Pole kwa changamoto hiyo
Nadhani ni vyema kama upo familiar na sim banking iwe app au ile ambayo sio app,
Au kama ni internet banking inakuwa vizuri zaidi......
Kama ni mfanya biashara wateja wako waelekeze wa deposit hela kwenye bank account moja kwa moja endapo unatumia invoice au delivery note, ili usi accept cash itakupunguzia kwenda bank au kukopeteza ama kuibiwa......
wateja wanaopenda kutumia cheque de same naamini mwanzoni wataona ni ngumu kadri unavyo waelimisha wanabadilika Ila elimu kidogo kidogo.....
Ila ukisema uende bank foleni, umwone meneja nako unaambiwa hayupo......
The best choice try to look for sim banking if not internet banking are more favorable...