Hahahaa mkuu naona unalazimisha ionekane zari kamnyakua chibu. Kama walinunua wote hy Murano kwnn wema alikuwa anaiponda? Anyway hayo mengine hayatuhusu ila wema alimuacha Chibu na wala hakunyakuliwaNadhani umesahau pia kwamba hiyo Murano walinunua wote wawili baada ya Wema kuuza gari yake ya mwanzo.
Mh! Mkenya gani achambe mtu kama Mzaramo?Mzaramo mboga nyingine ile, alichambwa Kibaka alikutwa ana anua nguo mpaka Akafa ndio ulinganishe na nyang'ao.Huddah hana cha kupotezaa...
Zari anapaswa ajiheshimu tayari ni mzazi yule
Hapo anazini tu,akiolewa sijui itakuaje.….[emoji57]
Anachamba kama mzaramo!!!
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mh! Mkenya gani achambe mtu kama Mzaramo?Mzaramo mboga nyingine ile, alichambwa Kibaka alikutwa ana anua nguo mpaka Akafa ndio ulinganishe na nyang'ao.
hahaShe is an International prostitute from kenya also a drug user
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Same here ma.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Cheers
Hajiamini huyo hata kidogo, ndo ajifunze kutoka na watu wazima wenzie kina diamond damu bado inachemka akiona sketi tu ashadinda atamuwezea wapiNimempenda Hudah bure maana Zari anajiona kafika kila leo mbwembwe.
Na wewe ni team nyaku nyaku nini?..I don't
Hahahaa mkuu naona unalazimisha ionekane zari kamnyakua chibu. Kama walinunua wote hy Murano kwnn wema alikuwa anaiponda? Anyway hayo mengine hayatuhusu ila wema alimuacha Chibu na wala hakunyakuliwa
Mm sina teamNa wewe ni team nyaku nyaku nini?..
Manake manyaku nyaku mna hasira na Zari...jus kidding lolMm sina team
[emoji3] [emoji3] [emoji3] we unaona raha wanavyozini...?!!
Hiv kuna mtu mzima anayependa kuchambana na watoto kama mama wema ..... zari hajafika hata nusu ya umri wa huyo bibi nawashangaa mkisema zari mtu mzima aache kuchambana.....mtupishe huko na akili zenu fupi. Mlizowea kina penny wasioweza kuwajib mnapewa ukweli wenu.....tulieni mmeze dawa nyaku nyaku wa gizan..Yaani Mimi mwenyew nimemdharau Sana yaani kwa umri wake si MTU wa kuchambana mitandaoni anajitia uzungu kumbe mswahili kupita hata mama mkwe wake, halafu kwa Diamond ataumiza kichwa Sana maana ni donoa donoa yule inawezekana hata huyo huda katongozwa
Umenena mkuu kiutu-uzima, asante kutukumbusha pale tunaposahau kuwa wote tunaelekea hukoHawa mademu huwa wananishangaza sehemu moja tu... anyway, hata baadhi ya wanaume nao!! Unakuta eti mtu anamponda mtu mwingine kwa kigezo cha umri!!! Hivi si sawa na msichana mdogo kumcheka mwanamke mkubwa kwamba ana matiti yaliyolala wakati hata yeye mwenyewe yupo njiani kuwa na matiti yaliyolala!!!!
Halafu ningekuwa demu ningemuonea wivu sana Zari... manake baada ya kumkashifu kwa kigezo cha umri, ningeanza kujiuliza hivi nikishafika umri wa Zari bado nitakuwa na Zari's present look au ndo itakuwa basi tena!!! Bora nikashifu tumbo la Le Mutuz kv ni jambo lililo ndani ya uwezo wangu lakini nikashifu umri wake wakati nafahamu ikiwa Mwenyezi Mungu atanijaalia nami lazima nigonge uzee!!
hivi mtu wa miaka 33-40 ni Mzee? Kuna wadada wana miaka 34-45 hawajaolewa wala hawana watoto. Bado ni wabichi na beautiful.Uzee Wa 35 siulewi vizuri. Kuzaa kibiologia ni 49 mwisho. Wasichana wanamuoneaga Zari Wivu tuu siyo size yao kwa lolote. Ana sura nzuri, mrembo, tajiri anaishi kwake pazuri, ana usafiri Wa nguvu, msomi, Mama, kamuwin Diamond ambaye kila Dada anamtamani, yaani she is independent and classy Lady.Hawa mademu huwa wananishangaza sehemu moja tu... anyway, hata baadhi ya wanaume nao!! Unakuta eti mtu anamponda mtu mwingine kwa kigezo cha umri!!! Hivi si sawa na msichana mdogo kumcheka mwanamke mkubwa kwamba ana matiti yaliyolala wakati hata yeye mwenyewe yupo njiani kuwa na matiti yaliyolala!!!!
Halafu ningekuwa demu ningemuonea wivu sana Zari... manake baada ya kumkashifu kwa kigezo cha umri, ningeanza kujiuliza hivi nikishafika umri wa Zari bado nitakuwa na Zari's present look au ndo itakuwa basi tena!!! Bora nikashifu tumbo la Le Mutuz kv ni jambo lililo ndani ya uwezo wangu lakini nikashifu umri wake wakati nafahamu ikiwa Mwenyezi Mungu atanijaalia nami lazima nigonge uzee!!