Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
- Thread starter
- #101
Unaonaje mkuu yasipozungumziwa haya, itakuwaje.?Wabongo mara nyingi tunapenda kuwa hasi kwa huduma za umma bila kuingia kwa undani..Ndugu umeandika vizuri ila hujasema ulichobaini kuhusu uwiano wa uwingi wa wagonjwa na wahudumu wa afya...Uwepo wa vitendea kazi na madawa.Tufikirie pia na sisi tunakotoa huduma jee hatuwakwazi wateja wetu???Anyway,naamini hilo ni jambo la uongozi kufanyia kazi mapungufu hayo na kuwasimamia watu wao wa chini kwa karibu kama manesi na madokta ili wasifanye uzembe.