idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,364
Mi nawashangaa wanaomfananisha na hao wacheza vigodoro.!Kawaulize clouds kwa nn zari alivyoaanda party yake mlimani city walimpa mapokezi ya aina yake na breakfast ya nguvu, nakumbuka ilikua kipindi maalumu kwa ajili ya zari tu, hakuna staa yeyote nchini aliyweza kupata mapokezi ya zari, yule mwanamke ni next level binamu