Hapana mkuu labda kama wamebadilisha siku hizi, mimi hiyo ilinitokeaga natumia Bima lakini mtoto yupo chumba cha joto nalipia cash,lakini mimi Bima inanihudumia
Ili uachane na kadhia hiyo... Pambana upate mshiko ukatibiwe Agha Khan.
Serikali haiwezi kukufanyia kila kitu. Serikali ni maskini kuliko wewe. Ina madeni kibao.... achana na ule uhuni wa "hela za ndani zipo". Ukinielewa utanishukuru