Huduma bora za afya: Mbona bado wakina mama wanaojifungua wanalazwa hadi watatu kitanda kimoja?

Huduma bora za afya: Mbona bado wakina mama wanaojifungua wanalazwa hadi watatu kitanda kimoja?

Hapana mkuu labda kama wamebadilisha siku hizi, mimi hiyo ilinitokeaga natumia Bima lakini mtoto yupo chumba cha joto nalipia cash,lakini mimi Bima inanihudumia
Hiyo bima kiboko...
 
Ili uachane na kadhia hiyo... Pambana upate mshiko ukatibiwe Agha Khan.

Serikali haiwezi kukufanyia kila kitu. Serikali ni maskini kuliko wewe. Ina madeni kibao.... achana na ule uhuni wa "hela za ndani zipo". Ukinielewa utanishukuru
Kwa hiyo solution ni kuwa kila mtu atafute hela akatibiwe Acha khan
 
Dah... nasikitika kumbe hata hujui bima ya afya ya mama mjamzito inacover matibabu ya kichanga chake...

Alijisemeaga Lowassa... Elimu, Elimu, Elimu...
Babu hapa umetupiga boko. Mfano bima ya nhif ukikata miaka miwili ya mwanzo haito cover kujifungua. Process zote za kujifungua ni cash
 
Back
Top Bottom