kingundya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2013
- 2,000
- 3,352
Nimewahi pita mkoa kule anakotokea mkwawa na bank yao branch inaitwa kwa jina lake 'mkwawa' branch aisee Kuna bwana mmoja anashugulika na Cheque mweupe Kama amekorogo hivi aise Mara awepo Mara hayupo akiwepo wewe umepanga foleni unashangaa anatoa ishara anaitwa mtu ambae hata kwenye foleni hakuwepo anakuja kumhudumia wanatwanga stori. Shughuli Sasa unafika dirishani anakuuliza kwa dharau wewe ndio unatumia Cheque? Unajibu ndio anakwambia haufananii na hagupokei Cheque muda umeenda na hapo ushakaa foleni zaidi ya dakika 45.