jibu. Nafikiri wote wanatafuta kiki au waaipotee midomoni mwa east Africa
 
team zari utawajua tu!
binamu muambie mondi binamu muambie mondi bin ladein aoe
ili atukate vilimilimi!
Nimekuwa Team Zari tena!! Nimeshawahi kuongea kitu kama hiki kuhusu Le Mutuz... maybe am Team Le Mutuz vile vile!! Nilisema wazi kwamba badala ya kumkejeli Le Mutuz binafsi ningefurahi ningekuwa na kaka aina ya Le Mutuz ambae pamoja na umri wake bado ningeweza kumwa-approach kwa issues ambazo kwa mazingira ya Kiafrika ni ngumu kumwa-approach mtu wa amri wake cuz' the guy is simple and approachable with modern 21st century minds!

Kuhusu Mondi na Zari... naombea asifunge nae ndoa kwa sasa manake vile vipima ujauzito vitaadmika ghafla!!



Vitaadmika manake mizunguko ya watu lazima iwe disturbed na matokeo yake mtakuwa mnakimbilia kupima ili kuangalia ikiwa mshanasa... kumbe mnasumbuliwa na stress za kukatwa kidomodomo!!!
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] we unaona raha wanavyozini...?!!
 
Hayo ya maneno ya team nyaku nyaku alkuwa anamaanisha nini
 
point , mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…